Back to those years, huenda vijana wa Leo hamuelewi hili.
Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina pamoja na candidate numbers,
Ebana ee Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifeli peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima...
Nimefuatilia kwa karibu mitizamo kinzani ya wadau wa elimu na wanaharakati mbalimbali baada ya Baraza la mitihani Tanzania kutangaza matokeo kidato cha nne 2022, na hoja kubwa iliyoleta mjadala mtandaoni ni ile ya Baraza la mitihani Tanzania kuondoa utaratibu wa kutangaza shule kumi bora...
Siku ya leo, Baraza la Taifa la Mitihani Nchini Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na kufuta utaratibu wa muda mrefu wa kutoa orodha na mtiririko wa ubora wa shule kulingana na kiwango cha ufaulu na pia limefuta utaratibu wa kutangaza wanafunzi bora wa mitihani hiyo. NECTA...
Kwa jinsi elimu yetu ilipofiki hakika Inasikitisha sana! Nadhani huyu katibu mkuu anapaswa kujitafakari sana.
Kama wanajua mazingira ya wanafunzi ni tofauti hilo ni kosa la nani? Wakati huo Syllabus na mtaala ni mmoja! Bado haitoshi mtihani ni mmoja Tanzania nzima, Kwa nini serikali isiboreshe...
29.1.2023 Necta imetangaza rasmi matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2022, matokeo haya yamekuja na utaratibu mpya ambapo hakuna kutajwa nafasi ya shule kitaifa na kimkoa maana yake pia hakuna utaratibu wa kutaja shule zilizoongoza kitaifa sanjari na hayo NECTA imefuta utaratibu wa kutaja wanafunzi...
Baraza la mitihani NECTA limesitisha utaratibu wa kutangaza shule bora na mwanafunzi bora wa matokeo ya kidato cha nne
Kaimu katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania NECTA Athumani Salumu Amasi amesema utaratibu huo wa kutangaza shule bora ulikuwa unazitangazia biashara baadhi ya shule...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao ni sawa na 87.79% wamefaulu kwa kupata madaraja kuanzia daraja la kwanza, daraja la pili, daraja...
Heri ya mwaka mpya kwa wadau wote,tumshukur Mungu hasa kwa yote anayoendelea kutujalia
Wadau wengi ukiwauliza kuhusu matatizo na changamoto za elimu ya Tanzania bas watakutajia upungufu wa walimu, upungufu wa miundombinu kama madarasa, vyoo n.k
Lkn najua wengi wetu hatujaingia ndani kabisa na...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), limesema wanafunzi 2,095 kati ya 2,180 waliofanya mtihani wa marudio wa darasa la saba uliofanyika kati ya Desemba 21 na 22 mwaka 2022 wamefaulu daraja A hadi C sawa na asilimia 96.1.
Limesema wanafunzi hao kati ya 2,194 waliofutiwa matokeo...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 4, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022.
Bonyeza Link hapa kuangalia Matokeo ya Darasa la 4 >>> https://matokeo.necta.go.tz/sfna2022/sfna.htm
Bonyeza Link hapa kuangalia Matokeo ya Kidato cha Pili >>>...
Wanafunzi wamefanya paper mwezi November.
Matokeo ni muhimu sana muda huu. Kwa nin?
Tunataka tuhamasishe watoto wasiende kwenye shule zilizovurunda na tuhamishe watoto wetu wasijuinge kwenye shule hizo.
Hivyo NECTA harakisheni kutoa matokeo ili aibu izikumbe shuke za kibabaishaji zinzopotozea...
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023??
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November.
Kwa mwaka jana matokeo yalitoka...
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha pili mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November.
Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 15 mwezi January kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana...
Na WyEST,
DAR ES SALAAM.
Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imepongeza Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji mitihani ambao umerahisisha zoezi la usahihishaji mitihani ya Taifa.
Pongezi hizo zimetolewa Jijini...
Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), limethibitisha kuwa mwanafunzi wa darasa la 7 Iptisum Suleman Slim, alibadilishiwa namba ya mtihani na uchunguzi umepelekea kugundulika kwa wanafunzi wengine 7 kubadilishiwa namba zao za mitihani, na kuchukua hatua ya kuifungia shule ya Chalize Modern kuwa...
Mwenye kujua format ya username kwa non-necta applicant wa mkopo bodi ya mikopo elimu ya juu anisaidie tafadhali, mfano format ya necta applicant ni S0143.0078.1990.
Je ya Non Necta ikoje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.