ndugai

  1. J

    Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

    Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake. Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa? Yohana nauliza kwanini Freeman...
  2. S

    BAWACHA kumvaa Ndugai kwa Kigodoro - Gear habib kurusha live

    Wanasema Ndugai amechokoza manyuki jike sasa ni neno kwa neno na kama haitoshi huwenda wakamvaa Ndugai hadi nyumbani kwakwe na ngoma ya kigodoro. Ndugai omba msamaha au wacha kujibizana na kupashana na wanawake. Imekuwa sasa ni kujibizana,Ndugai mambo ya wanawake huyawezi shauli lako !
  3. J

    Spika Ndugai ataka PAC kuwahoji watendaji wa Tanesco, TRC, Muhimbili na Posta kwanini hawakupeleka mahesabu kwa CAG!

    Spika wa bunge ameyashangaa mashirika makubwa nchini kama Tanesco, TRC, Muhimbili, MOI na Posta kushindwa kuwasilisha mahesabu yao kwa CAG. Ndugai ameitaka kamati ya bunge ya mashirika ya umma PAC kuwaita watendaji wa mashirika hayo na ikiwezekana wataishauri serikali ivunje bodo za mashirika...
  4. Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

    Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi! Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka...
  5. Spika Ndugai, waonee huruma akina Halima Mdee. Jela uliyowaweka inawatesa na kuwatweza, ifike mahali uwaache

    Amini nawaambieni, akina Halima Mdee (waliokuwa wanachama 19 wa CHADEMA na sasa wanatajwa kama Wabunge wa Viti Maalum) wanapata tabu na mateso makuu. Wanateswa na mioyo yao (kwamba wanaonekanaje mbele ya jamii kuitwa Wabunge huku wakiwa hawana chama chochote cha siasa kwasasa). Wamepoteza au...
  6. Nini hofu ya Spika Ndugai kuchukua hatua dhidi ya Wabunge kina mama 19 wanaodaiwa kuwa ni wa CHADEMA?

    Hebu kila GT yeyote aitazame na kuisikiliza video clip hii ya Spika Ndugai Job mwanzo mwisho. Umeelewa na kujifunza nini baada ya kusikiliza? Kwanini unadhani Spika wa Bunge la JMT ndg Job Ndugai anapata wakati mgumu kuchukua maamuzi sahihi kwa hawa kina mama na badala yake anapiga siasa...
  7. Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?

    Nimeona niliandike hili sasa hapa JF na kwa uwazi ili kutoa angalizo mapema kwa mwelekeo wa siasa za Tanzania huko tuendako. Watanzania kwa sasa wametega macho na masikio kuona ni namna gani Rais mpya wa Tanzania, mama Samia Suluhu anaweza kuivusha Tanzania inayopitia kwenye mikwamo mikubwa wa...
  8. Ndungai na Dkt. Tulia hawaelewani? Kila moja anafanya yake

    Kama itakumbukwa kupitia walioitwa wabunge 19 wa CHADEMA baada ya kufukuzwa uanachama, kumetokea sintofahamu inayowachanganya watanzania kutokana kauli za viongozi hawa wawili Spika wa bunge na Naibu wake. Alisikika Naibu Spika akisema kua wabunge wale ni halali na kuwataka wabunge kuacha...
  9. Kama Barua yenu kwa Spika Ndugai imeitwa 'Kipeperushi' mkienda kukutana na Rais Samia angalieni tu asiwaite 'Wapuuzi' pia

    Ni kweli Spika Ndugai ana 'Mapungufu' yake, ila na Mimi GENTAMYCINE sasa taratibu naanza kuona pia kuna Matatizo ya 'Kimsingi' kwa upande wa Wapinzani ( hasa CHADEMA ) juu ya madai yao ama kwa Serikali au kwa Chama Tawala ( CCM ) Ushauri wangu tu Kwenu Marafiki zangu wa 'Kidemokrasia' nchini...
  10. Baba Askofu Bandekile Mwamakula asema inawezekana Job Ndugai alisoma Kitabu cha Animal Farm

    Je mliokisoma kitabu hicho mliona nini kwenye maandishi yake ? hebu tusimulieni na sisi wengine tuelewe . ==== Inaonekana Spika Ndugai alisoma kitabu cha Animal Farm! Bunge chini ya uongozi wake halikumpa Tundu Lissu nafasi ya kusikilizwa na kujitetea, lakini alihoji akiwa katika Bunge hilo...
  11. Mch. Peter Msigwa: Spika Ndugai alinishawishi nihamie CCM akidai ametumwa na Rais Magufuli

    My Take Mhimili unapogeuka kuwa dalali wa ubunge basi hatuna bunge, tuna mkusanyiko wa watu wanaounda kitu kinachofanana na bunge
  12. Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

    Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
  13. Spika Ndugai: Katiba na sheria hazina jinsia

    Nina maswali machache sana. Kwanini Tulia Ackson alilidanganya Bunge na umma wa Watanzania kuwa ofisi ya Bunge haijapokea barua ya kuwafukuza Uanachama Wabunge wa Covid-19 wakati kiuhalisia waliipokea barua tangu Novemba? Ndugai anaongelea natural justice: Alimfuta Lissu ubunge, alimpa natural...
  14. Baada ya Spika Ndugai kuwalinda Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, ni wakati wa wanasheria kumuelimisha kuhusu kutii Katiba bila shuruti

    Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia. Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji. Aidha CCM ilipomfuta uanachama Sofia Simba, alimfukuza ubunge bila kuhoji. Cha kushangaza Mwambe...
  15. Ndugai awaponda wana Mwanza kwa kuezeka nyumba zao na Mabati ya kizamani, Masufuria

    Akitoa salamu zake mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema "Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na...
  16. Bungeni : Eric Shigongo ampongeza Spika Ndugai kwa kuliletea heshima kabila la Wagogo

    Mh Shigongo ametoa pongezi hizo za kukata na shoka alipopewa nafasi ya kuchangia bungeni . "Mh Spika mimi nilidhani kazi kubwa ya Wagogo ni kujipanga barabara na kuuza maji tu , kumbe nilikuwa sielewi kwamba tunaweza kuwa na kiongozi bora kutoka huko " Chanzo : EA RADIO
  17. Spika Ndugai ahoji kwanini pesa zinakwama Wizara ya Fedha. Amtaka Waziri kujiandaa akisema "Siku ya Wizara yake nitakamata shilingi mwenyewe"

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai leo amehoji kwanini Fedha zinakwama Wizara ya Fedha akimtaka Waziri kujiandaa akisema, "Siku ya Wizara yake nitakamata Shilingi mimi mwenyewe" Ndugai ametoa kauli hiyo Bungeni Dodoma wakati Bunge likijadili Hotuba ya Wizara ya Nchi - Ofisi ya Makamu wa...
  18. Askofu Mpemba amchana Spika Ndugai na wabunge 19 waliobatizwa jina la "COVID-19"; Wamevunja Katiba, warudishe fedha

    Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana. Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda. Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe U-Spika kabla...
  19. Spika Ndugai atakubali aibu kuwa alivunja na kuisigina katiba?

    Naona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani. Chadema nao wakafanya kweli wakawatimua wabunge walioapishwa na Spika Ndugai na hii ni wazi kuwa hawana sifa ya kuwa...
  20. Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…