neema

Neema Namadamu is an advocate for peace and a women's rights and disability rights activist in the Democratic Republic of the Congo (DRC). She founded the Maman Shujaa Media Center to empower women and give them voices to tell their stories.

View More On Wikipedia.org
  1. GreenLight

    Ulimwengu wenye neema na furaha

    Habari wakuu, NIna wazo limenijia na kutafakari binafsi. Nimejiuliza katika maisha ya mwanadamu upi wakati sahihi wa kuipata furaha ile yenye uhalisia wake kwa 100%. Nikaishia kukumbuka miaka nipo mdogo kwa wazazi. Unaaga unaenda shule unasoma na kucheza na marafiki muda wa kuondoka unaondoka...
  2. LA7

    Nikiweza kutoboa hadi mwezi wa pili 2024 basi itakuwa ni kwa neema ya Mungu

    yaani kiujumla ni hivyo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne. Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi...
  3. O

    Neema zinazidi kunikimbilia, leo nimepata zaidi ya Tsh. 15m baada ya kuuza mpunga wangu

    Hakika riziki haupigi hodi kabisa, inakuja mbio mbio kabisa ila hii inakuja ukiwa na jitihada haiji tu eti upo zenu maskani kwenye kijiwe cha bangi unategemea utapa riziki? Hilo sahau kabisa aisee,nyie endeleeni tu kuvuta bangi na kupiga majungu, chuki na kuwasema vibaya waliofanikiwa Nikuambie...
  4. benzemah

    Rais Samia ashusha neema Vijijini

    Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuimarisha miundombinu ya barabara katika maeneo ya vijijini na mijini ambapo imetenga sh. bilioni 858.5 kutengeneza barabara zenye urefu wa kilomita 21,058 zikiwemo za kiwango cha lami kilomita 427 na makalavati na...
  5. Tukuza hospitality

    SoC03 Rasilimali zetu ziwe Neema, na si laana kwa Watanzania

    Utangulizi Nimesoma machapisho mbalimbali kuhusiana na utajiri wa Afrika, nikagundua Bara la Afrika ni Tajiri kuliko mabara yote duniani. Tumebarikiwa kwa Ardhi kubwa yenye rutuba; na yenye rasilimali nyingi. Sasa utajiuliza, kwa nini Bara la Afrika pamoja na utajiri wake ni maskini kuliko...
  6. FaizaFoxy

    Mapinduzi ya Zanzibar Januari 1964 yalikuwa ni ushindi na neema kubwa kwa Emirate of Dubai

    Tukiitazama historia ya Dubai au UAE kwa ujumla, Oman, mwambao wote wa Zanzibar na bandari takriban zote za nchi za mashariki ya kati mpaka India na Asia ya mbali,utakuta kulijuwa na mwingiliano mkubwa wa kibiashara kati yao. Bila shaka ni historia ndefu sana na ya zamani sana, kwa ufupi, leo...
  7. Erythrocyte

    Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar

    Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika. Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Neema Mgaya Aitaka Serikali Kufanyia Ukarabati Shule Kongwe Hapa Ncnini

    MBUNGE NEEMA MGAYA AITAKA SERIKALI KUFANYIA UKARABATI SHULE KONGWE HAPA NCHINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mhe. Neema William Mgaya katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ametaka kujua mpango wa Serikali kukarabati Shule Kongwe katika Mkoa wa Njombe "Je, lini Serikali...
  9. benzemah

    Rais Samia Ashusha Neema Miradi ya Trilioni 42.4/=

    Tanzania inatarajia kupata miradi ya hifadhi ya mazingira, mabadiliko ya tabianchi ikiwemo nishati jadidifu yenye thamani ya sh. trilioni 42.4. Miradi hiyo itasaidia kupunguza changamoto ya ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa kwa muiibu wa Mchango wa Taifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya...
  10. J

    Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema Kwa kufungua Nchi

    Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema, manufaa na kufungua fursa mpya kwa watanzania hasa kwa kuunganisha Nchi na mikoa kwa barabara nzuri za lami. Kauli hiyo imetolewa mkoani Rukwa na Waziri wa Ujenzi na...
  11. Yesu Anakuja

    Tv ya TOPlus ya mzee wa neema

    Baada ya kufungiwa kanisa, hana pa kusali, mtu huyo bado anarusha tv yake ya toplus (ipo azam tv). inawezekana amejirekebisha lakini tunaomba TCRA muwe macho dhidi ya huyu mtu. ni hatari kwasababu akimaliza kwa wakristo atamaliza kwa waislam na atachafua kabisa hili taifa. 1. alisema BIBLIA ni...
  12. J

    Ziara ya Rais Samia Qatar inavyozidi kuleta neema kwenye sekta ya mifugo.

    Ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya Oktoba, mwaka jana nchini Qatar, imeendelea kuvuta wawekezaii kutaka kuwekeza kwenye sekta; ya mifugo nchini. Katika kikao kati ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Widam Food, Al Noubay Al Marri, wa...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Kuelekea maadhimisho ya miaka miwili ya Rais Samia, Tutaje mafanikio ya ndani ya miaka miwili

    Kabla hatujafika tarehe 01/03/2023 tunaomba tukumbushane juu ya hii siku muhimu ya kuadhimisha miaka miwili ya Rais DK. Samia. 01/03/2023 tunaadhimisha miaka miwili ya Mh Rais na kwa kutaja mafanikio ya ndani ya miaka miwili na matarajio ya baadaye. Tutazindua madaraja mawili MTO MORI NA MTO...
  14. Stephano Mgendanyi

    Maoni ya Mbunge Neema Lugangira kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika, CAADPBR

    Mbunge wa Viti Maalum CCM - Kagera Mhe. Neema Kichiki Lugangira, Anaandika; Namshukuru Mhe. David Kihenzile, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kwa kunipa fursa ya kuwasilisha Mada kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika CAADPBR kwa Tanzania...
  15. Yesu Anakuja

    Usajili wa ‘Kanisa la Neema’ uchunguzwe

    Siandiki ili kupinga uanzishwaji wa makanisa, naandika jambo ambalo kama halitashughulikiwa mapema, kuna siku litaleta matatizo, tena yawezekana yakawa matatizo makubwa sana. KANISA LA NEEMA la mume wake na grace zoazoa vipodozi, limekuwa kero, linatukana na kupotosha Biblia na amekuwa...
  16. L

    Neema kubwa yaanza kuonekana baada ya China kufunguliwa na kulegeza kanuni za UVIKO-19

    Mwaka mpya wa 2023 umekuwa mzuri na wa neema hapa nchini China kwani kuanzia tarehe 8 Januari milango yote ya China inafunguliwa na kuruhusu wageni na wenyeji kuingia na kutoka China, hii ikiwa ni hatua ya kulegeza kanuni zote za UVIKO-19, ambazo zilisababisha nchi kufungwa tangu virusi vya...
  17. God Fearing Person

    Ombeni Neema ya Mungu iwaguse na sio kutukana wazee

    Mungu ni Mwema mkiendelea kutukana wazee , Fahamu kuwa ndo mnazidi kuharibu nchi na Kesho zenu.
  18. B

    Mheshimiwa kabla hujaondoka ulituachia laana au uliwaachia neema?

    Kuna watu wananeemeka na kuwa matajiri zaidi baada ya kuondoka kwako na wale masikini wanakuwa masikini zaidi, je umetuachia laana au umewaachia neema, miaka yako michache sikuwahi pata shida ya maji na umeme hata kama vilikuepo sikatai lakini watendaji wanatumia siasa kwenye suala la maisha ya...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Dini imeleta neema au ni mzigo kwa nchi za Afrika?

    Je, dini imekuja kuikomboa Afrika au kuiangusha?
  20. Hamduni

    Bima ya Afya kwa wote ni neema kwa Watanzania wote

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI NEEMA KWA WATANZANIA WOTE Na Amosi Richard Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema “Ni kupitia bima ya afya kwa wote ndipo tutaweza kutoa matibabu kwa kila Mtanzania anayeishi ndani ya nchi yetu. Mfuko huu utahakikisha mtu...
Back
Top Bottom