ndugai

  1. S

    Ni kweli Ndugai amemshambulia Rais Samia vibaya sana

    Hata kama ni kueleweka Mheshimiwa Ndugai alishindwa kujizuia na hormones zake zikamtoa kwenye uhalisia na kumuweka kwenye attacking ya liwalo na liwe, hasira ambazo unaweza kuuwa bila ya kukusudia ni hatari sana tuseme aliamua kujitoa muhanga. Nimeisikiliza kideo zaidi ya mara tatu ili kupima...
  2. B

    Ndugai awadhibiti wanaodhalilisha Bunge

    Kuna watu siku za karibuni wamesahau kuwa bunge ni mhimili na Mh. Job Ndugai ndiye aliye mkuu. Hali hizi hazina afya hata kidogo: Huku ni zaidi ya kutaka kumchezea sharubu chui aliyejeruhiwa. Mh. Job Ndugai unavyo vyombo vya kutosha chini yako. Kwa hakika tunaamini unavyo vyote...
  3. Suzy Elias

    Naogopa sana Ndugai akizungumza ukweli

    Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe! Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma. Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana! Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025'...
  4. Poppy Hatonn

    Ndugai asifukuzwe. Rais ndiye awe impeached

    Ndugai wamemsema mpaka amepata maluweluwe. Rais anataka tu kuliangamiza taifa na pressure zake za 2025. Come 2025 rais anataka aonekane amempiku Magufuli kwa kila kitu. Hii inaitwa kicking the can down the road. Sooner or later itabidi tulipe hayo madeni. Usisikie mtu anakuambia madeni...
  5. M

    CHADEMA wamesahau madhila yao wanamshambulia Ndugai huku wakisahau Mwenyekiti wao yupo nguvuni

    Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku. Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano. Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni...
  6. Komeo Lachuma

    Covid 19 (Wabunge Kharamu) ni wakati sasa wa Kumkana Ndugai mara 3. Kabla Jogoo hajawika. Achaneni naye kwa sasa siyo Deal tena

    Ili kupata ithibaki inabidi sasa muhamie upande wa kumtetea Rais. Mkibaki kushangaa shangaa mtakuja kupigwa chini Ndugai akiondolewa. Hili nawashauri. Anzeni nanyi kumrushia mawe na madongo akifa huku hamjarusha hata jiwe moja mtaonekana mlikuwa nyuma yake. Lazima muwe wajanja kama nyoka. Kwa...
  7. B

    Spika Ndugai, pamoja na Msamaha kukataliwa atembee Kifua mbele

    Mheshimiwa Ndugai kwa kutoa maoni yake kama mtanzania na kama mbunge hakuvunja sheria yoyote. Kilichofuata baada ya kauli yake hakuna asiyekijua. Labda ilikuwa katika kudhania afunike kombe, kumbe hapo tena ndipo sasa wale nyuki wa mama walipokuwa wanasubiri! Kwa matukio mawili haya sasa...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Ndugai hakutakiwa kuomba msamaha; Sasa kajitia kitanzi mwenyewe

    Kwema wakuu! Katika duru za kisiasa, kinachoendelea ni sakata la Mhe. Spika na Mkuu wa nchi, Mhe. Rais Samia. Nimesikiliza pande zote mbili nikaona nami nitoe maoni yangu. Kama mimi ndio ningekuwa Spika nisingeomba Msamaha, ningeweza kufafanua kauli zangu kwa namna ya kutetea kile nilichokuwa...
  9. T

    Kumuacha Spika Ndugai ni tatizo lakini pia kumng'oa laweza kuwa tatizo zaidi

    Ndugu wanabodi kuna msemo wa Wana kusini uliozoeleka, nanukuu "ukitema nchale ukimeza nchale" Ukiacha huo kuna mzee aliwahi kusema ukiona mkono umenyoshwa Kutoka gizani usiukate. Kwa misemo hii miwili naona inasadifu kinachoendelea ndani ya CCM kuhusu sakata la Ndugai. Ni kweli kuwa mheshiwa...
  10. S

    Ndugai kujiunga na Chama kikuu cha Upinzani Itapendeza

    Wadau vipi ? Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu? Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea...
  11. THE FIRST BORN

    Kwa hili la Ndugai na Rais, linaonesha watanzania ndio tuna matatizo makubwa

    Habarini! Hii vita inayoendelea inaonyesha Jinsi gani watanzania ndio tuna shida kubwa na ndio sababu hatuendelei. Ndugai kasemea Juu ya jambo ambalo lina maslahi kwa Nchi lakini anakuja Mtu ana mjibu kwa kuangalia Maslahi yake tena kwa kejeli watu Wooooteee wanashangilia Kweli Mpo serious...
  12. Zanzibar-ASP

    Japokuwa simkubali Ndugai, lakini katika hili ameonewa na kudhalilishwa isivyo sahihi na Rais

    Ngoja niweke ushabiki na chuki zangu pembeni dhidi ya Ndugai, katika hili la sasa la Rais Samia kumfokea, kumdhihaki, kumbeza, kumnanga na kumzodoa hadharani Spika wa bunge la Tanzania, Job Ndugai binafsi ninaona sio haki, sio uungwana na sio heshima. Spika Ndugai ameonewa na kudhalilishwa...
  13. F

    Ni udhaifu mkubwa sana kumshambulia Ndugai ilhali aliomba msamaha na kutolea ufafanuzi kauli yake

    Nimeshangazwa Sana na Kauli za kejeli na michambo illiyoelekezwa kwa spika ndugai siku hi ya leo na mkuu wa nchi mawaziri na makada was chama changu. Kama Job alitumia muda mwingi hivyo kusahihisha makosa yake na kuomba msamaha hata Kama kwa unafiki,walipaswa kumstahi. Hii inaonyesha hakuna...
  14. Stuxnet

    Imethibitika Uwezo wa Kiuongozi wa Job Ndugai ni Mdogo Sana; Je Alipatikanaje?

    Tazama haya machache; 1. Kumpiga Chilongani mgonbea mwenzie kwenye kura za maoni CCM Kongwa 2015 2. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19 3. Kumrudisha Cecil Mwambe wa CHADEMA ambaye alikuwa amejivua uwanachama mwaka 2020 4. Kuwakumbatia...
  15. Zanzibar-ASP

    Kwanini Ndugai asimuite Samia kuja kujieleza kwenye Kamati ya kudumu ya Haki na Kinga za Bunge?

    Kufuatia matamshi makali na vijembe vizito vilivyotolewa na Samia dhidi ya Ndugai kiasi cha kuleta sintofahamu na kutafsiriwa kama jambo lenye kufedhehesha na kukidhalilisha kiti cha spika wa bunge, nadhani kuna haja ya Ndugai kutumia yale mamlaka yake ya siku zote aliyonayo kikatiba ili kumtaka...
  16. Greatest Of All Time

    Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya kesho

    Kufatia sakata linaloendelea sasa nchini, hebu tabiri vichwa vya habari katika magazeti ya kesho
  17. B

    Msamaha kubutuliwa, Ndugai aungwe mkono

    Ndugai kama binadamu alitoa mawazo yake kwa mtazamo wake. Hata hivyo bila shaka nje ya alichokiamini, kwa nia njema alilazimika kuomba msamaha. Pamoja na kuomba msamaha kwa nia ya kuwaridhisha wakubwa kinyume cha utaratibu kumbe vita ndiyo bado asubuhi. Alitoa mawazo yake pia Polepole kwa...
  18. Mozila

    Spika Ndugai kakosea lakini pia hajakosea

    Katika hili suala la Job naona alichokosea ni nadharia ya mambo ya kitaalamu (uchumi na mikopo) ambayo kama mkuu wa mhimili alipaswa apate ushauri wa wataalam kabla hajatoa maoni yake public, lakini hajakosea kupishana na Rais kwa kuwa tu wanavaa wote kijani. Zile habari za "fikra za mkiti...
  19. T

    Rais Samia kuwasifia waliomporomoshea matusi Ndugai, anashuka Kitonga kwa gia namba 5

    Tumewasikiliza wahuni wale hawakujibu hoja ya Ndugai, Wala mama hajajibu hoja. Alichofanya ni kuongezea matusi mengine. Washauri wa Ndugai wangemwambia akae kimya Wala asimtafute mama azungumze naye faragha. Wahuni wengine watakuwa wanaendelea kumtenga mama na Ndugai. Hii tabia ya kusikiliza...
  20. REJESHO HURU

    Spika Ndugai, ili kujenga heshima jiuzulu Uspika wa Bunge

    Hili suala Wala haliitaji mjadala kama uliita vyombo vya habari ukaomba msamaha kuwa umekosa unaombwa usamehewe, reaction yake Leo mama ilikuwa ni kusema amekusamehe ila mama kukaa kimya na kukushangaa na kusema una stress za 2025 hauna budi kujiuzulu uspika. Ukikomaa kuwa wewe ni mhimili...
Back
Top Bottom