ndugai

  1. R

    Ndugai siku hizi hahudhurii hafla za Ikulu?

    Ndugai kipindi cha Magufuli nadhani alihamia kabisa Ikulu maana hakuna shughuli alikosa na kutoa hotuba as if naye ni kiongozi wa serikali Siku za karibuni haonekani shughuli za Ikulu, hata kabla ya boko lake la juzi kuhusu mikopo - wheter alikuwa sahihi or wrong siyo hoja hapa Mimi nahoji tu...
  2. Ileje

    Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

    Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa...
  3. S

    Msamaha wa Spika Ndugai kwa Rais Samia ni kifo cha mende kwa lile kundi

    Walidhani wanaweza kutumia wingi wao kila idara na bungeni kutingisha gogo. Lkn wamekumbana na kisiki cha Zanzibar kikiwa kinalindwa na katiba ya nchi na chama. Wanaanzia wapi kuukata mpingo? Aliyepewa jukumu la kukitikisa kisiki kapima kina cha maji halafu mwenyewe kaona isiwe taabu. Kwani...
  4. Idugunde

    Waliodukua na kubadili hotuba ya Spika Ndugai wasakwe na kukamatwa maana huo ni uzandiki wa kumchonganisha na mkuu wa nchi

    Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na...
  5. Suzy Elias

    Spika Ndugai: Kwa sasa mitandao ya kijamii ina nguvu sana

    Kwa mara ya kwanza kauli ya kiongozi mkuu wa Serikali kukili nguvu ya mitandao ya kijamii imetolewa na Spika Ndugai ambaye ni mkuu wa Mhimili wa Bunge Tanzania. Mitandao siku hizi ina nguvu, inaweza ikatengeneza ajenda, ikapeleka ajenda ambako wala haikuwa, na mjadala ukawa ni wa moto sana." -...
  6. RWANDES

    Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

    Baada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma. NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI...
  7. gimmy's

    Ndugai shughulika na Tanesco Wanakata umeme hovyo pasipo ratiba Kibaigwa achana na malumbano ya mikopo ya nchi

    Wanabodi salaam, Nianze kwakusema natambua maelekezo tunayopewa kwamba nchi yetu inakumbwa na tatizo la umeme kutokana utegemezi wa umeme wa maji na kwa sasa nchi imekumbwa na hali ya ukame hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme maeneo mengi nchini. Hata hivyo kinachoendelea kwenye Jimbo la mh...
  8. JF Member

    Natangaza kumuunga mkono Ndugai. Ametimiza wajibu wake

    Mimi kama Mtanzania natangaza Kumuunga kauli ya Ndugai. Kwa mambo yafuatayo. 1. Lazima tujitathimi tunataka kukopa kwa nini? Deni linapozidi kukua ni lazima bunge na spika wakemee Hilo. 2. Hatuwezi kukopa kwa ajili ya Kujenga Madarasa na Vyoo na Kununua madawati. Hivi ni vitu visivyo produce...
  9. T

    Maoni: Bila kuathiri Katiba, Spika Ndugai anapaswa kujiuzulu

    Mh Spika Ndugai ameonekana kuwa na kauli ambazo kimsingi zina kinzana na serikali amabyo yeye ni mmoja wa hiyo serikali. Labda nimkumbushe kuwa yeye ni mwana chama wa CCM na ni serikali hiyo hiyo inayo tawala. Kutoka mbele nakukosoa serikali ambayo ndio chanzo cha yeye kuwa spika nikujitoa...
  10. S

    Rais wa vijana Tanzania: Spika Ndugai achunge ulimi wake

    Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake. Aidha amehoji uhalali wa yeye spika kuionea uchungu nchi hii ili hali huko nyuma amefanya blunder nyingi zinazolizamisha taifa hili kiuchumi na kidemokrasia. Ametolea mfano kauli...
  11. chinchilla coat

    Kwa 'intolerance' waliyoonesha CCM kwa Ndugai, Wapinzani si watawapiga risasi?

    Najua wengi hawampendi Ndugai, ni kutokana na uvunjifu mkubwa wa katiba na utawala wa sheria alioufanya tokea awamu ya 5, mi binafsi pia simkubali Sasa kilichonishtua ni hii reaction ya CCM iliyoonyeshwa kwa Ndugai kwa maoni aliyotoa ambayo kimsingi yalikuwa yamelenga kutetea tozo za Serikali...
  12. M

    Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

    Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais, =========== Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani...
  13. Ngungenge

    Kumbe Ndugai ndio kiongozi wa hili kundi mtandaoni

    Zilianza threat za wana CCM tunawajua kuwa watakuwepo Jamii forum kwa miaka 10 ambao ghafla wakanda kumpiga Rais Samia Akaja Polepole na Shule ya Uongozi Wanaharakati wao wa Facebook, Instagram na twitter wakitumia kauli za "hawezi Lucas viatu, hatoshi nk" Sasa Ndugai katoa siri yao na...
  14. Determinantor

    Ndugai ashukiwa "kama Mwewe" na Mwenezi wa Njombe

    Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora wapinzani wake... Na Kali kuliko zote, Ndugai anawashikilia Wabunge 19 wasio na vyama kinyume na Katiba...
  15. D

    Msitu umejaa wawindaji. Miruzi mingi humpoteza mbwa, hata kwa Ndugai tutahama kama ilivyokuwa kwa Polepole.

    Nitarudi baadae, kama wengine hawajanielewa. Nasongea kuangalia Mayele, Fei na wataalamu wa mpira wa Yanga.
  16. M

    Spika Ndugai hamia CHADEMA, CCM kuna udikteta na hawapendi kukosolewa

    Jiulize kama mkuu wa bunge na mhimili unaopaswa kujitegemea kuisimamia serikali umefanya kosa gani? Kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 ambao unatumika kujengea madarasa na vyoo. Wewe unasimamia Bunge na linatakiwa kuwa imara ili kuisimamia serikali. Sio Bunge linalodharaulika kama Prof Assad...
  17. T

    Tatizo siyo Ndugai kumkosoa mama hata Nancy Pelosi, Spika wa US alichana hotuba ya Trump mbele yake. Tumeanza kukopa juzi na jana Ndugai akiwa Spika

    Ukubwa wa deni haujaanza leo, Spika hajaanza kuwa Spika awamu hii leo, Madeni ya serikali yapo hata katika bunge la leo, malipo ya hovyo yanafanyila hata katika bunge la leo. Kwa nini Spika akemee leo?
  18. M

    Jumuiya Wanawake Vyama vya Siasa: Ndugai aombe radhi kwa kauli yake kuhusu mikopo

    NDUGAI AOMBE RADHI Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni...
  19. U

    Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu

    Ndugu zangu wa JF Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu...
  20. T

    Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, kwa miezi 6 Mama amekopa Trilioni 10, Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana.

    Kwa miaka 5 na miezi kadhaa, yaani kuanzia 2015 hadi March 2021 Magufuli amekopa kiasi cha Trillioni 36, kwa wastani wa Trillioni 7 kwa mwaka. Magufuli amefariki March 2021 Deni la Taifa liko Trillioni 72. Kwa muda wa miezi 9, yaani kuanzia March 2021 hadi December 2021 deni la Taifa ni...
Back
Top Bottom