Ukiwa Mwanasimba uko mitaani ukatamka neno utopolo basi unacheka, unafurahi , unadharau na kubeza , simba ikija uwanjani inaanza mbwembwe Debora anazungusha watu dimba la katikati watu wanakaanga chips shwaaa, raha iliyoje, mara Zimbwe Jr anageuka kwa madoido watu weweee, Kibu anaruka ruka...
Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo, jina lipitalo majina yote,
Leo ningependa kuwashirikisha juu ya watumishi wa Mungu, Wachungaji/wahubiri injili ambao nimetokea kuwaelewa sana.
Wapo wengi lakini leo nitawataja baadhi ambao aina yao ya utumishi inataka kufanana,
1. CHRISTOPHER MWAKASEGE...
Kwenye kukua kwangu, hili neno Siasa ni neno la kawaida maana nalisikia mara kwa mara. Mfano:
Chama cha siasa. Mwana siasa...
Ila ukweli sijui maana yake. Maana hata wakati mwingine ni neno la heshima, na wakati mwingine ni neno la kuvunja heshima.
Ukiongea uongo, unaitwa mwanasiasa. Ukitoa...
Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi.
Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia.
Maridhiano ilikuwa ni moja...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara .Amefanyiwa Maombi Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze.
Ambapo Mwamba huyo na jabali La siasa hapa Nchini na ambaye...
Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa humfahamu, ukitaka kuuliza kitu tulianza kwa kusema "samahani ndugu, sijui basi la kwenda ferry ni...
Kutoka 14:14. Mithali 24:24. Zaburi 98:9. Mithari 14:34.
Kutoka 14 : 14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.
Mithali 24 : 24 Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia.
Zaburi 98 : 9 Mbele za Bwana; Kwa maana anakuja aihukumu nchi...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Nurdin Babu amezindua msimu wa tano wa Tamasha la Kahawa(Kahawa Festival) na kutoa wito kwa wananchi kujikita kwenye uzalishaji wa zao la Kahawa.
Amesema zao la Kahawa lilichangia kwa kiwango kikubwa kufanikisha maendeleo ya mkoa ikiwamo kuwa na shule nyingi za...
Neno mtemi asili yake ni kiongozi wa ufyekaji.
Zamani kwenye jamii ya Wasukuma na Wanyamwezi, vijana wakifika umri wa kujitegemea walikuwa wanachagua kiongozi na kwenda porini kufyeka eneo la kuanzisha makazi.
Kiongozi aliyekuwa anaratibu shughuli hiyo alikuwa anaitwa Mtemi.
Wanawake tuliowengi kwa sasa tunaendeshwa na hisia tu badala ya uhalisia
Kwa sasa tunaamini na kuhisi kwamba iwapo mmeo hakupi pesa ya matumizi ya kutosha au akakwambia hana pesa kwa muda huo basi neno litakalotamkwa na mke wake au mpenzi wake ni kuwa amehonga pesa wanawake na kumnyima mkeo au...
Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili?
Lakini ukiandika kwa kuacha nafasi sms inaenda au ukiweka alama katikati ya neno SEX mfano SE.X sms ndio inaenda nani kuruhusu mambo haya?
1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid.
Yanga kama kawaida yao...
Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita.
Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi...
Kufuatilia kifo cha kiongozi wa Hamas, tutaskia zile sifa za miaka yote juu ya uhodari wa IDF. Sifa za uongo kuhusu jeshi la Israel zitatawala sana wiki hii. Tutasahau kama wanashindana na kikundi kidogo cha Hamas ma ameshapoteza zaidi ya askali 500
Kiukweli kabisa kuna watu hawajui kusema Asante Jamani! Sijui ni kutokuridhika na hata kitu kidogo.
Usiposema asante huwezi pata zaidi hata siku moja zaidi ya kupoteza.
Mimi binafsi kuna nimempatia vitu vingi lakini ni kama anataka zaidi yani anaonyesha kuna kitu bado sijampa.
Hiki kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.