Wakazi wa makkah ambao ni maquraish walikuwa na mashaka juu ya Utume wa Muhammad rehma na amani ziwe juu yake, hivyo walitaka kujiridhisha je huyu kweli ni Mtume wa Mungu au laa!
Basi kwakuwa wanajua kule Madina kuna wanazuoni wa Kiyahudi au watawa wa kiyahudi na wanaijua vizuri Taurati pamoja...
Mzuka wanajamvi.
Yani Papa katuangusha sana. Sasa hivi mtu unaogopa hata kubarikiwa tu na mchungaji.
Yani hata humu jamvin upande wa pili wanatudhibiti sana katika hoja pinzani kwa kutuambia Nenda kabarikiwe.
Unabaki tu umelegea na kunyong'onyea yani wanatuweza kichizi.
Neno kubarikiwa...
TANESCO wanahitaji kutusikia tunavyowafanyia rating ya huduma zao. Toa neno moja linaweza kuwaondoa pale walipokutana.
Mimi neno langu nikuwaomba wafanyakazi wa TANESCO waache kusema WANASIASA WANATUMIA SHIRIKA HILO KIBIASHARA...Niwaombe watoe huduma kwa uzalendo kwani wanaoumia siyo mawaziri...
Msitafute mchawiiiii
1. Aliikuwa ni Rais kiongozi wa nchi
Kumbukeni anaongoza kila mtu anapokasirika hata mbingu inahuzunika
Tuliona kirahisi alipoumia na kusema ile timu ni kichwa cha mwendawazimu mkakaa kimya
Yale maneno yanafanya kazi, yanaumba kwa stars yetu soln ya kutoka ni kwenda...
Niliona BBC Swahili wameandika kichwa cha habari kwamba "kikosi cha Gambia kingefariki" walipokuwa wakieelekea Afcon, je hapa hili neno limetumika ipasavyo? Hapa wanamaanisha kikosi kina moyo?
Naye Eliya akapanda juu mpaka kilele cha Karmeli; akasujudu kifudifudi, akainama uso mpaka magotini.
Akamwambia mtumishi wake, Kwea sasa, utazame upande wa bahari. Akakwea, akatazama, na kusema, Hakuna kitu.*Naye akanena, Enenda tena mara saba.
Ikawa mara ya saba akasema, Tazama, wingu...
Kitabu cha Quran kinataka jina la Israel mara 43 katika maandiko yake, lakini kitabu icho icho hakina andiko lolote linatolotaja neno Palestina (Palestine), kwa lugha nyingi yani jina Palestina halipo kwenye Quran. Na Uislam hautambui taifa la Palestina, lakini unatambua Taifa la Israel...
Afla za uchaguzi wa tisa wa Chipukizi Taifa zilizofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma, zimeibua maswali mengi baada ya watoto walioshinda vinyanganyiro hivyo kuwa watoto wa viongozi tu kwa asilimia kubwa, ikilinganishwa na idadi ya watoto walioko Tanzania.
Katika vinyanganyiro...
1 WAKORINTHO 7:3-5
"Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena...
MMILIKI wa baa ya Tale mjini Njombe, Jackson Mgeni (35), mkazi wa Mji Mwema mjini hapa, amefariki dunia kutokana na kuchomwa kisu tumboni na anayedaiwa mteja wake, Emmanuel Shiwa (32).
Mfanyabiashara wa madini na mkazi wa eneo la Uwanja wa Ndege mjini Njombe, anadaiwa kutenda ukatili huo baada...
Hakikisha una uhakika na ushuhuda wenyewe, kwamba:
1. Umekutokea wewe binafsi,
Au
2. Umeushuhudia kwa mtu mwingine,
Au
3. Umesimuliwa na mtu ambaye unaamini hakukuongopea.
Karibu🙏🙏🙏
Wakuu habari za mchana?
Nikiwa nime tune tv kufuatilia kipindi changu pendwa cha sports cha kipenga extra ni shtushwa na neno Kimoja cha nguruwe likitamkwa na mgeni Mjata Mjata shabiki kindaki ndaki wa Makolo wakiwa wanaongolea matokeo ya Man United.
Naona imebidi kipindi kifutwe kabisa saizi...
Yesu alipokufa liliandaliwa dau kupotosha kuwa hajafa. Shughuli hii iliratibiwa kwa ukaribu na Usalama wa Taifa wa Herode, Viongozi wa kidini na machawa wa kaisali.
Pesa ilitumika kumuhafifisha Yesu, Hata leo trillions zimetengwa kumuhafifisha ionekane ni nadharia.
Hii ni fursa kwetu sisi...
Maadhimisho ya Siku ya Lishe Kitaifa katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya yamefanyika leo Oktoba 30, 2023 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katumba II , Mgeni Rasmi akiwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu.
Haniu amepongeza kwa hatua nzuri ya lishe iliyofikiwa katika Wilaya ya...
Bila salamu.
Hili neno linachosha sasa kwa timu zetu..simba na yanga ndio timu kubwa hapa bongo ziondoe hili neno kujitahidi limekuwa too much tutengeneze timu za kushindana kama wenzetu na sio timu za kuqualify kwenye mashindano fulani.
Wenzetu nilichoona wana timu imara muda wote they play...
Kwa namna mambo yanavyoenda, mienendo, tabia, maamuzi ya viongozi wa Serikali kuhusu masuala nyeti ya kitaifa katika nyanja mbalimbali nimeishiwa kiu ya kuipenda Tanzania. Hata jezi ya timu taifa na bendera ya taifa sijui navionaje am not proud either, hata nikisikia wimbo wa Taifa sina mzuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.