NEC Corporation (日本電気株式会社, Nippon Denki Kabushiki-gaisha) is a Japanese multinational information technology and electronics company, headquartered in Minato, Tokyo. The company was known as the Nippon Electric Company, Limited, before rebranding in 1983 as NEC. It provides IT and network solutions, including cloud computing, AI, IoT platform, and 5G network, to business enterprises, communications services providers and to government agencies, and has also been the biggest PC vendor in Japan since the 1980s, when it launched the PC-8000 series.
NEC was the world's fourth largest PC manufacturer by 1990. Its semiconductors business unit was the world's largest semiconductor company by annual revenue from 1985 to 1992, the second largest in 1995, one of the top three in 2000, and one of the top 10 in 2006. NEC spun off its semiconductor business to Renesas Electronics and Elpida Memory. Once a Japan's major electronics company, NEC has largely withdrawn from manufacturing since the beginning of the 21st century.
NEC was #463 on the 2017 Fortune 500 list. NEC is a member of the Sumitomo Group.
1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.
By JJ MANYIKA
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma na...
Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM.
Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to...
Kwa mjibu wa taarifa kutoka vyombo mbalimbali vya habari zikiwemo ITV, AZAM, CHANNEL 10, TBC na Online TVs karibu kila kona ya Tanzania zoezi la upigaji kura limeenda vizuri na kasoro nyingi zilizozoeleka kufanyika mwaka huu hazikuonekana na upigaji kura ulifanyika kwa amani na utulivu...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema kuna majimbo manne ambayo uchaguzi wa madiwani haujafanyika.
Majimbo matatu Wagombea wamefariki na jimbo moja la Kibosho Kati karatasi za kura zimekosewa hivyo tume itapanga tarehe husika ya uchaguzi...
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera amesema kuanzia leo usiku Jumatano Oktoba 28, 2020 tume hiyo itaanza kupokea matokeo ya kura za urais kutoka kwenye majimbo.
Dk Mahera ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza na Mwananchi Digital kuhusu...
Tume ya Uchaguzi leo imewaapisha mawakala watakaosimamia zoezi la kuhesabu kura za wagombea Urais.
Katika zoezi hilo wakala wa ACT Wazalendo hakuwepo ukumbini na ikaelezwa baadae kuwa ACT Wazalendo haina Wakala.
Chanzo: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!
Wadau wa JF, nawasalimuni nyote.
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikipitia website ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kupata takwimu za masuala mbalimbali yanayohusu uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020.
Kwa bahati mbaya sehemu yenye kuonesha takwimu za wapiga kura, takwimu hizo hazipo badala yake...
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka wanasiasa na wagombea wanaodai kuwepo kwa vituo na wapigakura hewa kupeleka ushahidi na endapo wakishindwa kufanya hivyo hatua stahiki zitachukuliwa dhidi yao.
Akizungumza leo na waandishi wa habari Jijini Dodoma, Mkurugenzi wa Tume hiyo, Dk.Wilson...
Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho.
Nauliza tu ratiba hii ya mikoa 6 ndani ya siku 3 ina baraka za NEC?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo...
Muda ndio huu na muda ni mfupi sana ni wakati sasa vyama vyote kuhakiki na kujiridhisha na vituo idadi ya vituo vilivyithibitishwa na nec mkaakikishe je mandingo A kipo wapi, mandingo B kipo wapi na Mandingo C kipo wapi kwa nchi nzima na hadhi na ubora wakeili kuweza kujiepusha na malalamiko...
Maendeleo ya nchi yanaanzia kwa mtu mmoja mmoja. Elimu, afya, dini, mila, ajira, mazingira anayoishi, na upatikanaji wa habari. Elimu ina beba mwongozo mzito katika haya mengine kwani elimu nzuri itamsaidia mtu kupata ajira nzuri, kuwa na uwelewa wa kutunza afya yake, kuboresha mazingira...
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu...
“Kuna uvurugwaji wa kutisha wa Daftari la wapiga kura. Mamilioni ya wapiga kura hewa & maelfu ya vituo bandia. Wapiga kura wengi wapinzani wamehamishwa vituo au kuondolewa kwa makusudi. NEC itoe maelezo & suluhisho haraka la sivyo uchaguzi huu utashindikana kuanzia hatua ya awali”. Freeman...
WanaJf, Salaam!
Naona tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC imepewa meno makali ya kisheria ili kuleta ufanisi ktk uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini 28 Oktoba 2020. Hata hivyo nashauri yafuatayo:
Mosi, tume isifanye kazi kama kiranja badala yake iwe kama mzazi (siyo lazima kila jambo...
Wafanya kazi tumekuwa tunateseka sana, maisha magumu, mishahara haipandi na bado wanavamia mifuko ya kijamii NSSF/PSSSF wanasema mpaka ufikishe miaka 55, huo ni onyonyaji, kodi za serikali zinakatwa PAYE, kwa kila mfanyakazi.
Lakini bado mnataka hadi NSSF/PSSSF, Huu ni uonezi, ubabe wa...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amewalaumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa vifo vya mawakala watano wa chadema katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo – Sumbawanga
Mnyika amesema mawakala hao wamefariki walipokuwa wanawahi ofisi za Mkurugenzi kuapishwa kutokana na utaratibu...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.