ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. ninjajr

    Huwa mnapiga story gani siku ya kwanza kukutana na ndugu yako ambaye hujaongea nae zaidi ya mwaka

    Za usiku wana JF na poleni na shughuli za kujenga taifa. Nina ndugu yangu wa kiume upande wa maza mkubwa kidogo ila ni kama tunalingana na mimi pia ni kiume tulikuwa close saana kipindi cha nyuma karibia mwaka sasa hivi ule ukaribu ulikufa wote. Kwa mara ya kwanza tulipingana kauli hadi...
  2. JanguKamaJangu

    Afisa Ustawi wa Jamii Ubungo: Watu kutoka kanda ya ziwa wanaongoza kutelekezwa na ndugu zao Stendi ya Magufuli

    Taarifa ni kwamba watu wengi wanaotoka mikoani kuja Dar es Salaam wamekuwa wakitelekezwa na ndugu zao stendi ya mabasi ya Magufuli, mamlaka za kituo hicho zimeamua kutangaza kwa kutumia Spika kuhusu ndugu ambao wanatelekezwa au wamekosa mwenyeji. MIKOA INAYOONGOZA KUTELEKEZA NDUGU ZAO STENDI...
  3. Mr George Francis

    Wazazi na ndugu zako bado wanaishi

    Mwanaume unayetarajia kuoa au ambaye umeshaoa, pamoja na majukumu mengi uliyonayo, lakini unapaswa kukumbuka kuwa wazazi na ndugu zako bado wanaishi. Neno la Mungu linasema, MWANZO 2:24 "Kwa hiyo mwanamume ATAMWACHA baba yake na mama yake naye ATAAMBATANA na mkewe, nao watakuwa MWILI MMOJA."...
  4. KING MIDAS

    Je, unajipenda wewe na ndugu zako? Usithubutu kufuga hizi jamii 25 za mbwa, ni HATARI SANA

    Fikiri mara mbili kabla hujaamua kufuga mbwa hawa nyumbani kwako. Airedale Terrier Airedale Terriers ni mbwa wanaopenda kujitegemea na kuwa huru. Ni mbwa wenye akili sana lakini ni wasumbufu mno. Mbwa hawa wanajulikana kama Mfalme wa Uharibifu. Airedale Terriers wanapenda sana kucheza...
  5. Kalaga Baho Nongwa

    Mfumo fisi maofisini

    Habari ya muda huu wanajf. Naimani tuko vizur mnoo, mvua kila Kona shida kwa wafanyakaz biashara ndogondogo. Msikonde ndugu zangu tupambane, tukomae.. life is no longer space for leasure but only struggle to survive. Midabwada nimekuwa mchangiaji mkubwa sana kwenye madabalimbali nilizokuwa na...
  6. BARD AI

    Zimbabwe: Ndugu wa Rais Mnangagwa akutwa na hatia ya kutorosha Dhahabu ya Tsh. Milioni 749

    Mfanyabiashara Henrietta Rushwaya, ambaye ni Mpwa wa Rais Emmerson Mnangagwa amekutwa na hatia ya kujaribu kusafirisha Dhahabu yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 749 kinyume na Sheria Henrietta, ambaye ni Rais wa Shirikisho la Wachimba Madini, alikamatwa Uwanja wa Ndege akisafirisha Vipande...
  7. Kariakooking1978

    Wauzaji wa bidhaa mtandaoni sio ndugu zako.Watu wa mikoani mtapigwa sana na watoto wa mjini kisa ubishi na kupenda vitu vya bei rahisi

    Hellow members,Leo nimekuja na tukio lililotokea leo asubuhi baada ya moja ya mteja wangu kuingia mkenge kwenye rada za matapeli. Ipo hivi mimi najihusisha na kununua/kufuata,kufunga na kusafirisha mizigo kutoka Dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania kila siku na hivyo basi nimeweka Matangazo...
  8. Mhaya

    Ndugu na marafiki hawataki ufanikiwe ila wakipata shida wanataka uwasaidie au kuwachangia

    Katika jambo ambalo mimi binafsi linanishangaza ni namna ambavyo unaweza kuta mtu kama ndugu yako, rafiki yako, jirani yako, classmate wako, na mtu yeyote ambaye kidogo mnaukaribu anachukia wewe ukifanikiwa, au anakubania connection, au anakuchongea ufukuzwe kazi, au hataki upige hatua...
  9. sky soldier

    Usiwasahau ndugu kisa una marafiki, tujifunze kuwapa nafasi wote

    Kuweka stori iwe fupi ni kwamba ndugu huyu alijiingiza kwenye kununua mali iliyotumika pasipo mkataba wala risiti, kanasa kwenye tundu hapo juzi na kiasi kilichohitajika ili achomoke ni milioni 1. Ana marafiki wengi lakini kwenye hili tatizo wameingia mitini ni wawili tu ndio wamechangia cha...
  10. Mhaya

    Watu wa Dar acheni kuwatelekeza ndugu zenu stendi

    Watu wengi wanaoishi Dar es salaam wakipigiwa simu na ndugu zao wa mikoani, hawataki kusema ugumu wa maisha ulioko Dar es salaam badala yake wanasifu uzuri wa jiji na raha zilizoko kwenye jiji hilo namba moja nchini Tanzania. Kupelekea kuwafanya na ndugu walioko mikoani kutaka kufunga safari...
  11. Objective football

    Kama sio huyu mama sijui ingekuwaje ndugu zangu

    Ndugu zangu nimeona niwasanue mapema usipopata mchongo ama ajira awamu hii ya mama Samia imekula kwako kama kijana ambaye kitaa kilinichakaza vya kutosha nakushauri fanya yafuatayo 1. Suka Cv yako sambaza kwenye NGOs na private companies . nakushauri hivi kwasababu kuna kundi kubwa la washkaji...
  12. Gol D Roger

    Usimkopeshe ndugu yako

    Habari🖐 Kwa miaka mingi nilikiwa nikisikia huu usemi, sasa nimeuamini. Usimkopeshe ndugu yako, hata kama anakuja kwa kuburuza magoti na machozi yanamtiririka. Usimkopeshe ndugu yako, kama una hela, msaidie, aende zake, mbaki na amani. Narudia tena usimkopeshe ndugu yako, kama ana shida bac...
  13. Tlaatlaah

    Ndugu zangu UKIMWI is real

    Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana". Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma...
  14. Jicholamwewe

    Nahitaji msaada ndugu zangu kwenye kupata Hati ya kusafiria

    Nina ndoto za kusoma nje, nilifanikiwa kupata chuo na scholarship lakini napata changamoto nimekosa passport yaani nimenyimwa sababu mzazi alishindwa kujieleza yaani alipishana kauli na Afisa uhamiaji. Sasa nimepeleka documents zote na barua ambayo nimetumiwa na chuo ili wanisaidie hata...
  15. N

    Naweza kuongezewa mkopo HESLB?

    Habarini ndugu zangu naomba kuuliza kama nimepata mkopo asilimia 20% je, naweza kuomba kuongezewa?
  16. cold water

    Kufikia guest vs kufikia kwa ndugu

    Let s say unaenda sehemu fulani ni ugenini na hiyo sehemu unayoenda inaweza kuwa na ndugu zako au marafiki vipi ni bora ufikie guest au kwa ndugu? Hilo ni swali sasa twendeni kwenye point au ujumbe niliotaka ku-share hapa. Nilisafiri last month kutoka mkoa ninaoishi kwenda mkoa fulani...
  17. Pang Fung Mi

    Ujio mpya wa Ndugu Paul Makonda ndani ya CCM ni mfano wa Injili ya Mtume Paulo katika Biblia

    Kipekee kabisa natumia fursa hii tena kuutazama uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama dhamira njema ya Rais SS Hassan kuisogeza CCM karibu na wananchi hasa katika kusimamia watendaji wa serikali ili CCM kupitia Serikali yake iweze kutimiza ahadi zake na malengo kwa...
  18. sky soldier

    Hizi ndio sababu huwa sitaki kuwaweka ndugu kwenye biashara zangu, Ni heri niwape mitaji wafungue biashara zao wapambane kivyao !!

    Biashara ntashirikisha familia yangu niliyoijenga (hasa watoto) ama familia niliyotokea (kaka, dada, wadogo zangu, wazazi), nje ya hapo hawa watoto wa mjomba, ma mkubwa, ba mkubwa, ba mdogo, ndugu flani, n.k. sidhani kwakweli, undugu uwepo na ninaweza kuwasaidia mitaji ama kuwasimesha pamoja na...
  19. TUKANA UONE

    Mimi na Ndugu yangu Gentamycine tunawatakia Simba Ushindi wa Kishindo

    Ukihitaji salamu subiri kwanza mechi ya kesho iishe! Mimi TUKANA UONE a.k.a Mpiga lamination mbele na nyuma! Pamoja na ndugu yangu na mtani wangu GENTAMYCINE a.k.a Mkunyubenga Kwa Pamoja tunawatakia Timu ya Simba ushindi mnono hiyo kesho pale kwa Mkapa.Mimi kama shabiki wa mabingwa wa nchi...
  20. uran

    Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

    Wakuu hebu tujibu hili swali, Ni wangapi kati yetu wanajua wako kundi lipi la Damu? Kama unajua litaje. Leo nimegundua watu wengi sana hawajui kabisa hili jambo dogo na muhimu kwenye maisha yetu. Kuangalia (kucheck) ni gharama ndogo sana. Btw who is your blood group partner here JF...
Back
Top Bottom