Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda.
Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie naweza kuipata wapia.
Asanteni Maafande.
Kama kichwa cha Habari kinavyosema, zaidi ya wiki sasa imepita toka nilete hii changamoto iliyopo katika lugha yetu ya Kiswahili.
https://www.jamiiforums.com/threads/naomba-neno-moja-tu-la-kingereza-ambalo-halina-tafsiri-rasmi-ya-kiswahili.2228322/page-9#post-50651130
Nashukuru kwa wale wote...
Wanaume wengi wamepumbazwa katika ili neno "kuwajibika" kitu ambacho kinapelekea wanaenda extra miles kulazimisha wafanikishe mambo yasiyokuwa na ulazima hata kama wanajiumiza au kujirudisha nyuma kimaendeleo. Tutaangalia baadhi ya mifano.
1. Mahusiano ya kimapenzi. Ukisikia mwanamke anaongelea...
Neno "kuweza" limekuwa linatumiwa vibaya sana kwenye kiswahili cha siku hizi. Luna mifano mingiya matumizi hayo haramu kwa mfano kwenye sentensi hii ina makosa:
"Mchezaji wa zamani wa timu A ambaye aliweza kufukuzwa kwenye timu hiyo, sasa hivi kajiunga na timu B."
Naomba thread hii ikusanye...
Tanzania imekuwa ikikumbwa na changamoto ya ajali za barabarani ambazo zimechangia kwa kiasi kikubwa vifo, ulemavu na uharibifu wa Mali na vyombo vya usafiri. Katika taarifa zinazotolewa nyingi zimekuwa zikizungumzia idadi ya vifo na majeruhi, lakini wengi wa majeruhi wanakua wamepoteza viungo...
Asanteni sana Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili ( TUKI ) kwa Toleo lenu la 3 la Kamusi yenu ya Kiswahili - Kiingereza kwa Kuyaandika bila Tafsida yoyote majina ya Sirini ya Wanawake na Wanaume kama ambavyo tukiwa Mitaani tunayatumia na hata tukizinguana huwa tunayatumia vile vile.
Sasa kama...
Familia nyingi za sasa na walezi wengi wa sasa, wamekuwa ni sehemu ya kusababisha mengi mabaya ya jamii hii ya leo hususani katika malezi na makuzi ya watoto wa kike na wa kiume. Neno kusema hili ni tusi na kuacha kuzungumza ama kumuelekeza mtoto husika imefanya watoto kukutana nayo wenyewe na...
CHADEMA ni watanzania wenzetu ambao pia wanahitaji neno la faraja kwa wanayoyapitia. Mimi ninawasihi wasikate tamaa kwenye nyakati hizi ngumu ila nao wajishushe na kwenda kumwomba msamaha aliyekuwa hawara wa Dr Slaa kwa kumtelekeza pamoja na kwamba alikuwa mhanga wa maandamano ya Januari 5, 2011...
Kwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu
Wewe unaona nini akilini mwako usikiapo neno Kenya?
Narudia tena Mungu awape ufahamu kulijua neno la Mungu wapendwa.
Kuna jirani yangu ni mpenzi sana wa mahubiri ya redio. Akajichanganya kasikia kanisa moja huko buza, alipofika no 1 kumwona nabii akaambiwa shida zake zinahitaj gharama kubwa, aliemloga ametumia hela kubwa kaambiwa atafute...
Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha.
Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
Mlonganzila ni jina la Hospitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na hii inatokana na hosipitali huwa kujinasibu kuwa wana uwezo wa kufanya BBL yaani Brazilian butt lift...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.