Waraka huu ni wakutaka MABADILIKO yafanyike ndani ya Tume hizi tatu za usajili wa wanafunzi elimu ya msingi, sekondari, vyuo vya Kati na vyuo VIKUU. Uchambuzi unafanywa nami DON NALIMISON NALIMI.
TULIPOTOKA
Mifumo ya elimu inayotumika ni ya tangu mkoloni na hakuna kilichobadilika kila kitu ni...
Wapendwa samahani habari za asubuhi, habari za muda huu?
Moja kwa moja naomba niende kwenye mada.
Mdogo wangu alifanya mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2016 lakini kwa bahati mbaya alipata credit moja na D moja na mwaka jana ikabid arudie yale masomo alopata F kwa bahat nzur kapata credit...
Baraza la Mitihani nchini limetangaza kuahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu iliyokuwa ifanyikwe Mei 4, 2020 hadi pale itakapotoa taarifa mpya.
Tangazo hili limekuja baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutangaza shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 kufungwa kwa siku 30...
We have added 2019 results with analysis. Angalia ujue wanafunzi wangapi walipa A kwenye kiswahili mwaka 2019, au shule mbili zilifanyaje ukiliganisha
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2008
Matokeo ya form four 2008
Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St...
Nina wadogo na ndugu zangu watano waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana ambao matokeo yao yametoka mapema mwaka huu.
Kati ya wadogo zangu watano watatu wamepata daraja la kwanza na mmoja wao amepata daraja la kwanza la alama 10 kati ya masomo kumi aliyofanya amepata A's 4 za masomo ya...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetoa ufafanuzi kuhusu mitihani itakayofanyika kesho Alhamisi Januari 16, 2020 jijini Dar es Salaam kwa wanafunzi wa darasa la saba.
Mtihani huo utahusisha shule zote za umma na binafsi na utafanyika kwa siku moja ya kesho.
Limesema mitihani...
Habari ndugu zangu wa Jf,
Leo katika kuperuzi kwangu mitandaoni nikaona ngoja nipitie na Website ya NECTA ili na mimi niwe na taarifa za motomoto kutoka huko. Nilifanikiwa kuperuzi hapa na pale na pia kupata maarifa kidogo.
Pia nikaona ngoja nisome kwa mara nyingine VISION na MISSION ya BARAZA...
Wadau kikawaida kila mtu ana haki ya usiri wa taarifa zake na mambo yake, hakuna mtu au taasisi yoyote inayoruhusiwa kuingilia haki hio na kuivunja haki hio.
Hii imekuwa tofauti kwa baraza la mitihani ya taifa NECTA, ambalo kwa makusudi kabisa na kwa kujua kuwa haki ya faraja ya wasomi...
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania leo Alhamisi Julai 11, 2019 limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2019
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta mjini Unguja Zanzibar, Dk Charles Msonde amesema ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 97.58 mwaka...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kesho Alhamisi Januari 24, 2019 litatangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2018.
UPDATE:
Shule ya St. Francis ya Mbeya yaongoza kitaifa
>>> Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 57 wa kidato cha nne katika shule ya...
Matokeo ya mtihani wa kidato chat pili 2018 yametoka. Gusa link hapo chini kuya fungua. Shule zote ziko hapo
https://www.tanzania.go.tz/FTNA-2018/index.htm
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009
NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea...
Unaweza kuyaita maajabu ya aina yake baada ya Baraza la Mitihani Taifa (Necta), kutangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018, huku shule kongwe ya Jangwani iliyopo jijini Dar es Salaam ikiwa katika orodha ya shule 10 za mwisho.
Jingine katika matokeo hayo ni Shule ya Sekondari Kibaha kupanda...
Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE) na maarifa (QT) 2O17 Yametangazwa na Baraza la Mtihani la Taifa NECTA.
Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008
Matokeo ya form four 2008
Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!
KUONA MATOKEO
LINK 1: BOFYA HAPA
LINK 2: BOFYA HAPA...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba 22 na 23 mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifanya vyema katika mitihani hiyo.
Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu Januari 8, Katibu Mtendaji wa Necta...
Link hi hapa
http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/tangazo-1070-20170715-Matokeo-ya-Kumaliza-Kidato-cha-Sita-na-Ualimu-2017/ACSEE2017/indexfiles/index_a.htm
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009
Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016
Matokeo Kidato cha Sita 2009
MATOKEO KIDATO CHA 4
Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%.
- Feza, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, Dar yaburuza mkia.
Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016...
Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI,
Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na...
Baraza la mitihani nchini(NECTA) leo Februari 18, 2016 limetoa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne iliyofanyika mwishoni mwa mwaka 2015.
Ufaulu umeshuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015.
Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008
Matokeo Kidato cha Nne 2014...
Habari zenu, mimi ni mwanafunzi wa kidato cha pili niliemaliza mwaka jana. Matokeo yangu yamesema nimefaulu kwa wastani wa B (merit) huku nikipata B+ kwenye BIOLOGY, CHEMISTRY na ENGLISH. Je mnaonaje matokeo yangu
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009
NECTA yatangaza matokeo ya Mtihani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.