Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana,
Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara.
Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
Habari ya wakati huu, ninaomba msaada juu ya kitu kinaitwa mfumo kwenye elimu,nasikiaga tuu usajili ,uhamisho n.k unafanyika kwenye mfumo,huu mfumo upoje? na mbona waalimu wanautumia vibaya kwa kuhamisha hovyo watoto bila ridhaa ya wazazi na watoto? nilipost kuhusu harufu ya ufisadi shule ya...
Habari wana jamvi, poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa letu.
Naomba niende kwenye mada hapo juu, ni hivi:
Shule ya Tunduru Jamhuri Academy ni shule ya serikali inayosajiliwa kama English medium na inaendeshwa kwa michango ya wazazi tangu kuanzishwa kwake, shule hii tangu...
Wakuu
Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa?
==
Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA
"Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa awali na hii tunaongeza masomo ya kigeni ikiwa ni Arabic na lugha ya Kifaransa na mwanafunzi akifika...
Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri.
Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani.
Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua...
Habari za muda huu,
Wengi wetu humu mmesoma na wengine matokeo ya form four hayakua mazuri. Kuna watu wanarudia na matokeo yanatoka mapema tuu..
Kwanini kusiwe na uwezekano wa mitihani ya NECTA kwa wanaorudia(Private Candidate) kufanyika walau mara mbili kwa mwaka May na November?
Ili...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) halijawahi kupata tena Katibu mkuu mtendaji maarufu kuliko Prof. Joyce Ndalichako, huyu mama ilikuwa ikifikia wakati wa kutangaza matokeo ya NECTA ya darasa la saba, kidato cha nne au cha sita nchi inasimama.
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi Novemba 29, 2024.
Matokeo hayo yametolewa rasmi leo, Alhamisi, Januari 23, 2025, na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohammed.
Wanafunzi pamoja na wazazi...
Habari wakuu,
Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).
Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwaka 2024 kuanzia kesho Novemba 11, 2024 imepungua kutoka 572, 338 mwaka 2023 hadi kufikia 557, 731 mwaka huu.
Akitoa taarifa ya maandalizi ya mtihani huo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA)...
Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama.
Of course ni mara yangu ya kwanza, semina nimeelewa ila humu naweza pata maarifa zaidi. Alaf umepigwa biti hatari Asanteni.
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023.
Jumla ya...
Nilienda Ofisi za NECTA mwezi Novemba mwaka Jana 2023 kuomba wanisaidie Replacement kwa Cheti Nilichopoteza Ikiwemo Cha Kidato Cha Nne Ofisi za NECTA
Wakanijibu kuwa kwa sasa wao hawafanyi Tena hizo Kazi ninatakiwa kujaza mwenyewe kwa njia Ya Mtandao, wakaniambia natakiwa nikajitangaze kwenye...
Hello guys,
Ule mtihani ulikuwa umesukwa, walioongoza kitaifa wenyewe walikuwa na B kwenye huo mtihani wa kiswahili.
Hivi kwenye ule mtihani, nchi nzima kuna mtu alipata A kweli😁, nahisi alietunga ule mtihani ni mzaramo pure.
Na form 4 yangu nilikutana na misamiati ambayo sikuwahi iona tangu...
Nimeona barua inasambaa Mtandaoni ikisema NECTA inaratibu zoezi la Kurekebisha Makosa ya majina kwenye vyeti vya Mwaka 2000-2023 kwa Malipo.
Barua hii inanipa mashaka sana, JamiiCheck nisaidieni kuhakiki.
Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?