Katiba yetu na sheria zetu zinatambua uwepo wa vyama vingi. Hivyo mgombea urais anayesema nikipata urais sitapeleka maendeleo kwenye majimbo yaliyo chagua wabunge au madiwani wasio wa chama chake, ni uvinjivu wa sheria na tusi kwa katiba yetu.
Hivyo napendeleza CHADEMA au Lissu kipindi hiki...
KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais.
Wajumbe 15...
barua
chadema
hukumu
kampeni
lissu
lisu
maadili
nec
news
sababu
sahihi
siasa
tume ya taifa ya uchaguzi
tume ya uchaguzi
tundu lissu
uchaguzi
uchaguzi 2020
vyama
wote
Napenda hizi ishu zisitupeleke kubaya au kugombana. Mnahofu nyingi juu ya kuibiwa Kura kwa namna tofauti kupitia uzoefu wa chaguzi ndogo za marudio. Ipo haja ya kurasimisha hofu hizo kwa kupitia taarifa za itelejensia mlizonazo.
1. Msibitishiwe mawakala kutotolewa kwa nguvu vituoni na...
Mambo aliyoyaongea
Amesema anaendelea vizuri na kampeni zake, wanasema anakosea kwa kuwa anaongea ukweli lakini kwa sababu anayoyaongea ni ya ukweli anashindwa kuitwa kwenye maeneo ya kumuuliza kuhusu anayoyaongea
Aidha mtangazaji aliuliza kuhusu uchaguzi kuwa huru na haki kutokana na mfumo...
Tulisikia taarifa ya Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ya uchaguzi, katika kikao chake ilichoketi Jana, ikitoka na uamuzi wa kumfungia Tundu Lissu, kutofanya mikutano ya kampeni kwa wiki moja, kuanzia tarehe 3 hadi tarehe 9 ya mwezi huu wa 10
Wasidhani hiyo Kamati ya Maadili ya Tume ya...
Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.
Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi atutangazie wito huo na saa 48 za kisheria zimeshapita.
Ni hilo tu.
Maendeleo hayana vyama!
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 utakuwa wa huru, haki na wenye kufuata katiba na hiyo ni pamoja na kuruhusu watazamaji wa ndani na nje ya nchi ambapo hadi sasa Tume imetoa vibali kwa Asasi za kiraia na Taasisi 97 za ndani ya nchi na makundi 16 ya...
Dkt. Christopher Fomunyoh, ambaye ni Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa shirika la National Democratic Institute (NDI) ambalo linafanya kazi kusaidia na kuimarisha taasisi za kidemokrasia ulimwenguni kupitia ushiriki wa raia, uwazi na uwajibikaji serikalini, ameelezea hali ya kudhorota na kurudi...
Uchaguzi huru na wa haki unaanzia kipindi cha kampeni, lakini tunaona uoendeleo wa wazi kwa CCM.
Mgombea wake Magufuli kila anapopita anaomba kura kwa vitisho lakini hakuna anayehoji iwe ni NEC ama Polisi.
CCM imeshirikiana na vyama vingine lakini hakuna aliyewakemea ila ikitokea upinzani...
Tume ya Taifa ya uchaguzi imesisitiza kuwa Uchaguzi utakaofanyika Tarehe 28 Oktoba, 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye kuzingatia uwazi kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mstaafu Mhe. Mbarouk S. Mbarouk alipokuwa akihutubia Mkutano wa Wadau na Asasi...
NEC najua hapa JamiiForums mpo na 'mnanikodolea' zenu huku wengine hata mkiwa 'mnaninunia' pengine kwa 'Kuwasema' Kwangu ila nina bahati mbaya moja tu Mimi ni kama Bahari ambayo daima huwa haikai kamwe na Uchafu hivyo 'mnivumilie' tu na 'mnizoee' vile vile. Msiposemwa hamtobadilika na...
Tunapokuja kupiga kura tunaingia mkataba wa miaka mitano na tunayempigia Kura. Mwisho wa miaka mitano tutapima aliyisema atafanya na Mapya atakayofanya tena.
Kwa nini nawaza hivi.
Kuna mbunge wa jimbo flani Yeye amekuwa anaahidi zahanati. Miaka 20 sasa ni mbunge lkn kila baada ya miaka mitano...
Tumemsikia Mkurugenzi wa NEC akitoa tuhuma dhidi ya mgombea urais wa chadema kwamba anakiuka maadili ya uchaguzi, lakini hatujamsikia akiongelea upande wa pili wa Dkt. Magufuli. Sisi kama wananchi tumeshuhudia matendo yanayokiuka maadili ya uchaguzi yanayofanywa na Dkt. Magufuli kwa uchache...
Kwa huu mtihani kabambe ambao jopo la watendaji wa Tume wakiongozwa na Majaji wenye weredi wa kutosha kushindwa kutafsri kanuni za uchaguzi na hatimaye Tindu lissu kuibuka kidedea kwa kuwapa darasa ambalo limekuwa funzo kwa Tume na kwa wagombea wengine. Hii ni dhahili tosha kwamba huyu jamaa...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo la Karagwe, Mkoani Kagera, Ndg. G.M. Kitonka
Mhe. Dk. Wilson Charles Mahera,
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Dodoma,
YAH: KUENGULIWA KIHUNI KWA AMOS PETER KAHWA, MGOMBEA UDIWANI KATA YA KAYANGA, WILAYANI KARAGWE, MKOANI KAGERA
Somo...
29 September 2020
Arusha, Tanzania
Source: video : Global online TV
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kupitia kwa mkurugenzi wake, Dkt Willson Mahera, leo Septemba 29, wamezungumza na wanahabari na ili kutoa taarifa mbalimbali zinazohusu uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mnamo Oktoba 28...
Waungwana katika kupambana tunajua zikitokea fursa huwa tunazichangamkia kwa nguvu sana. Kila mwaka wa uchaguzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi huwa inatoa nafasi za kazi za muda mfupi ili kusaidia shughuli za uchaguzi.
Ni wazi kuwa kwa miaka mingi kazi hizi zimekuwa zikiwa njia sahihi ya walimu...
NEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.