ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    Egypt: Hii siyo sawa kuwafanyia ndugu zenu. Kuna nini Kinaendelea hapa?

    Nimeshangaa Egypt haitaki kabisa kuwa msaada kwa wanaGaza ili wapate mapumziko. Unaona huu ukuta. Unaweza sema Trump katili sana kajenga huu ukuta kuzuia wapalestine wasiingie USA. Unakuja kuambiwa ni ndugu wa Damu. Hakuna anayewataka Wapalestine. Sijui kwa nini. Huu mpaka wa Egypt na Gaza
  2. matunduizi

    Watu wa kipato cha kati wengi wanaishi kwa hofu za kurogwa na ndugu na marafiki waliowazidi

    Mtu akioata kazi nzuri au biashara ya kueleweka, akajenga Nyumba, Akawa na shamba, na gari la kusafiria au akamuongezea mkewe kadogo ka kutembelea wengi wanaona aliowazidi wanamuonea wivu au wanamvizia wamloge. Hasahasa wale waliokulia kwenye umasikini mkali, na akapata mwanga kuliko wenzake...
  3. Norshad

    Kwa yeyote atakayeguswa na tatizo la huyu ndugu yetu, tunahitaji msaada wako

    Habari ndugu zangu. Natumai wote mpo salama, na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Ndugu zangu, na marafiki zangu na wasio kuwa Marafiki zangu, wote kwa ujumla nina jambo nataka kulileta mbele yenu kwa maana ni kweli kweli nahitaji msaada wenu, wa hali na mali na ushauri pia. Mdogo...
  4. Gulio Tanzania

    Ukipata muda nenda katembelee makaburi ya wazazi au ndugu zako

    Kuna baraka nyingi unavyokuwa unatembelea makaburi wazazi au ndugu zako ambao uliwaona kwa macho yako mwenyewe walikuwa wanafanya mema hapa duniani. Jitahidi kutembelea mara kwa mara ata kusafisha kaburi endelea kumuombea marehemu kwa Mungu wa mbinguni kuna baraka nyingi.
  5. kwisha

    Naombeni ushauri ndugu zangu

    mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri...
  6. Broadcast

    Nisaidieni swali hili ndugu zangu

    Msaada wa poem hii
  7. U

    Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
  8. mdukuzi

    Madaraka Nyerere na ndugu zake wameshindwa kulitumia vizuri jina la baba yao kujipatia riziki, wapewe mbinu

    Bob Marley tangu afariki imepita miaka zaidi ya 40 lakini familia yake bado wanakula bata kupitia loyarities na JIna la baba yao. Michael Jackson family, Tupac family, Kennedy family pia ni miongoni mwa wanufaika wa jina. Tukija hapa nchini, Karume, Kikwete, Mwinyi. Hawa familia zao vizazi na...
  9. nipo online

    Ndugu zangu JF bando mnazounga kila siku mnajingizia kipato?

    Huu mwaka kama wa 10 sasa toka nianze kumilik simu janja, naona mbs na gbs zinaishia tu kucheki ushilawadu tu katika mitandao ya kijamii Naomba msaada kwa wanaotumia mbs kujiingizia kipato lakini zitaki kupitia michezo ya kamali.
  10. Mohamed Said

    "Karibu Karibu Ndugu Jela ni ya Wanaume," Field Marshal John Okello Anamkaribisha Abdilatif Abdulla Kamiti Prison

    Nimekuwa na Abdilatif Abdulla London, Berlin, Humburg, Mombasa na Dar-es-Salaam lakini Dar-es-Salaam mara nyingi kuliko huko kote kwengine. Nimekaa nyumbani kwake Humburg. Kote tunapokuwa pamoja mazungumzo yetu ni vitabu na uandishi. Siku zote sijasahau kumkumbusha kuhusu kuandika kitabu cha...
  11. dr namugari

    Ndugu yangu amegoma kunirudishia pesa zangu

    Mwaka jana ndugu yangu kabsa wa damu alikuja na kuomba nimpatie pesa ili a bust biashara zake, kwa vile alijuwa kuwa kuna kititi nimepokea kutoka Taasis fln ya umma. Sikuweza kumnyima kwa vile mm pia nilikuwa nafikiriaa cha kufanyia hizo pesa either ninunue kiwanja dodoma am au nianzishe...
  12. GENTAMYCINE

    Je, na wale Ndugu zetu Watanzania Wawili Watatu 'aliowapitia' na Wao pia wamo katika hii Idadi au Wameuchuna?

    Watu 120 zaidi wamemtuhumu mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na kutumiwa vibaya kingono. - Wakili wa Texas Tony Buzbee amesema kuwa 25 miongoni mwa wateja wake walidhulumiwa wakiwa wangali watoto wenye umri wa miaka 9 -15. - Nusu ya idadi hiyo ni wanaume...
  13. LA7

    Nimemwambia leo silali nyumbani, ameanza kuwapigia ndugu zangu na ndugu zake simu wamuombee msamaha

    Alinibania nikamvumilia sasa nikaona huu ni upuzi ya nn niteseke sasa baada ya kugundua nimeanza mahusiano mapya ameanza kuvurugwa. Kipindi sina demu alikuwa ananijibu kwa jeuri kwa sababu alikuwa na uhakika yupo mwenyewe Sasa baada ya kuendeleza mgomo nikamwambia Leo sitalala nyumbani, kufika...
  14. Stuxnet

    Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

    Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa
  15. M

    Zimebaki chini ya siku 90 ndugu zetu wa Kaskazini kwenda kuhesabiwa.

    Kama ilivyo kawaida yao ndugu hawa kila mwisho wa mwaka kuanzia tarehe 15 Desemba na kuendelea, huenda kuhesabiwa kwenye asili yao mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Majiji kama Dar es Salaam, Arusha na Dodoma watu huwa wana pungua na hata foleni ya magari pia. Kila la heri.
  16. Cavill

    Nielewesheni Wakuu, shida iko wapi?

    Wakuu aisee nna changamoto ambayo nahitaji kuielewa kabla sijaipotezea as usual but this time nahitaji msaada wenu Ili nikiipotezea nisije jiuliza maswali kama haya Tena hapo badae.. Wanawake 1. Kwanini wanawake haswa my age Kila ninapo wakuta sehemu wanazotoa services mfano canteen, kwenye...
  17. R

    Miti ya parachichi inarefuka na kuwa myembamba

    Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi Je, nifanyajee?
  18. Manyanza

    RAFIKI vs NDUGU

    Rafiki:Ni mtu unayemwamini katika maisha ya kila siku.Kuna tofauti kubwa kati ya RAFIKI na NDUGU. 👉Una nafasi na uamuzi wa kuchagua RAFIKI utakaye mwamini na yeye kukuamini katika maisha ya kila siku lakini huna nafasi wala uamuzi wa kuchagua ndugu,kwamaana ndugu yako ni mtu yeyote yule...
  19. S

    Utawala wa Rais Mwinyi ulileta neno "Mheshimiwa" badala ya "ndugu" kwa viongozi na sasa wamekuwa tabaka lenye kujiona wako juu ya Watanzania wengine!

    Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa humfahamu, ukitaka kuuliza kitu tulianza kwa kusema "samahani ndugu, sijui basi la kwenda ferry ni...
  20. G

    Hawa watu 2, ni ndugu?

    Kuuliza si ujinga.
Back
Top Bottom