Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.
Baada ya kupata taarifa kupitia msamaria mwema kwamba Rais @SuluhuSamia anawinda roho yangu kupitia vikosi kazi vya utekaji, nilifanya kikao na wakili wangu. Wakili ameshauri niandike barua na kuweka public. Nimeshaandika barua na nimewapa ndugu wote ni zamu yenu kusoma barua hii.
Mdude Nyagali...
Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa...
NDUGU MOHAMMED ALI KAWAIDA (MCC) KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA,17 SEPTEMBA 2024
📍UVCCM TAIFA
17 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) anatarajia kuongoza kikao Cha baraza kuu la UVCCM Taifa Leo tarehe 17 Septemba,2024 makao makuu ya...
Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2.
Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya...
Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake
Nadhani madhumuni, misingi na malengo ya kuanzishwa kwake yameimarishwa au kuboreshwa zaidi hivi sasa na huenda kinyemela...
Infact...
Salaam kwa Wanajukwaa..baada ya pilika pilika na changamoto za hapa na pale nimerejea Jukwaani.Namshukuru Mungu Kwa Uhai..Sasa nitaweza kusoma na Kuchangia hoja
Siku hizi mitandaoni hata JF kumekuwa na posts na comments nyingi sana za chuki. Single Mama na waalimu wamekuwa wahanga wakuu wa hizi chuki. Pamoja na wingi wa watu wenye roho mbaya ila bado wapo wachache wema. Kuna watu wako tayari kukusaidia bila kukujua wala kutaka chochote kitu kutoka...
Ndugu zangu, mimi ni kijana ninayetamani kusoma lakini hali ya kiuchumi sio shwari.
Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo. Ninaombeni ufadhili nikasome, pia nikasome kozi gani kati ya hizi.
1. Medical laboratory science. Lugarawa na Rucu
2. Petroleum...
Maisha yana fumbo kubwa. Yule ambaye hauna undugu naye wowote wa karibu ndiye anaweza kuwa msitiri wako wa kwanza wakati yule ambaye ni ndugu yako wa damu anaweza kugeuka kuwa adui yako asiyetaka maendeleo wala mafanikio yako.
Tujifunze na tuchukue tahadhari.
Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine
atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !!
Hajakutafuta miaka na miaka...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akitaka kuamsha ari ya kila mtanzania kupigania haki za Mtanzania mwenzake, alisema kuwa "WATANZANIA WOTE NI NDUGU" Sentensi hii moja, kivitendo ni majumuisho ya matendo mema msululu.
1) Ndugu yako huwezi kumwua. Hawa viongozi wa CCM wanaowaambia polisi kuwa...
Hadi leo karibu 1/3 ya jeshi lote la navy la US limeshaizunguka Iran kwa lolote ikitokea kajaribu kuishambulia Israel. Watafiti wanasema US imetoa karibu meli zake zote Pacific na zimeenda kukaa kimkakati kwa lolote karibu na iran na israel.
Huu ndio urafiki, huu ndio udugu. Kwa mujibu wa...
Nimeona kwenye vyombo vya habari nchini Rais akitoa rambirambi kwa familia ambazo zimepoteza ndugu zao kwa ajali za gari ya daladala na ajali ya watoto waliozama kwenye bwawa na kufariki. Ametoa kwa kila familia kiasicha Tsh.5,000,000.
Hii ni nia nzuri na yenye kuoneaha upendo na kuwajali...
Nitafutie mwenye shepu kubwa hapo..
Nitafutie mwenye umbo namba 8 hapo...
Unamuona mweupe na mweusi hapo?
Umemuona handsome hapo?
Je unaweza kumfahamu boss na mtumwa hapo?
Umemuona mwenye PHD na darasa la 3 hapo??
Waweza kumuona mwenye 6 pack hapo?
SHORTLY
Huna uzuri wowote, huna elimu...
Ndugu zangu:
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Huyu ndugu anayetafutwa asili yake ni Zanzibar, Baba yake mzazi alishafariki. Lakini amekulia Dar es salaam.
Ana mjomba wake maeneo ya Kinondoni.
Mjomba wake by 2020 alikuwa ni Dr. Hapo maeneo ya Kinondoni. Said Jamal ATHUMANI katika
maisha...
Kwa mzazi inaweza isikuingie akilini kwamba watoto wako unaoishi nao nyumba moja wanaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ila ukweli uko hivyo, yapo matukio mengi ya aina hiyo ambayo yanaendelea kushika kasi kwenye jamii.
Hii inahusisha ndugu wa damu, ndugu wa familia au ukoo na hata baba na...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Niwatakie Usiku mwema
"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia"
Kutoka 20:4
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.