ndugai

  1. Mindi

    Ndugai Aanze na "Waheshimiwa" Wabunge kabla ya "Wasomi" Mawakili

    Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameeleza "kukerwa" kwake na kada nne kwamba wanajiona ni bora kuliko wengine. Kwa mfano Mawakili, ambao wana utaratibu wa kuitwa "Wakili Msomi" kabla ya kutaja jina. Hoja ya Ndugai ni kwamba iweje Mawakili waitane "Msomi" ambapo wasomi wako wengi tu, siyo Mawakili...
  2. N

    Askofu Gwajima kama una ubavu, anzisha battle na Spika Ndugai kama ulivyohaidi

    kwenye zile biti zake za kanisani Gwajiboy huwa anawadanganya waumini wake kwamba yoyote atakayeinua kichwa atamponda ponda Pia akahaidi hata wasaidizi wa Rais anasubiri ajinue mmoja atamshushia kitu kizito mpaka atawasimulia watoto wa watoto zake, Sasa Basi mweshimiwa Gwajima, Spika Ndugai...
  3. mugah di matheo

    Kwenye Barua ya Spika Ndugai kuomba radhi bado anatudanganya Wakristo, akiri wazi kuwa yeye Imani imempiga chenga

    Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone...
  4. Analogia Malenga

    Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama...
  5. James Martin

    Ndugai aonesha ubabe wake. Yeyote anayetaka kumtunishia misuli lazima afikirie mara mbili

    Leo Spika wa bunge, Mh. Job Ndugai amenifanya nikumbuke mhimili wa bunge una nguvu kiasi gani. Baada ya kutoa adhabu kwa Mh. Jerry Slaa na Gwajima, Mh. Ndugai alikwenda mbali zaidi na kuhoji watendaji wa serikali kama waziri wa mambo ya ndani. Alishangazwa ni kwanini vyombo vilivyo chini ya...
  6. Francis fares Maro

    Chanjo ni hiari lakini ina umuhimu

    Tokea nimezaliwa na sio Mimi tu, watanzania wengi kama sio wote tumekua tunapata chanjo kutoka Kwa wahisani (mabeberu)..kila chanjo lazima iwe na side effects Kwa baadhi ya watu lakini sio wote. hanjo hizi zina umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku!!..tuache propoganda mbaya za...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Jerry Silaa hajahudhuria shauri lake, Kamati yaomba kumkamata

    Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka amesema ameomba kibali kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai cha kukamatwa kwa mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa baada ya kutofika katika shauri lake. Silaa alihojiwa mara ya kwanza na kamati hiyo Agosti...
  8. BAK

    Askofu Gwajima akiri kupokea barua ya wito wa Kamati ya Maadili

    Gwajima admits to have received Speaker's letter Dar es Salaam. Member of Parliament for Kawe constituency, Bishop Josephat Gwajima has admitted receiving a letter requiring him to appear before the Parliamentary Committee on Justice, Ethics and Powers Gwajima made the remarks on Sunday...
  9. N

    #COVID19 Spika Ndugai shikilia hapo hapo, Mbunge asiyetaka chanjo aachie Jimbo

    Yaani safari hii nitanenepa sana sina wasi wasi na Serikali ya Rais Samia Chaguo la Mungu! Katika zama ambazo nchi inaendeshwa kisomi ni zama hizi za serikali ya awamu ya 6, Nchi inaendeshwa kisomi sana, watu kama ndugai wameamua waachane na siasa za kiki warudi kwenye taaluma zao ila...
  10. P

    #COVID19 Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

    Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
  11. Analogia Malenga

    #COVID19 Ndugai: Chanjo ni hiyari ila hauna hiyari kuambukiza wenzako

    Wakati kukiwa na mjadala wa baadhi ya wabunge kuhusu chanjo ya corona inayoendelea kutolewa nchini, Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema pamoja na chanjo kuwa hiari, haimfanyi mtu kuwa na hiari ya kuambukiza wengine. Kauli hiyo imekuja kukiwa tayari kuna wabunge walioonyesha wazi kupingana na...
  12. Fanxudy

    #COVID19 Spika Ndugai achomwa chanjo ya COVID-19

    Japo na nesi kuvaa Gloves Mbona Kama mh. Kanuna ivi au anaumwa
  13. Chakaza

    Rais Samia, mbona kila unaloagiza watendaji wakuu wanakugomea?

    Kauli za viongozi kama Mwigulu, Ndugai na Mbunge Gwajima ziko wazi kabisa hawakubaliani na wewe katika yale unayo agiza. Sio hayo ya miamala na chanjo za corona pekee, lakini kuna jingine kubwa mno ambalo Watumishi waathirika na zoezi la vyeti wanakutazama kwa mshangao. Ulitoa agizo kuwa...
  14. Analogia Malenga

    Mwigulu: Tozo za miamala zipo kisheria, Waziri hawezi kuzifuta

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba tozo za miamala na muda wa hewani zimepitishwa na bunge hivyo yeye kama waziri hawezi kuziondoa ila anaweza kuangalia kanuni kujua namna ya kurekebisha Amesema hayo alipohojiwa na BBC Swahili ambapo amesema kwa sasa wananchi wanatakiwa...
  15. Z

    Spika Ndugai ni Mbunge au rais wa nchi fulani?

    Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani. Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge...
  16. kavulata

    Spika Ndugai 2025 sio mbali, ni kweli kuongeza tozo za miamala kutapeleka zahanati, maji, madawati, madarasa na barabara kila kijiji kabla ya 2025?

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, hivi ni kweli sababu ya Bunge lako kuongeza tozo kwenye miamala ya simu ni kumalizia upatikaji wa barabara, maji, madawati, madarasa, na zahanati katika kila kijiji kabla ya 2025? Naungana na wewe 100% kuwa hakuna mfadhili atakuja kutujengea nchi yetu, hivyo ni...
  17. J

    Spika Ndugai: Asiyetaka tozo ya kizalendo atupe njia mbadala ya kupata fedha

    Spika Ndugai amesema wabunge wameshapitisha tozo ya kizalendo kwenye miamala ya simu na sasa ni sheria hivyo asiyeitaka atupe njia mbadala ya kutufikisha 2025 Roho wa Bwana akamshukia mtumishi wake Jerry Slaa mbunge wa Ukonga naye akajibu; Wabunge tuanze kulipa kodi. Labda kama Spika ana swali...
  18. S

    Ndugai na wabunge wote warudishe posho walizolipwa wakati wanapitisha TOZO

    Kwa kuwa rais amesema tozo ziangaliwe upya maana yake ni kwamba wabunge walipitisha kitu cha ajabu. Waliharibu kazi. Sasa adhabu yao ni nini? Warudishe posho. Ndugai aliwatisha wabunge kwamba wasipopitisha bajeti rais atalivunja bunge. Aondoke! Na hapa ndipo umuhimu wa katiba mpya unaonekana...
  19. B

    Spika Ndugai anapoonya ulevi wa madaraka wakati yeye yako juu ya katiba unamchukuliaje?

    Binafsi huwa simuelewi
  20. J

    Mfugale fly over, Daraja la juu la Kijazi, Magufuli Bus Terminal, Soko la Chifu Kingalu na Soko la Ndugai miradi iliyotukuka

    Ni miradi iliyofunguliwa na hayati Magufuli. Ni miradi yenye kumbukumbu nzuri katika kurahisisha shughuli za jamii kwa maeneo husika. Ni miradi itakayokumbukwa kwa muda mrefu. Nawasalimu kwa jina la JMT!
Back
Top Bottom