Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana...
Tofauti na miaka mingine ya Uchaguzi Mkuu, mwaka huu Tume ya Uchaguzi Tanzania(NEC) imechapisha form ya kupigia kura kwa ngazi ya Urais wa JMT isiyo na mfumo rasmi wa mpangilio wa alfabeti.
Hii ni tofauti na form ya Urais wa Zanzibar chini ya ZEC ambayo imechapishwa kwa kufuata alfabeti. Form...
Mbona kitaa tuna ULINZI SHIRIKISHI? Kwanini wananchi wasishirikishwe kulinda kura? Kwani Tume ya Uchaguzi si ya kwao?
Kitendo cha Nec kupiga makelele kwamba hakuna ruhusa kulinda kura, kinawafanya wananchi wahisi kuwa NEC wanataka kuiba.
Na wanazidi kukosea kwa kumuandama mgombea anayetetea...
Ninewahi kusema uchaguzi wa mwaka huu si lele mama maana kila mtu anataka kuonyesha dunia nini maana ya haki na uhuru kwa wananchi wake.
"siku zote mimi nilikuwa nawazuia watu wasiingie barabarani nyote mnajua, mwaka huu simzuii mtu, atakaye amua kufanya lolote, kutetea haki yake si mzuii...
Nec ijifunze democrasia kutoka kwa jabali la democracy Tanzania JPM. Akiwa Mwenyekiti wa CCM aliamuru kura zihesabiwe kwa uwazi kabisa mbele ya wajumbe kwenye mchakato wa kura za maoni kupata wabunge na madiwani.
Utaratibu huo umesaidia kuondoa malalamiko yoyote ya kuibiwa kura wakati wa...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wagombea wanaowania nafasi za kuchaguliwa kupitia Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani, utakaofanyika wiki ijayo waache kuwa na matokeo mifukoni mwao, bali watambue kuna kushinda na kushindwa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC, Dk Willson Mahera, alitoa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.
Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais...
Mabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika.
Kwa mfano, suala la NEC kuwapangia vituo mawakala lina lengo la kuwapangia mbali na makazi yao au...
Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini?
Sababu ni moja, viongozi wa taasisi hizi wanajua wazi kwamba Upinzani ukichukua serikali wataondolewa madarakani...
Jana nimeletewa barua hii baada ya Kamati ya maadili kuketi, wamenihukumu bila hata kuniandikia tuhuma zangu wala kuniita kujitetea kwenye Kamati. @TumeUchaguziTZ fundisheni wasimamizi wenu kufata kanuni za Uchaguzi na Maadili ya Uchaguzi.#SitaombaRadhi.
Nimepata Taarifa NIMEFUNGIWA kufanya KAMPENI siku saba kuanzia tarehe 12-18/10/2020. Hukumu ilikuwa imesha andikwa kabla ya KIKAO cha Maadili. TUTAWEKA WAZI USHAHIDI tulio uwasilisha. NJIA moja ikifungwa....tunafungua nyingine.- H Mdee.
-----
Kamati ya Maadili NEC imemfungia kuendesha...
NEC hihirumieni taifa hili lisijenge historia mbaya.
Ninasema hili nikiwa namaanisha kwamba mazingira tuliyonayo NEC kama chombo huru kisichoegemea popote kwa mujibu wa sheria ikifikia mahali kikajisahau kikaingizwa mkenge na CCM kwakuwa tu Chama hiki kina serikali inayo Dola na kitawalinda...
Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Mnyika anakiri kwamba Tume imeitisha zabuni ya manunuzi ya vifaa vya Uchaguzi zikiwemo Karatasi za...
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ikifanya manunuzi mbalimbali ya vifaa vya Uchaguzi bila kuhusisha vyama wala Umma.
Amesema Machi 09, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitangaza kwenye vyombo vya...
Habari zote zilizopo katika Magazeti haya Mawili tajwa na katika hizo 'Kurusa' tajwa zimeweka wazi kabisa kuwa Watanzania wengi ( sijui na Mimi GENTAMYCINE nimo au simo ) kwamba wana matatizo makubwa sana ya 'Akili / Uwendawazimu' huku 'Utafiti' uliofanywa na 'Taasisi' husika ukisema kuwa...
Tume ya uchaguzi imesema mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na watumishi wengine wa umma hawaruhusiwi kuingia kwenye vyumba vya kupiga, kuhesabu na kujumlisha kura isipokuwa kwa ajili ya wao kupiga kura tu.
Chanzo: Mwanahalisi Digital
Maendeleo hayana vyama!
===========
WAKUU wa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi.
============
Leo tarehe 02 Oktoba 2020 kamati ya maadili ya Kitaifa imesikiliza malalamiko dhidi ya Mgombea wa kiti cha Rais...
Jumla ya Makundi 16 ya waangalizi wa nje wapewa fursa na vibali vya kufuatilia mwenendo wa shughuli ya uchaguzi Tanzania huku asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani pia zikipata nafasi hiyo.
Amebainisha hilo Kamisha wa tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Mary Longway wakati wa mkutanao...
Kamati ya bunge la Marekani la seneti ya mambo ya nje imeisihi tume ya uchaguzi Tanzania kujirekebisha, kuondoa makosa yaliyofanyika ndani ya miaka 5 iliyopita, kuacha kumshitaki Lissu kwa hoja ya kijinga.
Kamati hiyo inamtuhumu Magufuli kuminya Demokrasia, utawala bora, uhuru wa kujieleza toka...
Polisi wamelazimika kutawanya umati mkubwa uliojitokeza jijini Dar es Salaam leo kuomba ajira za muda za NEC.
Sisi kama taifa kusema kweli kuna mahali pakubwa mno tumeteleza. Hili sasa ni janga!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.