Kuna kanuni zilizowekwa kwa mjibu wa sheria ya uchaguzi wa namna ambavyo wagombea wanatakiwa kuzifuata wanapofanya kampeni kushawishi kura za wananchi. Kabla ya kuteuliwa na NEC wagombea hawa waliapa mbele ya mahakimu au majaji kuwa watazingatia kanuni na maadili hayo yaliyowekwa kwa mjibu wa...
Kwa yanayoendelea sasa kuhusu kesi za uchaguzi na malalamiko mengine yanayohusiana na uchaguzi hasa kuhusu wagombea kuenguliwa,ni matokeo ya kuwa na sheria mbovu ya uchaguzi inayotoa mwanya wa wagombea kupita bila kupingwa huku Tume ya Uchaguzi ikiwa ndio alpha na omega katika kuamua nani...
*Lwakalinda Kalikawe Bagonza kaandika hivi:*
NEC WAHURUMIENI WANANCHI
NEC WAHURUMIENI VIONGOZI.
Kuna jambo haliko sawa. Kama liko sawa, basi kuna jambo haliko sawa ndani yangu.
1. Ni mzigo na adhabu kubwa kwa Wananchi kuongozwa na kiongozi ambaye hawakumchagua. Ni kuwatesa wananchi, ni...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020.
Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo:
1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi.
2. Imekataa...
Pia, soma Uchaguzi 2020 - Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020
Wapwa,
Tujadili, matumizi ya teknohama yanazidi kukua kila siku, teknohama imekuwa nyenzo kubwa ya uhuru wa mawasiliano na habari. Najaribu kufikiria vipi kama Tanzania kwa kujali umuhimu wa teknolojia, tukaamua kutumia camera kwenye vituo vya kupigia kura, je itasaidia kuongeza...
Habari wadau naomba kujua kazi ya NEC ni nini?
Je, ni kukata wagombea? Je, ni kuelimisha wagombea jinsi ya kujaza form na kuwapa muongozo? Je, ni kupiga kampeni kichama? Je, ni kudidimiza siasa?
Siwaelewi hawa watu, nilijua wao wawe walimu wa mchakato wa Uchaguzi na ujazaji wa fomu kwa usahihi...
Chukua corporate structure ambapo Mkutano Mkuu ni shareholders, NEC ni Board Members na CC ni Management. NEC ndio halmashauri kuu hiyo, so mkutano mkuu ni wawakilishi wa wanachama watano toka kila wilaya. Ndio chombo pekee kinachoweza kubariki mabadiliko makubwa ndani ya chama.....mabadiliko ya...
NEC yazika mzimu wa Richmond
*Baadhi ya wabunge watetea watuhumiwa rasmi
*Wataka mijadala ya EPA, Richmond iwekwe kando
* Wengine wataka wachukuliwe hatuza zaidi
*Kikwete awaruhusu kuikosoa serikali kwa hoja
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Mwananchgi
KUNDI la wabunge na wajumbe wa Halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.