Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameeleza "kukerwa" kwake na kada nne kwamba wanajiona ni bora kuliko wengine. Kwa mfano Mawakili, ambao wana utaratibu wa kuitwa "Wakili Msomi" kabla ya kutaja jina. Hoja ya Ndugai ni kwamba iweje Mawakili waitane "Msomi" ambapo wasomi wako wengi tu, siyo Mawakili...
kwenye zile biti zake za kanisani Gwajiboy huwa anawadanganya waumini wake kwamba yoyote atakayeinua kichwa atamponda ponda
Pia akahaidi hata wasaidizi wa Rais anasubiri ajinue mmoja atamshushia kitu kizito mpaka atawasimulia watoto wa watoto zake,
Sasa Basi mweshimiwa Gwajima, Spika Ndugai...
Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni
Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone...
Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel
Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama...
Leo Spika wa bunge, Mh. Job Ndugai amenifanya nikumbuke mhimili wa bunge una nguvu kiasi gani.
Baada ya kutoa adhabu kwa Mh. Jerry Slaa na Gwajima, Mh. Ndugai alikwenda mbali zaidi na kuhoji watendaji wa serikali kama waziri wa mambo ya ndani. Alishangazwa ni kwanini vyombo vilivyo chini ya...
Tokea nimezaliwa na sio Mimi tu, watanzania wengi kama sio wote tumekua tunapata chanjo kutoka Kwa wahisani (mabeberu)..kila chanjo lazima iwe na side effects Kwa baadhi ya watu lakini sio wote.
hanjo hizi zina umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku!!..tuache propoganda mbaya za...
Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka amesema ameomba kibali kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai cha kukamatwa kwa mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa baada ya kutofika katika shauri lake.
Silaa alihojiwa mara ya kwanza na kamati hiyo Agosti...
Gwajima admits to have received Speaker's letter
Dar es Salaam. Member of Parliament for Kawe constituency, Bishop Josephat Gwajima has admitted receiving a letter requiring him to appear before the Parliamentary Committee on Justice, Ethics and Powers
Gwajima made the remarks on Sunday...
Yaani safari hii nitanenepa sana sina wasi wasi na Serikali ya Rais Samia Chaguo la Mungu!
Katika zama ambazo nchi inaendeshwa kisomi ni zama hizi za serikali ya awamu ya 6, Nchi inaendeshwa kisomi sana, watu kama ndugai wameamua waachane na siasa za kiki warudi kwenye taaluma zao ila...
Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni
Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
Wakati kukiwa na mjadala wa baadhi ya wabunge kuhusu chanjo ya corona inayoendelea kutolewa nchini, Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema pamoja na chanjo kuwa hiari, haimfanyi mtu kuwa na hiari ya kuambukiza wengine.
Kauli hiyo imekuja kukiwa tayari kuna wabunge walioonyesha wazi kupingana na...
Kauli za viongozi kama Mwigulu, Ndugai na Mbunge Gwajima ziko wazi kabisa hawakubaliani na wewe katika yale unayo agiza.
Sio hayo ya miamala na chanjo za corona pekee, lakini kuna jingine kubwa mno ambalo Watumishi waathirika na zoezi la vyeti wanakutazama kwa mshangao.
Ulitoa agizo kuwa...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba tozo za miamala na muda wa hewani zimepitishwa na bunge hivyo yeye kama waziri hawezi kuziondoa ila anaweza kuangalia kanuni kujua namna ya kurekebisha
Amesema hayo alipohojiwa na BBC Swahili ambapo amesema kwa sasa wananchi wanatakiwa...
Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge...
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, hivi ni kweli sababu ya Bunge lako kuongeza tozo kwenye miamala ya simu ni kumalizia upatikaji wa barabara, maji, madawati, madarasa, na zahanati katika kila kijiji kabla ya 2025?
Naungana na wewe 100% kuwa hakuna mfadhili atakuja kutujengea nchi yetu, hivyo ni...
Spika Ndugai amesema wabunge wameshapitisha tozo ya kizalendo kwenye miamala ya simu na sasa ni sheria hivyo asiyeitaka atupe njia mbadala ya kutufikisha 2025
Roho wa Bwana akamshukia mtumishi wake Jerry Slaa mbunge wa Ukonga naye akajibu; Wabunge tuanze kulipa kodi.
Labda kama Spika ana swali...
Kwa kuwa rais amesema tozo ziangaliwe upya maana yake ni kwamba wabunge walipitisha kitu cha ajabu. Waliharibu kazi. Sasa adhabu yao ni nini? Warudishe posho.
Ndugai aliwatisha wabunge kwamba wasipopitisha bajeti rais atalivunja bunge. Aondoke!
Na hapa ndipo umuhimu wa katiba mpya unaonekana...
Ni miradi iliyofunguliwa na hayati Magufuli.
Ni miradi yenye kumbukumbu nzuri katika kurahisisha shughuli za jamii kwa maeneo husika.
Ni miradi itakayokumbukwa kwa muda mrefu.
Nawasalimu kwa jina la JMT!