Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.
Habari zenu watu wa mapenzi.
Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani.
Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then...
Moja ya viongozi wa hovyo kabisa ni huyu waziri wa TAMISEMI, kwanza sijawahi kumuelewa huyu jamaa capacity na uwezo wake.
hapo alipo.? Hawa watu walipaswa kuwa wapiga madufu. Unfortunately wameingia kwenye ofisi za Umma wakidhan kwamba kila kitu ni maagizo
Mkwe anakuaje waziri wako...
Salaam ,shalom!!
Tayari zoezi la kuboresha taarifa katika daftari la wapiga kura limeanza, tujitokeze Kwa wingi maana mbeleni hutopata fursa hii adhimu.
Haya mambo ya Tindo kugomea kupiga kura Kisha unawatuhumu chama kile kuiba kura Ukiwa nyuma ya keyboard, tuachane nayo.
Mungu ibariki Nchi...
Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi
Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Bukoba imelikubali ombi la Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP)
la kuzuia kutumika kwa majina na taarifa za mashahidi katika kesi ya mauaji ya moto mwenye albino, Asimwe Novath.
Uamuzi huo wa Mahakama unatokana na maombi ya DPP kupitia maombi ya jinai namba 23143 ya...
Niende kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zetu Wamasai kwa sasa hofu imetanda; hawalali usingizi tena, hawajui nini kitatokea. Katika hali hiyo, wanalala wima kwa sababu ya hali ya sintofahamu inayowakabili. Nadhani hawalali usingizi tena.
Tuhamasishane kupeleka misaada ya chakula, maji, na...
Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na kuondoka, mabinti wengine walikua wanakuja kujifunza cherehani na kuondoka, na sio kwamba mzee...
Hawa wabunge huwezi wasikia kwenye swala lolote la kutetea Wasai wenzao wanao taabika na wanao kuwa wakimbizi chini ya utawala wa kikaburu wa CCM, hawa wanangoja vipindi vya kampeni vifike wakawadanganye wamasai wenzao na kuwalisha nyama ili wawapigie kura tena.
Hawa wabunge huu ulikuwa ni...
Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako.
Upande wa mke au mume, huyu ni rafiki, urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya, hivyo si vyema kuumia na rafiki asie mwema.
Labda kama kuna mawazo mengine.
muwe na siku njema.
Mwanaume kumbuka kwamba uyo Lusifa unaemuita mke, mchumba, baby n.k sio ndugu yako uyo, ni stranger tu ambae umekutana nae ukubwani akakubali kujiweka kwako kwa masilahi yake, ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kukuacha bila kujali sacrifices zote ulizofanya kwa ajiri yake, na kama cheti cha ndoa...
Salaam Shalom!!
Umesikika ukitoa maelekezo kwa Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni Ukiwa jukwaani kupitia Naibu wake uliyekuwa naye ziarani Geita, kuwa, " Si mambo yote ni ya kuyatatua kisheria, wanasiasa tuachwe tuzumgumze, tafuta namna ya kuwaachia huru viongozi wa upinzani waliokamatwa"...
Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani.
Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa.
Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
Akihutubia wananchi wa mkoa wa Kagera makala amesema chadema wameshindwa kabisa kujibu kiu ya Lissu ambapo Lissu amelalamikia rushwa na kukosekana demokrasia ndani ya CHADEMA lakini hawana mpango wowote kuyashughulikia.
Ndugu Makalla amesema kutokana na ukweli huo alimsikia Lissu akisema...
Hi JF.
Ndugu zangu naomba mawazo yenu.
Ni hivi, kuna nyumba iko hapo Mbezi Maramba mawili naona kama nilipoteza muda na hela zangu bure coz haina faida yeyote kwangu tokea nimeijenga.
Ilipokamilika nilimpa uncle wangu na wife wake wakae. Baada ya miaka 3 ndugu akajiongoza akaenda panga 2...
Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu hawapokei unapata ujembe the caller is busy ama wanakuwekea vijinyimbo vya hovyo huku ukipoteza salio lako...
Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kuna Vijana baadhi ambao wamekuwa wakinifata pm Kwa kuniomba angalau niwape kazi au Vibarua kama vinapatikana!
Ndugu zangu, kwanza nawashukuru Kwa kudhani huenda Mimi UMUGHAKA naweza kuwasaidia, yawezekana ni taswira yangu hapa JF Kwa Vijana wengi ndio...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu
Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine
Kiarabu ni mojawapo ya lugha bora Duniani tena iliyotumika kushushia kitabu kitakatifu
Asubuhi ya leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.