necta

  1. R

    Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
  2. MPEPE333

    MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI

    Habari ya wakati huu, ninaomba msaada juu ya kitu kinaitwa mfumo kwenye elimu,nasikiaga tuu usajili ,uhamisho n.k unafanyika kwenye mfumo,huu mfumo upoje? na mbona waalimu wanautumia vibaya kwa kuhamisha hovyo watoto bila ridhaa ya wazazi na watoto? nilipost kuhusu harufu ya ufisadi shule ya...
  3. MPEPE333

    DOKEZO Harufu ya Ufisadi shule ya Tunduru Jamhuri Academy

    Habari wana jamvi, poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa letu. Naomba niende kwenye mada hapo juu, ni hivi: Shule ya Tunduru Jamhuri Academy ni shule ya serikali inayosajiliwa kama English medium na inaendeshwa kwa michango ya wazazi tangu kuanzishwa kwake, shule hii tangu...
  4. Waufukweni

    Katibu NECTA, Dkt Said: Tutaongeza somo la Lugha ya Kiarabu na Kifaransa

    Wakuu Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa? == Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA "Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa awali na hii tunaongeza masomo ya kigeni ikiwa ni Arabic na lugha ya Kifaransa na mwanafunzi akifika...
  5. A

    Nimepata division 2 .20 nataka nisome CBG AU EGM NINA CCC KWENYE CBG HALAFU NINA CD KWENYE EGM VIP HAPA NITATOBOA KWELI

    Nimepata division 2 .20 nataka nisome CBG AU EGM NINA CCC KWENYE CBG HALAFU NINA CD KWENYE EGM VIP HAPA NITATOBOA KWELI?
  6. BestOfMyKind

    Necta na wizara ya elimu mbona siwaelewi?

    Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri. Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani. Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua...
  7. A

    Baraza la mtihani NECTA liweke awamu kwa wanaorudia mtihani ya kidato cha nne

    Habari za muda huu, Wengi wetu humu mmesoma na wengine matokeo ya form four hayakua mazuri. Kuna watu wanarudia na matokeo yanatoka mapema tuu.. Kwanini kusiwe na uwezekano wa mitihani ya NECTA kwa wanaorudia(Private Candidate) kufanyika walau mara mbili kwa mwaka May na November? Ili...
  8. Yoda

    Joyce Ndalichako, Katibu mkuu mtendaji NECTA maarufu zaidi

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) halijawahi kupata tena Katibu mkuu mtendaji maarufu kuliko Prof. Joyce Ndalichako, huyu mama ilikuwa ikifikia wakati wa kutangaza matokeo ya NECTA ya darasa la saba, kidato cha nne au cha sita nchi inasimama.
  9. Davidmmarista

    NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2024. Yatazame hapa!

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi Novemba 29, 2024. Matokeo hayo yametolewa rasmi leo, Alhamisi, Januari 23, 2025, na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohammed. Wanafunzi pamoja na wazazi...
  10. Mwanadiplomasia Mahiri

    NECTA kutangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2024 kesho

  11. K

    Website ya Necta

    Thread closed
  12. Greatest Of All Time

    Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili leo

    Habari wakuu, Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
  13. Yesu Anakuja

    NECTA wanataka tulipie matokeo ya darasa la nne 2024 au why hawaweki mtandaoni?

    Kumbe matokeo yametoka, ila necta hawataki kuweka kwenye mtandao wao? shida nini? au kwa sababu shule za private zinawazidi? mtaburuza sana mkia.
  14. The Watchman

    Kidato cha 4 kuanza mtihani Novemba 11, 2024, Idadi ya watahiniwa yapungua ukilinganisha na mwaka 2023

    Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwaka 2024 kuanzia kesho Novemba 11, 2024 imepungua kutoka 572, 338 mwaka 2023 hadi kufikia 557, 731 mwaka huu. Akitoa taarifa ya maandalizi ya mtihani huo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA)...
  15. Mzee wa kusawazisha

    Naombeni, Maarifa ya kusimamia mtihani wa taifa.

    Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama. Of course ni mara yangu ya kwanza, semina nimeelewa ila humu naweza pata maarifa zaidi. Alaf umepigwa biti hatari Asanteni.
  16. Roving Journalist

    NECTA 2024: Ufaulu wa Wanafunzi wa Kike wa Darasa la 7 washuka, Wavulana wafanya vizuri, Shule 12,838 zimepata Daraja C

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023. Jumla ya...
  17. Jamaa Fulani Mjuaji

    NECTA waache urasimu kwenye kazi nimeomba vyeti (replacement cert) takribani miezi 5 sasa bila majibu

    Nilienda Ofisi za NECTA mwezi Novemba mwaka Jana 2023 kuomba wanisaidie Replacement kwa Cheti Nilichopoteza Ikiwemo Cha Kidato Cha Nne Ofisi za NECTA Wakanijibu kuwa kwa sasa wao hawafanyi Tena hizo Kazi ninatakiwa kujaza mwenyewe kwa njia Ya Mtandao, wakaniambia natakiwa nikajitangaze kwenye...
  18. Balqior

    Sitosahau mtihani wa kiswahili wa form 4 necta csee 2009

    Hello guys, Ule mtihani ulikuwa umesukwa, walioongoza kitaifa wenyewe walikuwa na B kwenye huo mtihani wa kiswahili. Hivi kwenye ule mtihani, nchi nzima kuna mtu alipata A kweli😁, nahisi alietunga ule mtihani ni mzaramo pure. Na form 4 yangu nilikutana na misamiati ambayo sikuwahi iona tangu...
  19. Sildenafil Citrate

    SI KWELI Barua ya NECTA kuratibu zoezi la Kurekebisha Makosa ya majina kwenye vyeti vya Mwaka 2000-2023 kwa Malipo

    Nimeona barua inasambaa Mtandaoni ikisema NECTA inaratibu zoezi la Kurekebisha Makosa ya majina kwenye vyeti vya Mwaka 2000-2023 kwa Malipo. Barua hii inanipa mashaka sana, JamiiCheck nisaidieni kuhakiki.
  20. mambo_safi

    Nafasi ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2024 zinatoka lini? Mbona kama zimechelewa? NECTA mnasemaje?

    Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
Back
Top Bottom