Baraza la Mazingira (NEMC) nawauliza hamuoni Uchafuzi wa mazingira baharini na kwenye vyanzo vya maji?
Uchafu unatiririshwa baharini, na ziwani kwa Hali ya kutisha. Public beaches (fukwe za umma) eg. Coco, Kawe, Jangwani zimejaa uchafu Wala hamchukui hatua. Why?
*Huko baharini mna hata Boat ya...