ndugai

  1. T

    Rais na Mwenyekiti wangu, usisubiri mpaka uharibifu wa Spika Ndugai ukuchafue

    Imefikia hatua Spika anamkosoa kila lililo jema na kukubali yasiyofaa. Ukosoaji wa namna hii si afya kwa ustawi wa nchi yetu. Tabia hii ameanza kuonesha katika hiki cha awamu ya sita. Mbona Rais Magufuli alikuwa anafanya yanayofanywa na awamu hii lakini hakuwahi kukosoa? Ukosoaji wa aina ya...
  2. RWANDES

    Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

    Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi...
  3. Kijogoodi

    Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

    Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi. Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za...
  4. Suzy Elias

    Ndugai: Toka Magufuli aage Dunia, umuhimu wa Dodoma unafifishwa kwa makusudi kabisa

    "....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa." "...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!" "...hii siyo...
  5. R

    CCM hawana Ubavu wa kumfukuza Polepole kwa sababu ya Madudu ya Ndugai Bungeni

    Akina Polepole na akina Gwajima wanajiamini sana.. Wanajua CCM hawana Ubavu wa kuwavua Uanachama kwa sababu hatua hiyo itamexpose Ndugai na kumtaka awavue Ubunge.. Itakuwa ni fedheha kubwa sana kwa Faru J kuwafukuza Ubunge akina Gwajiboy kwani atahojiwa wale Covid-19 wanafanya nini Bungeni...
  6. K

    Spika Ndugai usijilinganishe na Jenerali Ulimwengu

    Naona spika anapenda kijilinganisha na watu waliomzidi sana. Kwanza ilikuwa Prof Assad sasa Mzee Ulimwengu.
  7. B

    Ndugai: Ya Ulimwengu ni Maoni ya Wengi

    Spika Ndugai atajidanganya pakubwa kumnyooshea kidole Ulimwengu. Aliyoyasema Ulimwengu yanawakilisha maoni ya wengi. Zanzibar inapongezwa kwa hali ya maridhiano iliyopo inayeleta kupungua kwa misuguano: Balozi Wright atamani maridhiano ya Zanzibar yaje Bara Kwanini Zanzibar maridhiano ni...
  8. H

    Spika dhaifu anapoamini ni shujaa

    Kati ya tabia mbaya kabisa za mwanadamu ni unafiki. Mnafiki ni mtu hatari maana anaweza kukusifia ukiwa naye, ukigeuka anaweza kuwa kiongozi wa kukuwekea mitego ya kukuangusha. Nchi yetu imejaa watu wanafiki. Viongozi wanatoka miongoni mwa jamii. Ukiona viongozi wamejaa unafiki, utambue kuwa...
  9. Erythrocyte

    Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

    Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa Bunge. Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo, ila anasema watapambana naye ndani na nje. ----+ Akizungumza katikati ya mjadala wa...
  10. K

    Spika Ndugai ageuka kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

    Spika dhaifu Mh.Ndugai amegeuka kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni,,,Hii inatokea pale ambapo Ndugai anasimama kila mara kuziba pengo la wapinzani baada ya kuona Mazuzu yaliyomo bungeni+ yeye hayana uwezo wa kujenga hoja za kulivusha Taifa,,,Tunayakumbusha kwamba wala yasijali...
  11. beth

    Ndugai: Watanzania wanalalamikia mfumo wa elimu, wanataka majadiliano

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema ipo haja ya kufungua Mjadala wa Elimu, na ndiyo maana Wabunge wamekuwa wakisema washirikishwe. Akiwa Bungeni Dodoma amemwambia Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako, "Sisi tunataka Elimu ya Tanzania tuitazame. Hayo sijui ipo Wizara gani, sisi...
  12. Superbug

    Nature hates vacuum Polepole and Ndugai fits it after 28/10 fraud

    It is the law of the nature that vacuum should by all means possible be filled in. The parliament needs opposition voices for it to be meaningful but the election results of 28/10/2020 ousted opposition intentionally. Now polepole and Ndugai inclinate to the call of nature.
  13. beth

    Bungeni, Dodoma: Spika Ndugai ataka NIDA kuitwa na Kamati. Asema haifanyi vizuri

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi nzuri Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 12 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao...
  14. Kinuju

    Spika Ndugai: Bunge lisilaumiwe kwa kupitisha sheria ambazo baada ya muda mfupi zinarudishwa bungeni kufanyiwa marekebisho

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna changamoto ya baadhi ya Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali (AG) hali inayosababisha baadhi ya sheria kurejeshwa tena bungeni kurekebishwa muda mfupi baada ya kupitishwa. Ndugai alitoa kauli hiyo jana Jumamosi Oktoba 30, 2021 wakati...
  15. B

    Spika Ndugai aishangaa Serikali Kutoshaurika

    Amesikika Mheshimiwa Ndugai akiwananga baadhi ya Mawaziri: “Hata kwa jambo ambalo liko wazi tu lakini (waziri) haambiliki hayo tumeyaona lakini sidhani kama nyie mtakuwa sehemu ya hao. Wanadamu wenzako wakikushauri wakarudia tena tena jaribu kuchunguza,” amesema. Hivi "wanadamu wenzake" kwa...
  16. B

    Ndugai: Uhuru wa kukusanyika ni upi?

    Kiongozi wa Mihimili katika mitatu ya utawala iliyopo, Mheshimiwa Job Ndugai amesikika akihoji: Kwamba kiongozi Mkuu wa bunge linalotunga sheria haujui uhuru huo. Labda hata wale vinara wa mihimili mingine nao yawezekana hawaujui na walipo wanashangaa! Isimfikirishe mtu namna gani kuwa labda...
  17. Memento

    Bashe: Spika Ndugai gombea tena ubunge 2025

    Bashe amemshauri spika wa Bunge Mh.Job Ndugai Kugombea tena ubunge 2025. Bado nashangazwa na hii tabia ambayo rasmi imeshajijenga kwenye serikali. Kwa nini mnawaza sana uchaguzi wa 2025? Ni miezi michache tu tumetoka kwenye uchaguzi wa 2020. Sasa badala ya kuanza kuleta Maendeleo kwa...
  18. OLS

    Maneno ya Ndugai yako poa ila tuende an extra mile

    Kuna suala sijui la majengo 70 kila jimbo, sijajua lilianzia wapi lakini Spika wa Bunge Job Ndugai amesema Majimbo hayana tafsiri nzuri kuna majimbo yana kata mbili, huku mengine yakiwa na kata hadi 15. Pia idadi ya watu katika majimbo ni tofauti, kuna majimbo hata watu laki moja hawafiki...
  19. mugah di matheo

    Ndugai azindua ajenda ya mtoto njiti Dodoma

    Ni katika hafla iliyoandaliwa na taasisi ya Doris mollel leo jijini hapa Cc Mwananchi
  20. Erythrocyte

    Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

    Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani! Tutarajie muswada wa kufuta huo...
Back
Top Bottom