Wanajamvi natoa ushauri tu!
Kama umeweka hela kwenye Vicoba nenda katoe.
Nawapa sababu.
Corona ni tishio na ndio hivyo vitu vimeanza kupanda bei kutokana na uzalishaji finyu na uhitaji mkubwa, low supply lakini high demand, hapo kunatokea shortage ambayo inalazimisha watu kupandisha bei ili...