Habari🖐
Kwa miaka mingi nilikiwa nikisikia huu usemi, sasa nimeuamini.
Usimkopeshe ndugu yako, hata kama anakuja kwa kuburuza magoti na machozi yanamtiririka.
Usimkopeshe ndugu yako, kama una hela, msaidie, aende zake, mbaki na amani.
Narudia tena usimkopeshe ndugu yako, kama ana shida bac...