Naomba nieleze hili ambalo kwenye Moyo wangu siwezi kuliacha kamwe na sintolisahau katika mwaka uliopita linalohusu hospitali ya Mwananyamala.
Mnamo Tarehe 30/12/2020 nilimsaidia majeruhi wa pikipiki ambaye alikuwa amegongwa na gari kumuwahisha hosptali kwa ajili ya Matibabu, aligongewa mitaa...
Wadau inapendeza kuwa pamoja kwa umoja.
Napenda kutoa pongezi kubwa sana kwa waumini wa WCM. Natoa pongezi kubwa pia kwa Naseeb Abdul a.k.a Diamond au Dangote.
Diamond ametengeneza nembo ambayo imekubalika sana na vijana wengi kwa kipindi hiki. Kukubalika huko kumeinua vijana wengi pia wawe wa...
Yaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki
Nchi ya Madagscar inasifika sana kwa ulimaji wa zao la vanilla. Zao hili linawaongezea kipato kikubwa sana raia wa Madagascar kwani kilo moja inafika karibu dola 600 za Kimarekani.
Nakumbuka sana Profesa Kabudi aliporudi na mitishamba ya Corona toka Madagascar kwa mbwembe nyingi sana na...
Jamani utaratibu wa kupata nafasi ya kugombea CCM Ni mgumu mno kwa mtu wa kawaida na asiyemfanyabiashara mkubwa, pale ni kweli Kuna wenyewe, na fitina , kujuana, family history, rushwa vina husika sana.
Mimi naamini huyu Sugu au professor asingepata nafasi ya kugombea ubunge kupitia CCM miaka...
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Maneno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu.
Wewe kama mtumishi wa Mungu tena mchungaji kabisa ulichokifanya si haki mbele za Mungu.
Umeeneza uzushi kwamba mh Mbowe alishambuliwa na watu walio mshambulia walikuwa wanatamka maneno "wewe ndio unamsumbua Rais...
Nakupa tu angalizo kama wewe ni mgeni siasa.
Ukiyasoma vizuri malengo ya Chadema na katiba yake huwezi kumkosoa Mbowe maana havunji taratibu yoyote ndani ya chama.
Tatizo vijana wengi huvamia siasa za vyama bila kujua malengo ya chama husika.
Kwa mfano CCM iliasisiwa ili kuwatumikia Wakulima...
Wanajamvi natoa ushauri tu!
Kama umeweka hela kwenye Vicoba nenda katoe.
Nawapa sababu.
Corona ni tishio na ndio hivyo vitu vimeanza kupanda bei kutokana na uzalishaji finyu na uhitaji mkubwa, low supply lakini high demand, hapo kunatokea shortage ambayo inalazimisha watu kupandisha bei ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.