ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Gautten Potten

    Vita Kati ya Wakatoliki na Ndugu zao Charismatic

    Kwa Muda mrefu nimekuwa nikiona shida Kati ya Jamii hizi mbili yaan ni Bonge la ugomvi Kanisa limeweka zuio la Mkarismatic yoyote kutokuingia ndani ya Jengo Kupishana kwao kupo wazi. Kanisa linadai lipo sahihi kwa kile wanachosimamia na kukifuata Kama maagizo toka Ufalmeni Charismaz wanapindua...
  2. Damaso

    Ndugu wagoma kuchukua mwili wa marehemu

    Kufuatia tukio la mama mjamzito aliyejulikana kwa jina la Bi. Sophia Shabarula, mfugaji jamii ya kimasai, kupoteza maisha wakati akijifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa, ndugu na jamaa wa familia ya marehemu huyo wamegoma kuchukua mwili wa marehemu wakishinikiza kupatiwa sababu za...
  3. Bullshit

    Injili kwa ndugu zangu waislam

    Quran inasema injili na torati ni neno la Mungu na inakumbusha kuwa hakuna mwanadamu anawezakubadili neno la Mungu. Unaposema Bibliia iliaribiwa unakuwa kinyume na Quran, maana kwa mujibu wa Quran huwezi kuaribu neno la Mungu. Mungu aliumba mwanadamu kwa mfano wake, inaposema Mungu afanani na...
  4. G

    Biashara ni kama mpira hata Messi unahitaji pasi, familia / ndugu / ukoo wakiungana hufanikiwa zaidi kuliko jeshi la mtu moja

    Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja 1. Ununuzi kwa Wingi Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
  5. Akilihuru

    Ivi hili inawezekana kwel? Ebu ndugu zangu njooni mtusaidie.

    Kwanz kutanguliza salam kwa kila mwana JF mwenzetu alie humu. Sasa ndugu wana jukwaa kaka yenu, mdogo wenu au rafiki yenu nina jambo langu ambalo limenisukuma mimi kuja hapa kuomba msaada na ushauri wa kitaalam kuhusu mambo fulan fulan ya kiafya. Ndugu yenu nina mwaka mmoja katika ndoa, ila...
  6. sergio 5

    Ndugu yangu hajibiwi message wala kupokelewa simu zaidi ya kukatiwa tu

    Ni baada ya jana kugombana kidogo na mpenzi wake siku nzima anakatiwa simu mara akipiga anakuta inatumika ila akipiga yeye simu haishikwi Anaomba ushauri mzuri Cha kufanya
  7. sonofobia

    Ex Mayor Boniface Jacob atoa onyo, Ndugu yako akiitaka vita mpe anachohitaji

    Kumeanza kuchanganka Boniface Jacob mjumbe wa kamati na mwenyekiti wa pwani Chadema lakini pia ni kijana mtiifu wa Freeman Mbowe ametoa onyo. Je unahisi ili onyo limepelekwa kwa nani?
  8. The Watchman

    Hospitali ya rufaa Iringa yaanzisha huduma ya kujifungua na mwenza, ndugu au mwenza atashuhudia namna tukio la mama akijifungua

    Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa imeanzisha rasmi huduma mpya ya kujifungua, huku ndugu au mweza wako akishuhudia namna tukio hilo linavyotea. Akizungumza na mwananchi ofisini kwake December 10, 2024 Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo Dk Alfred Mwakalebela amesema huduma hiyo ni mpya katika...
  9. KING MIDAS

    Hatupeleki ndugu zetu hispitali ili wakafe, Serikali ielewe hilo

    Kuanzia utawala wa Magufuli Na huu wa Samia kuna hali moja ya kishetani sana inaendelea. Mgonjwa wako akifa hata kwa uzembe wa madaktari utazuiliwa kuchukia mwili wa nduguyo hadi ulipe mamilioni. Sisi hatupeleki wagonjwa wakafe, tunataka wapate afya na warudi nyumbani wakiwa wazima. Idadi ya...
  10. Shooter Again

    Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

    Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia...
  11. imhotep

    Ndugu yetu?!.

    Kwa mujibu wa Wanasayansi ni kwamba sisi Humans, tunaukaribu sana wa DNA na Apes, Chimps/Gorilla. 98 point something ya DNA zetu zinafanana na hata tabia zetu pia zinafanana. Vipi unakubaliana na Wanasayansi kwenye hili?! Au Dr. Richard Dawkins kaenda too far...?
  12. 4

    Mungu kanionesha ndugu Makongoro Nyerere kuwa mtu mkubwa siku za usoni

    Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo. Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa? Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo...
  13. Lugano Edom

    Mwanachuo usomapo usisahau kutafuta connection kutoka nje

    NDUGU Mwana CHUO* Usomapo Usisahau kutafuta connection kutoka nje. Ili ujue Baada ya kumaliza chuo utafanya kazi gani. Chuo kuna TIMETABLE LAKINI Haijasema uwe Unaenda chuo kila Dakika. Au Haina Maana uwepo chuo asubuhi Mpaka Jioni. *Ule muda wa free ndio muda wa kujitafuta na Kufanya mambo ya...
  14. Mganguzi

    Watu wanatekwa na kuuawa mnakaa kimya kwakuwa sio wanachama wenu wala ndugu zenu, watu wenu wakiguswa kidogo tu mnatoa matamko usiku usiku

    Nimeliona bandiko la ndugu yetu Mwigulu Nchemba, ambaye hajawahi kutoa tamko lolote kuhusu watu wanavyotekwa na kupotezwa, labda kwa sababu sio wanachama wao au ndugu zao. Hali hii inaonyesha ulevi wa kupindukia wa madaraka. Jana, baada ya watu wao kuguswa kidogo, amekurupuka kutoa matamko...
  15. G

    Wazazi hugundua marafiki wa uongo, Watoto hugundua ndugu wanafki, Marafiki hugundua mpenzi asiekufaa,

    Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki wa karibu wana jicho makini kuweza kumtambua mpenzi asiekufaa
  16. Rorscharch

    Ndugu zetu waislamu ifike muda mpunguze malalamiko na mjitafakari

    Katika huu uzi siongelei ndugu zangu Waislamu hawa "secular" wa mjini ambao wanaingia msikitini mara tatu kwa mwaka, ndugu zangu hawa ambao tunashinda nao kwenye mabaa, ndugu zangu hawa ambao wanachanganywa na mwanamke anaitwa Rose anasali kwa Mwamposa. Uzi huu unalenga Waislamu ambao aidha ni...
  17. Expensive life

    Umewahi kukejeliwa na ndugu jamaa na marafiki baada ya kununua ardhi maporini?

    Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri. Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze. Ni miaka nane...
  18. J

    Tundu Lissu adai kada wa Chadema aliyeuawa Manyoni ni ndugu wa Mwanajeshi. Maelezo ya Polisi kwamba alifanya fujo sio ya kweli

    ..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi. ..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM. ..maelezo ya Polisi mkoa wa Singida yanatofautiana na maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni...
  19. Dogoli kinyamkela

    Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu?

    Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu kabla ya kurejea tena kwenye mapambano; Au ni heri ufie ugenini kuliko kuthubutu kurudi huko? Kuna kitu nataka kufundisha kuhusu hili.
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiona ndugu na watu wanamdharau Mkeo ujue wewe mwenyewe Wanakudharau

    UKIONA NDUGU NA WATU WANAMDHARAU MKEO UJUE WEWE MWENYEWE WANAKUDHARAU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Huwezi kuwa Mwanaume mwenye heshima kama Mkeo anadharaulika, na kudharauliwa na watu wengine. Iwe ni wazazi au ndugu zako ukiona Wanamdharau Mkeo ujue hata wewe wamekudharau...
Back
Top Bottom