necta

  1. JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    MATOKEO KIDATO CHA 4 Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%. - Feza, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, Dar yaburuza mkia. Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016...
  2. JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

    Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI, Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

    Baraza la mitihani nchini(NECTA) leo Februari 18, 2016 limetoa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne iliyofanyika mwishoni mwa mwaka 2015. Ufaulu umeshuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015. Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008 Matokeo Kidato cha Nne 2014...
  4. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Pili 2016

    Habari zenu, mimi ni mwanafunzi wa kidato cha pili niliemaliza mwaka jana. Matokeo yangu yamesema nimefaulu kwa wastani wa B (merit) huku nikipata B+ kwenye BIOLOGY, CHEMISTRY na ENGLISH. Je mnaonaje matokeo yangu Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA yatangaza matokeo ya Mtihani wa...
  5. JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2015

    NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha Pili kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana, ambapo Wanafunzi 324,068 sawa na asilimia 89% ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2015, wamefaulu mtihani huo. Ufaulu umeshuka kwa masomo ya Uraia, Historia, Jiografia...
  6. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

    Matokeo ya Kidato cha Sita yametangazwa mtandaoni rasmi na Baraza la Mitihani nchini almaarufu kama NECTA. Kuyaona matokeo hayo ingia hapa:NECTA | View News http://necta.go.tz/matokeo/2015/Alevel.htm Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Wavulana wapeta matokeo kidato cha Sita, 2014 Matokeo...
  7. JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

    Kupata Matokeo Haya, Bofya hapa Jiridhishe kwa kutembelea NECTA Siku hizi hakuna Divisions, na tafsiri ya GPA ni hii hapa kwenye jedwali, Distinction ndio kama Division I ukipenda. http://www.necta.go.tz/files/utaratibu_wa_kutunuku.pdf Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008...
  8. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014

    Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014 http://necta.go.tz/matokeo2015/ Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Matokeo kidato cha pili hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia. National form II Results 2009 aibu
  9. JamiiForums Tanzania Wavulana wapeta matokeo kidato cha Sita, 2014

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha Sita yaliyofanyika Mei, 2014 mwaka huu, ambapo limesema ufaulu umeongezeka kwa jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 ambao wamefaulu katika madaraja ya I- III. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatano Julai...
  10. JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

    Muda huu makao makuu ya necta matokeo yanatangazwa UFAULU WAPANDA KIDATO CHA IV 2013. Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013. Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili...
  11. JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Matokeo Kidacho cha Sita (ACSEE 2013)

    Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa. Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu. Shule zilizoongoza ni 1. Marian Girls 2. Mzumbe Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Matokeo kidato cha sita 2012 yametoka Matokeo Kidato cha Sita 2009 ========================= Updates...
  12. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    Wakuu, NECTA wametangaza matokeo tayari. Kuyapata matokeo (kama yalivyotangazwa tarehe 18/02/2013), tembelea: MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 - (Hosted by JamiiForums) Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo ya kidato cha nne 2011 QT Results 2012 -...
  13. JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha sita 2012 yametoka

    Kwa mujibu wa tbc mchana huu matokeo kidato cha sita yametoka na ufaulu umeongezeka. Soma Pia matokeo mengine kuanzia 2009 Matokeo ya mtihani wa kidato cha sita (acsee) 2011 yametoka Matokeo Kidato cha Sita 2009 HAYA HAPA: http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/Alevel.htm au...
  14. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne 2011

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2011. Matokeo ya kidato cha nne 2011 yametoka RESULT MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2011 ~ Hassbaby's (Mapacha) Check hapo. Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne hewani - 2010

    Gonga hapa kupata matokeo ya Kidao cha Nne - 2010 au Hapa SHULE ZA SERIKALI ZAGARAGAZWA TENA, SEMINARI JUU na Betty Kangonga Soma Pia Matokeo ya mengine kuanzia mwaka 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo ya kidato cha nne hewani - 2010 JUMLA ya watahiniwa...
  16. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita 2010 hadharani

    Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2010 yametangawa rasmi. Unaweza kuyaangali yote kupitia website ya NECTA iliyopo hapa chini. www.necta.go.tz Soma Pia: Matokeo Kidato cha Sita 2009
  17. JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Sita 2009

    Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2010 yametangawa rasmi. Unaweza kuyaangali yote kupitia website ya NECTA. Kibaha, Mzumbe, Ilboru, Marian zaongoza kama kawaida. http://www.necta.go.tz/acsee2009/acsee2009.html Soma Pia Matokeo ya kidato cha sita 2010 hadharani Matokeo ya mtihani wa kidato...
  18. JamiiForums Tanzania Matokeo ya form four 2008

    Yanaonyesha kuwa kiwango cha ufaulu kimeshuka kwa asilimia 10.13. Wanafunzi wengi wamefanya vizuri kwenye Kiswahili (aslimia 81.59) na wengi wamefeli basic mathematics (waliofaulu somo hili ni asilimia 24.33 tu). Nyingi ay shule zinazoongoza kama kawaida ni za binafsi huku senminari zikionekana...
  19. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008

    Matokeo ya mitihani wa darasa la saba yametoka na Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa kufaulisha ukifuatiwa na jiji la kitalii, mkoa wa Arusha. Cha kushangaza ni kwamba idadi kubwa ya waliofaulu hawatapata nafasi ya kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza. Je hilo ni tatizo la nani? Na kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…