Wadau hamjamboni nyote?
Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi
Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu" sijampata
Mchana mwema
Tokea kupata uhuru hakuna chama chochote cha upinzani kilichoweza kushika hata uraisi wala maamuzi makubwa zaidi ya chama cha ccm.
Maamuzi haya yapo ndani ya serikali ya ccm ambayo ndio chama kilichomo.
Sasa neno ili la ulaghai linapendwa sana kutumia kila anayeingia iwe...
Rwanda hawana tabia ya kuendekeza ujinga kama huuuu
N KANCHI kadogo lakini hakajawahi kukoseankunfundisha adabu pale anapokosea
Mpaka sasa nilitakiwa kuona MH WAZIRI WA MICHEZO akiwa amejiuuxulu na KUOMBA radhi kwa UPUUXI WA TFF na BODI take uliotokea
Else anatakiwa awe ameshafyrka Ile BODI...
Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza.
Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati wa mashindano ya kitaifa siku ya 19 Nov 1964
Wizara ya habari na utalii Tanzania ilitambua mchango...
Madhabahu ilikuwa ni mahali pa kutolea sada za damu katika agano la kale. Siku hizi wahubiri wakristo wakianzisha kanisa wanaita madhabahu eti watu walete pesa hapo. Huu ni wizi na watu wengi wajinga wasioijua hata hiyo biblia ndio wamejazana huko. Utapeli mtupu.
Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje”
Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya kufanya kwa waliohitimu vyuo mbalimbali huku mkiendelea kusubiri ajira.
Vitu hivyo ni kama...
Miongoni mwa mambo machache mazuri ambayo yaliwahi kufanywa na Magufuli basi kumteua Salvatory Mabeyo kuwa CDF.
Hapana shaka utumishi wake jeshini na Taifa ni wa kutukuka. Moja ya jambo kubwa alilolikabili na kuhakikisha nchi inabaki salama kipindi cha msiba wa Magufuli.
Ukikutana nae...
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo...
Nishawai toka kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!!
Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!!
Ama nilizingua?
BRAZA CHOGO
Nikifa MkeWangu Asiolewe Han Kyul
Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana.
Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji wa lugha huwa siwezi kumsikiliza hata nusu dakika. Sijui ndio ujanja au ndio waumini wanaelewa zaidi...
Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya
1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize,
Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe.
Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike.
Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ajibu sakata la Bandari ya Bagamoyo. Asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji
Soma: Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni
"Serikali ipo...
bagamoyo
bagamoyo port
bandari
bandari bagamoyo
bandari ya bagamoyo
kariakoo
kitila mkumbo
kuuzwa
lissu
lissu 2025
madai
mwekezaji
neno
sakata la bandari
serikali
Kati ya watu ambao wanaumia sana na matokea ya Jana basi Mwasibu ni no 1 , sasa huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kumtia moyo ndugu yetu Mwasibu.
Uzi Tayari
Kulikuwa na ubaya gani kama tungetohoa neno drone la kiingereza liwe droni kwenye kiswahili?
Hii kuiita ndegenyuki ni direct translation ya kijinga.
Mbona wale nyuki wanaoitwa drones kwa kiingereza wanaitwa nyuki tu kwa kiswahili? Sasa hii ndegenyuki inatokea wapi?
Neno Yesu na neno Kristo Inamaanisha Nini
Neno Yesu
YESU ni jina la kiuanadamu la Bwana, alilopewa na Mariamu na malaika Gabrieli (Luka 1:31). “Yesu” maana yake ni “Mungu anaokoa”. Hili ndilo neno la Kigiriki linalofanana na neno la Kiebrania “Mashiak”au "Masihi."
Kuna vifungu vingi vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.