ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Hatimaye Waislam nao wamefikiwa na wasanii kwenye mahubiri

    Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi. Nimemaliza
  2. EddyArt

    Ndugu zangu ninaombeni zabuni ya sanaa ya uchoraji picha za ukutani kwa majengo ya kisasa

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5. Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za uchoraji kwani ninafanya kazi kwa bei nafuu kwa kumjali mteja. Nikiwa kama kijana ambaye sina ajira...
  3. UMUGHAKA

    Yanga anaanda kikosi Cha CAFCL, niwatoe hofu Simba tarehe 8 leteni timu msiogope Wala Yanga hawana tatizo na nyie, sisi ni ndugu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
  4. Majok majok

    Adui wa ndugu yako ni adui yako ,,,Tumewalipia Simba deni lao la kichapo cha bao 4-0 toka kwa AMAKHOSI!

    Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief! Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote, siwatishi lakini Yanga wanatisha! Moja ya pre-season Bora kabisa imefanywa na Yanga msimu huu!
  5. 4

    Kwako Ndugu Rais , ombi ,DC wa kimataifa awe kwenye baraza la Mawaziri

    Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa . Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya yake, na hatujuani , ila nalazimika kukuomba katika mikeka yako awepo katika baraza la mawaziri ...
  6. U

    Kauli ya kishujaa ya mke wa Masanja Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe!

    Wadau hamjamboni nyote? Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja "Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe lazima usamehe, lazima uachilie" Je unampa ushauri gani? Njozi njema!
  7. Wauzaji wa containers

    Anza kuwanyima watu taarifa zako hasa ndugu ,marafiki

    Tumia kanuni ya kuwanyima watu taarifa zako . Wasijue upo wapi Wasijue unafanya nini Wasijue Kazi yako Wasijue biashara zako wala kazi zako. Wasijue mipango yako Hii -ndo njia bora ya kuwa safe wewe dili na watu ambao mnafanya wote maisha . Hakikisha unakuwa na sura mbili Hakuna kitu...
  8. U

    Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

    Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza. Mchana mwema
  9. R

    Ndugu Mwigulu, kama makusanyo ya Bandari anakusanya DP World, tutakwepaje bankruptcy?

    Salaam, shalom!! Ikiwa lango la Nchi, lililo na makusanyo makubwa kuliko yote, tumemkabidhi mgeni atukadirie mapato baada ya Kutoa gharama zake za uendesgaji na ukusanyaji tutakwepaje kuwa bankrupt? Tuliambiwa kwamba, akiingia DP World, atasaidia kufadhili budget ya nchi yetu zaidi ya 50%...
  10. G

    Benefiti za alie na masters katika jeshi la kujenga taifa

    Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na...
  11. realMamy

    “Njoo Kesho” kwenye Taasisi za umma ni Kidonda Ndugu

    Ifike mahali hiki kitu kikomeshwe mara moja. Baadhi ya watumishi kwenye Taasisi za umma ni kero na hawana adabu hata kidogo. Kuna baadhi ya Taasisi za umma ziko maeneo ya Mkoani au mjini kabisa mtu anatoka zake madongo kuinama anatumia nauli kubwa anafika hapo ili ahudumiwe lakini cha achabu...
  12. Nyanda Banka

    Nauliza hizo pesa wanatoaga wapi ukifa na je ndugu zako watachukua muda gani kugawana Mali zako

    Ukiumwa ndugu zako hawata kuchangia wala kukupa msaada wakidai hawana kitu, ila ukifa watasafiri kutoka mbali kuja kukuzika tena wakiwa na vitu kwaajili ya kumaliza kilio chako hizo pesa za usafiri sijui wanatoaga wapi, hii inanikumbusha ule usemi wa kwamba unaweza ukafa Kwa njaa alafu siku ya...
  13. W

    Wale msio na ndugu maisha yapo vipi ?

    Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ?
  14. Mr George Francis

    KULA SANA BATA HATA KUKU WOTE LAKINI KAMWE USIWASAHAU NDUGU ZAKO.

    KULA SANA BATA HATA KUKU WOTE LAKINI KAMWE USIWASAHAU NDUGU ZAKO. "Kama MUNGU amekujalia uwezo mzuri wa kiuchumi, weka nguvu kwa ndugu zako pia. Usiwasahau ndugu zako kwasababu ipo siku utawahitaji na usipowahitaji wewe basi tutawahitaji sisi kwaajili yako. Siku ukiumwa au kupata matatizo...
  15. Friedrich Nietzsche

    Imagine ukoo mzima sina ndugu hata mmoja Dar! Ni huzuni ilioje

    Jamani kama una ukoo kama wangu ambao ukoo mzima hamna ndugu hata mmoja Dar basi una safari ndefu sana. Yamenikuta mara 1000 haya majanga Kuna biashara naifanya na ninapata wateja wengi wa Dar lakini nashindwa kufanikisha kwasababu sina ndugu wa kumuagiza kunichukulia mizigo yangu na...
  16. R

    Ndugu Mwigulu, VAT ikishushwa Kwa 2%, Serikali haitapata HASARA ya bil 600 Bali itaongeza idadi ya walipa kodi!!!

    Salaam, Shalom!! Sina ugomvi binafsi na Ndugu Mwigulu, ugomvi wangu ni juu ya Elimu ya Uchumi na maamuzi ya mtu huyu mwenye kibri ajiitaye msomi kuliko wasomi wengine. HIZI HAPA FAIDA ZA KUPUNGUZA KODI HASA KWA WATU WA KIPATO CHA KATI NA WA KIPATO CHA CHINI. 1. BIASHARA ZILIZOKUFA ZITAFUFUKA...
  17. R

    Ndugu J. Gwajima, ushahidi wa Mpina haujathibitishwa popote, hivyo huna HAKI ya kusema amedanganya

    Salaam, Shalom!! Leo naongea na Ndugu Gwajima kama kiongozi na mwakilishi wa wananchi, na SI kama Askofu madhabahuni. Nimekusikia ukidai na kumtuhumu Ndugu Mpina kuwa mwongo bila kuthibitisha UONGO huo Kwa data na ushahidi kama alioutoa ndugu Mpina hadharani. Umeenda mbali zaidi na Kutoa...
  18. kwisha

    Naombeni ushauri ndugu zangu

    Jambo ndugu zangu Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama Sasa ilo jambo linanitatiza Sijui nyinyi mnanishauri nini
  19. G

    Kuwa na mtoto moja wakati wazazi wana uwezo wa kuongeza liwe kosa la jinai, ni kumnyanyasa mtoto kukosa ndugu + upweke

    Kuna wazazi huwa wanaamua kwa maksudi wawe na mtoto moja tu kwa sababu ya kuiga maisha ya utandawazi, kuogopa mimba itaingilia kazi zao maofisini, kukwepa gharama za kulea watoto, kutaka kumpa umakini / attention mtoto moja tu, n.k. mtoto anakuwa hana kaka wala dada. yupo peke yake, is it fair...
Back
Top Bottom