Kama wangekuwa au wana akaunti YouTube, wangekuwa na mamilioni ya viewers na wangekuwa wanajiandaa kuvuna mamia ya mamilioni.
Nadhani watu wameona kipaji cha muziki cha hali ya juu, ni wazi Watanzania na Waafrika wamechoshwa na nyimbo za ovyoovyo za wasanii wetu, wanataka vionjo vya Kiafrika...