Binafsi kila nikisia tu 'GOLI LA MAMA' si tu kwamba huwa Nashtuka lakini pia huwa nawaza mbali sana kama Mwanasayansi na Mdau mkubwa wa Somo la Baiolojia na Baiolojia ya Wanadamu / Mwanadamu.
Nitashukuru sana hili likifanyiwa Kazi.
Pelekea ni mnyambuliko wa neno peleka ambalo maana yake ni kumchukua mtu au kitu na kukifikisha mahali panapotakiwa. Kwa kuzigatia maana ya peleka na mnyambuliko huo wa kutendea wa peleka, maana ya pelekea ni kufanya tendo la kupeleka kwa ajili ya mtu fulani au kwa niaba ya mtu fulani. Mifano ya...
Ukikaa ukafikiria karibia vitu vyote vinavotumika kutangaza neno la Mungu vinatengenezwa na watu wasio amini upande wa mungu au wanamwabudu shetani,
Mfano: Magari, vinanda, vipaza sauti, majenereta, magari, kiujumla ni kila kitu mpaka hizo mitambo ya kuchapisha hivo vitabu.
Maneno ya kuonyesha maumivu, mikunjo ya sura ya kuumia, machozi, kilio cha maumivu huwa vinapagawisha sana wanaume na kuwaongeza midadi kwamba wao wana moto mkali.
Ila pia kuna kufeki maumivu, wanaume wengi hasa wanaotoka vijijini kuja mjini wanakuwa wahanga wakikutana na wadada wajanja...
Katika nchi dhaifu za Kiafrika na hasa ambazo watawala wake ni mamluki wa mabeberu ni utamaduni kwao neno UCHOCHEZI kutumika kufifisha ukosoaji na kukimbia uwajibikaji wa kushindwa kutatua kero au kukithiri kwa Uonevu katika jamii za nchi za Kiafrika.
Ipo haja ya nchi za Kiafrika zijitathmini...
Hili neno linatumika kama maficho ya ubaya na unafiki wa wanadamu. Binafsi sipendi kupewa hili neno hata kama nimepatwa na matatizo makubwa kiasi gani kwa sababu yeyote anaweza kulitamka na huwa linanirudisha kwenye hisia za matatizo yaliyonipata. Ni Bora kutumia mbinu mbadala ya kuonesha...
Habari zenu,
Mungu aliyetupa utashi na fikra kama viambata vya maarifa ni wa pekee sana, nafurahi ya kwamba kizazi cha sasa cha Tanganyika ya sasa kinauelewa wa haraka sana kwenye mambo msingi hasa yenye uhitaji wa logic na reasoning.
Ni Mungu huyu huyu ambae ameniwezesha kuona na kushuhudia...
Siku hizi kuna msemo maarufu sana wa 'pira papatu papatu', wengi hawaelewi asili ya msemo huu.
Msema huu asili yake mchanganyiko wa struggles za na sauti zitokanazo na samaki anapokua akirukaruka kwenye maji au matope, yaani kupaparika.
Nadhani tumeelewana.
Pateni video
MAana nyingine ya...
Ilishanitokea mara nyingi, japo sikujua sababu hasa. Nilijua roho yangu huitikia vizuri sana nyimbo zenye jumbe za Neno la Mungu.
Hata kama nilikuwa nikitembea njiani huku nafsini najisika kukaukiwa au hali ya utupu, nikipita sehemu wanakopiga wimbo mzuri unaokubaliana na Maandiko Matakatifu...
"Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye...
Nimeona niseme hapa jambo muhimu.
Iwapo kama siyo Mungu hakuna anayeweza lolote, basi aliye juu aangalie asijeanguka.
Ujumbe kwa watawala upo katika Ufunuo wa Yohana 3: 11.
Naam atakuja kuwapatiliza kila mtu kwa kipimo alichowajazia wengine.
Mungu ailinde Tanzania kwa kila pito tunalopita...
Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
Watu wengi wamekuwa wakiwasifu ndugu zangu kabila la kisukuma kwa kuwa wakarimu, lakini pia kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiwananga Wsukuma kwa kuwasema kuwa hawana ukarimu bali ni watu wenye roho mbaya, hii ni asilimia ndogo ukilinganisha na ile inayowasifia wasukuma.
Ukweli ni huu hapa...
Namkosoaga sana Tundu Antipas Lissu ila kwenye eneo ambalo nakiri na nasema ukweli ni kwamba Tundu Antipas Lissu ni mwanasheria smart sana.
Tundu Lissu anajua sheria hasa, kwenye maneno yake anapima kila kitu anachoongea kwenye mizani ya sheria ndo mana hata kumkamata kisheria ni ngumu sana...
Nimeona uzi flani wa mdau kaenda GSM MALL SHOP kaona kitanda kinauzwa 8M kaja na uzi anatushauri tutafute hela. Najiuliza tutafute hela kwa ajili ya kununua vitu vya bei kubwa na starehe nyingi zisizo na maana kisa tumetafuta hela? Naona tutafute hela tuukabili umasikini ila sio kwa kufanya...
"Uchochezi", hili ni neno pana sana ambalo hutumika kwenye nchi za kidikiteta, madhumuni yake ni kuwabana wapenda haki ili wananchi waweze kukandamizwa kwa kunyimwa haki zao! Kinachotokea ni kuwa ukitaka nchi iwe na katiba mpya mtawala haitaki hivyo unayeitaka atakuita mchochezi kisa, ni...
Nimerudi tena kuzungumzia Suala la ndoa hususan pale mtu anapokiri kuwa "nmekubali kuolewa" anamaanisha nini?
Inawezekana kuna kundi kubwa la wanawake sasa hivi wanatoa machozi majumbani na kujilaumu wenyewe kutokana tu na kutoelewa tafsiri ya hayo maneno machache, Leo tutaenda kuangalia hapa...
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima. Niende kwenye mada moja kwa Moja.
Mimi ni Kijana wa kitanzania na hivi sasa nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania jijini Dar es Salaam, nachukua shahada ya kwanza ya ualimu sayansi.
Natoka katika familia ya kawaida sana yenye jumla ya watoto tisa huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.