Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .
Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya...
Wadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo. Kwanini hamna maarifa? Dr. Mahera umejitokeza mbele ya watanzania na kuhabarisha kuwa mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu amekiuka Kanuni za Maadili ya Uchaguzi. Ukasema kuwa una...
Zipo taarifa kuwa baada ya Tundu Lissu kutaka tume ipeleke barua kwake akiwa Serengeti tume imemtuma mtumishi mwandamizi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki kupeleka barua hiyo.
Taarifa hizi zinazidi kuumiza kichwa kuhusu Uhuru walionao wajumbe wa tume yetu ya uchaguzi. Uwezo wao wa akili na kama...
NEC hivi kweli hamuoni yanayoendelea katika nchi hii kwenye huu uchaguzi na kampeni?
1. Mwiteni mgombea URais wa CCM Kamati ya Maadili ahojiwe na yeye.
Kama kweli NEC mmesheheni wanasheria, Kwanini Rais Magufuli anatoa ahadi na kutekeleza miradi ya serikali wakati akiwa kwenye kampeni na...
Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni
=====
=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
NEC Imekuwa mbele sana kujipendekeza kwa CCM na kuanza kujadili hoja badala ya kuwaaachia vyama vishindane. Vile vile wana toa miongozo ambayo haiwahusu ya kitu gani au agenda gani ziongelewe.
Vurugu itatokea tu pale ambako hakutakuwa na uwazi kwenye siku ya kura na kuhesabu kura. Ukiangalia...
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!
NEC imemuita mmoja wa wagombea Urais kutoka chama fulani cha upinzani kumhoji juu ya kauli zake kwenye kampeni za uchaguzi, hivi kwanini hatujasikia NEC ikimuita na kumuhoji Rais Magufuli pale alipowataka wakurugenzi wasitangaze wapinzani hata kama wameshinda?
Nawaza tu huyu mtu alipataje huu ukurugenzi wa NEC cheo ambacho kinahitaji mtu wa kujiamini kweli kweli. Katokea wapi huyu mtu?
Je, vetting ilifanyika sawasawa kabla ya uteuzi? Tutegemee jipya gani?
Tume ya Taifa ya Uchaguzi mlishampanga mshindi wa Urais?
--------------
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imejiaibisha kwa mara nyingine tena. Kumuita mgombea wa Chadema Tundu Lissu kwenye Kamati ya Maadili kumtaka ajieleze kwanini anasema lazima atashinda uchaguzi huu ni wazi Tume hiyo Ina mshindi...
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!
Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea...
Kila ninapomsikiliza huyu Mkurugenzi napata wasiwasi kabisa na uwezo wake wa kuifanya tume ya uchaguzi ikafanya haki. Kwanini isichukuliwe kuwa yeye ndiye chanzo cha hizi engua engua?
Huyu si watu wengi wanamtuhumu kuwa ni kada wa CCM? Si ndio kuna tuhuma kuwa alikua kwenye list ya Wakurugenzi...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba. Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14. Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?
Kamati ya Maadili ya Jimbo la Same Magharibi, imekuta na hatia katika fujo zilizotokea kati yake na Diwani wa CCM kwenye jimbo Husika. Mwenyeki...
Wananchi wana akili za kutosha, inachotaka kukifanya ACT Wazalendo kwa CHADEMA hakitofautiani sana na walichokifanya UDP na TLP kwa CCM, uwongo kweli? Hatukisikia mkutano mkuu wa UDP ukiliamua lile na wala hatukuisikia tume ikinyanyua kidole juu.
Lakini hata hivyo sio lazima chama cha siasa...
NIMEKUA mfuatiliaji wa matukio na mijada mbalimbali ya Uchaguzi katika kipindi hiki ambacho Taifa la Tanzania linakwenda katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uchaguzi huo unataraji kufanyika Oktoba 28, 2020...
Haiwezekani nchi nzima wanaokosea kujaza forms ni wagombea wa upinzani, haiwezekani wanazijaza forms vizuri ni wagombea wa ccm tu.Wagombea wa CCM wamesomea shule za nchi tofauti? Wakati NEC na NEC zinatoa semina kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa, CCM walikua na semina yao ya tofauti?
Liwake...
Naibu wa msajili wa vyama vya siasa Dkt. Nyahoza amesema vyama vya siasa vinavyojipanga kushirikiana vimeshachelewa.
Nyahoza amesema muda uliowekwa kisheria kwa vyama vyenye nia ya kushirikiana kuingia mkataba wa kisheria umeshapita hivyo hakuna ushirikiano utakaoruhusiwa kwa sasa.
======...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.