Habari zenu wakuu,
Ndugu sio kama marafiki, ndugu atuchagui ila tunajikuta wapo kwenye maisha yetu tu. Ndugu ni kiungo muhimu sana kwenye maisha ya kila mtu hasa pale anapokuwa chanya kwako.
Kwa upande mwengine kuna ndugu hasi hawa sio supportive, full majungu, uchawi, ubinafsi na mambo...