Neema Namadamu is an advocate for peace and a women's rights and disability rights activist in the Democratic Republic of the Congo (DRC). She founded the Maman Shujaa Media Center to empower women and give them voices to tell their stories.
Ndugu zangu Hali ya mafuta inazidi Kuendelea kuleta matumaini kwetu watanzania kwa kushuka Bei, Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Bei ya mafuta petrol,Dizel na mafuta ya Taa ilikuwa haishikiki Wala haikamatiki, Hali hii ilipelekea kupanda kwa bidhàa nyingi Sana hasa kwa kuzingatia ukweli...
Mwaka mmoja uliopita agizo la kuwapanga Machinga lilitolewa. Mwaka mmoja baadaye soko la kisasa Dodoma limekamilika limegharimu Tsh Bilioni 9 na sasa limeanza kutumika.
Lengo la soko hilo ni kuwaepusha Machinga na ajali zilizotokana na kufanya biashara pembezoni mwa barabara pia...
Ndugu zangu Nikiwa Kama mkulima naona Hali ya hewa imekuwa siyo nzuri, inatutisha wakulima, inatupa wasiwasi, mashaka na hofu. Mpaka Leo tunapoelekea kuumaliza mwezi huu bado hatujaona mvua, bado ardhi Haijapata mvua, bado tunaendelea kuangalia angani kila kukicha kuona Hali ya mawingu, Bado...
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hii ishu japo naona kama vile sio kweli ila nimeona niwashirikishe ndugu zangu wana jamii forum...nina mzazi wangu pale ninamuambia kuhusu mipango yangu mizuri huwa haonyeshi kufurahi hata kidogo...na akisikia nimepata matatizo huonyesha tabasamu pana
Huyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi.
Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila kutokana na kupotezana, ilishindikana.
Alisoma, majengo sekondari Moshi; mrefu wa wastani na ulikuwa...
Moja kati ya mambo yanayofanya uongozi wa nchi yoyote upendwe ni jitihada za wazi za kustawisha maisha ya wananchi, kutatua kero zao na kutekeleza maono yenye dhamira njema na maisha ya watu.
Uadilifu, weledi, haki za binadamu na kulinda mila na desturi za watanzania ni baadhi ya mambo...
Je wajua? 60% ya watanzania wameajiriwa katika sekta ya kilimo.
UMWAGILIAJI Kuanzia msimu ujao wa kilimo, Serikali chini ya Rais Samia kuwajengea Wakulima wa zao la chai wa mikoa yote mabwawa makubwa ili waanze kulima zao hilo kwa njia ya umwagiliaji ili kuongeza tija na uzalishaji.Tanzania ina...
Zile ajira takribani 10,000 ambazo Watanzania waliahidiwa kunufaika nazo katika ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda handi Chongoleani Tanga zimeanza kutangazwa.
Kupitia gazeti la Mwananchi toleo namba 0856-7573 la Jumatatu, 26/07/2022 ajira 87 za moja...
Serikali ya Tanzania imesema iko katika hatua za mwisho za majadiliano na Serikali ya Vietnam kujenga viwanda vitakavyobangua Korosho hapa nchini (Tanzania) ili kuiongezea thamani badala ya kuiuza ikiwa ghafi kama inavyofanyika kwa kiasi kikubwa hivi sasa.
Taarifa kutoka Kituo cha uwekezaji...
Tanzania na China zimekuwa na mahusiano ya muda mrefu, toka enzi zile za kufuata misingi mikuu ya Ujamaa chini ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Baba wa Taifa la China Mao Ze Dong.
Kwa miaka 61 sasa nchi hizi zimeendelea kushirikiana katika mambo kadhaa lakini zaidi ni namna asilimia kubwa ya...
Baada ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour, watalii na wawekezaji katika sekta ya utalii wameongezeka kwa mujibu wa hoteli za kitalii Dar es Salaam ongezeko la wageni limefika asilimia 280 na Arusha asilimia 340.
Kwa upande wa viwanja vya ndege miruko imeongezeka ikiwamo ndege zinazoingia...
Ni miaka 25 sasa imepita tangu China irudishe mamlaka yake kwenye mkoa wa Hong Kong baada ya kuwa chini ya utawala wa Uingereza wa miaka 100. Ilikuwa ni Julai Mosi mwaka 1997, wakati wakosoaji walikuwa wakijenga picha mbaya kuhusu mustakbali wa Hong Kong, na kuitaja hatua hiyo kuwa ni mwanzo wa...
Mwenyekiti wa kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO), Mhandisi Luhemeja ameeleza kuwa Serikali inakwenda kufumua muundo wa NARCO ili kila mkoa uwe na Ranchi yake pamoja na Meneja wa NARCO wa Mkoa na hivyo ameitaka menejimenti ya NARCO ikae hataka kufumua mfumo uliopo sasa
Luhemeja ameeleza kuwa...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza Mpango Mkakati wa miaka mitano (5) (2021/22 – 2025/26), unaolenga kuboresha bandari zote za Tanzania ikiwemo Bandari ya Mtwara.
Imeelezwa kuwa kupitia mkakati huo Serikali...
Na John Mwakanga, Mbeya
Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imejitwika jukumu la kupunguza gharama kwa wananchi kwa kutoa ruzuku ya bilioni 100 kila mwezi.
Juni 10...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara Zinazojitegemea, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa...
Katika miaka yote ambayo Yanga huwa wanabeba ubingwa wa nchi basi huwaga kuna neema kubwa sana ya kimaisha miongoni mwa watanzania. Hata siku Yanga wakicheza na Simba halafu Yanga wakashinda mechi siku hiyo huwa inakuwa nzuri sana na yenye kwa wananchi wa...
FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa"
Mradi una malengo makuu mawili:
1. Beekeeping transformation from local/primitive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.