Pamoja na wafanyakazi kula msoto kwa miaka 7...
Narudia Tena miaka SABA! Bado Kuna watu wamenuna mama kutangaza JAMBO lake kwa wafanyakazi...
Basi kama Kuna mtu amekasirika aende kule lile kaburi Lina nafasi tu mnaweza kutosha wote...
asante mama.
Kwa kufanikiwa kumzuia Fiston Mayele asifunge goli kwenye mechi ya Simba na Yanga ya tarehe 30 APRILI 2022 basi nakushauri uende kanisani kwako unapo abudu ukatoe sadaka ya shukurani.
Wiki hii kumeanza tena ule usumbufu wa kijinga na wa kila mwaka wa kusimamisha watu barabarani ili kuwakagua sticker za wiki ya nenda kwa usalama barabarani.
Sasa kama ilivyo kawaida yetu hapa jukwaani, pakitokea kero basi tunatoa mawazo walau ya kuondoa au kupunguza kero hiyo. Sasa basi...
Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
WAZIRI ENG. MASAUNI
Naomba nikurudishe nyuma kidogo, miaka miwili nyuma ukiwa naibu waziri wa mambo ya ndani, ukiwa kama mwenyeketi wa usalama barabarani uliagiza kila mkoa ukusanye fedha za WIKI YA NENDA KWA USALAMA ambazo hutozwa kuanzia tsh 3,000 hadi 5,000
kwa kulingana na ukubwa wa gari...
Tunajua alijua tarajio hili au la namna hii na alijiandaa. Asituangushe amuenzi Magufuli kwa dhati ya Mungu wake. Fedheha ni mbaya akatae.
Polepole huwa hayumbishwi na ufalme wa duniani chini ya jua. Hiari ni hiari tu tugange yajayo.
Ukimtegemea Mungu ufalme wa duniani hauna tija.
Malawi...
Nakamaliza taratibu za surrogacy na soon ntapata mtoto, ili niendane na ile kauli mbiu ya kuwatafuna tu wanawake, hakuna mda wa kuoa ni mwendo wa surrogacy na kuwatafuna wanawake
==========
Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini kutokana na majukumu mengi ameshindwa huku akisema ataimalizia baadaye.
Mkuu huyo wa nchi amesema hayo leo Alhamishi Januari 27, 2022 wakati wa mahojiano maalumu yaliyorushwa na Shirika la...
Muziki wa Rhumba leo umepata pigo baada ya Mkongwe wa Muziki huo Defao kufariki Nchi Cameroon
Sisi watu wa Tandika na Temeke kwa ujumla tutakumbuka sana kibao chake cha FAMILY KIKUTA ambacho tulikicheza sana miaka ya 90 kwenye ukumbi wetu wa IIMASCO CENTER uliokuwa Karibu na Uwanja wa Taifa...
UKITAKA KWENDA MBALI, NENDA NA WENZAKO - MAHUSIANO YA DIPLOMASIA
Matokeo Chanya ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yashusha neema kwa Watanzania leo tunashuhudia Ujumbe wa Wawekezaji zaidi ya 120 kutoka Nchini Misri hii imetokana na Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwezi Novemba...
Kila Mkuu wa mkoa Dar ana kibarua cha wamachinga, why akili huwa haitumiki kabisa?
Toka Marehemu Ditopile Mzuzuri anaongea live kwenye tv DTV kuhusu kuwaondoa wamachinga .hadi Leo mambo ndo yanazidi.
Serikali inashindwaje kufanya hivi kuondoa wamachinga kwa akili.
Agiza wamachinga wote...
UNAPOHISI DALILI YA #COVID19 NENDA KITUO CHA AFYA USIJITIBU
Wataalamu wa Afya wanashauri pindi unapohisi dalili za Corona nenda kituo cha afya ukapime badala ya kuanza kunywa dawa na kujaribu kujitibu.
Inaelezwa kuwa miongoni wa dalili hizo ni pamoja na kupata shida wakati wa kupumua, kupata...
Njia ya Mungu ni fumbo
RAIS HAKAINDE HICHILEMA AMUAPISHA ASKARI ALIYEMTENDEA WEMA AKIWA GEREZANI KUWA NAIBU KAMISHNA WA MAGEREZA. KUNA SOMO LA KUJIFUNZA
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameteua Bwana Kuyomba Bwalya kuwa Naibu Kamishna Jenerali wa magereza "Zambia Correction Service"...
Sia ni binti ambaye wakati Fulani tuliwahi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi,Japokuwa ndio kwanza tulikuwa tumetoka masomoni kwa kuhitimu kidato cha sita.Si jina lake halisi ,Lakini naamini litafanikisha kufikisha ujumbe niliokusudia.
Hatukudumu sana hasa baada ya matokeo kutoka na kila mmoja...
Ni furaha kuona kamanda wa taasisi nyeti ya kupambana na rushwa anakuja kutoka polisi akiwa anajua mifumo yote ya utoaji haki ndani ya jeshi la polisi kujawa na rushwa kuanzia barabarani, jinsi trafiki na polisi wanavyochukua rushwa mpka vituoni hakika tuna imani kubwa na kamanda aende kuweka...
Ukitaka kwenda haraka nenda pekeako,lakini ukitaka kufika mbali nenda na wenzako.
Ni msemo wa kiswahili na leo tarehe 06 April ulinukuliwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao Ikulu ndogo Dar es...
Eneo la Makongo juu wilayani Kinondoni, limekuwa na shida ya barabara kwa miaka mingi sana. licha ya eneo hili kuwa maa muhimu na maarufu., na kukaliwa na watu mashuhuri, limekosa barabara kwa muda mrefu sana. Makongo juu inapakana na kambi za Jeshi za Lugalo, Makongo na changanyikeni, pia...
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif amefariki ktk Hospitali ya Muhimbili. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa
Pia soma > Wasifu/ CV ya Maalim Seif Sharif Hamad, Historia yake kwa Ufupi
Kupitia ukurasa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.