Hallo,
Moja kwa moja kwenye uzi, katika kumzungumzia J.K.Nyerere upande wake wa mazuri ndio unaotukuzwa sana kwa sifa kedekede hali hii imefanya upande wake mbovu kutokuzungumzwa.
Katika makosa makubwa aliyofanya huyu mzee ni kutengeneza taifa la kijinga, sio upande wa Tanganyika wala sio huu...
Hapa ninazungumzia Neno la Mungu la kwenye Biblia.
Wanasaikolojia wanakiri kuwa maneno yana uwezo mkubwa sana wa kumwathiri mtu. Ikiwa maneno ya kawaida yanaweza kusababisha mabadiliko, ni kwa kiwango gani Neno la Mungu linaweza kuleta matokeo yaliyoahidiwa na Mungu Mwenyewe? Kama unataka...
Zab 119:105 SUV
Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.
Mit 16:1 SUV
Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.
Mit 14:12 SUV
Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti.
Mit 8:17 SUV
Nawapenda wale...
Habari za siku nyingi, nimekuwa kimya kidogo tokea sakata la bandari limeanza.
Uwekezaji ni mzuri sana, hasa unapofuata misingi sahihi. Hasa kwa bandari zetu, hizi zinataka mapinduzi makubwa sana kutoa au kuondoa ukiritimba uliopo. Hivyo siwezi kupingana na aliyeleta hoja ya kuwakaribisha...
Kwako mzee wetu Hashim Rungwe. Shikamoo.
Hivi sasa nchini mwetu kuna mjadala mzito sana wa mkataba wa bandari. Mjadala huu umewahusisha wananchi wengi wakiwemo wasomi na wataalamu wa sheria, wansnchi wa kawaida n.k
Sehemu kubwa ya wananchi, wanapinga mkataba huu kuwa in a long run ni kitanzi...
Habari za jioni wakuu!
Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss.
Naomba msipite bila kusema neno hapa,
Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu mkaamua kumove on mlitumia muda gani kuzoea Hali ya upweke? Kitu gani kiliwafanya kusonga...
Ibara ya 1 ya makubaliano na serikali ya UAE kinatoa kwanza tafsiri ya maneno yaliyotumika kwenye mkataba. Neno “Project Company” limeandikwa kuwa litamaanisha DP-World au kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania (ikiwa ni Kampuni Tegemezi ya DP-World) ambayo imeingia Mkataba wa Mradi kwa ajili ya...
Picha: Nape Nnauye
Habarini JF GT!
Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu.
Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
Ndugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio Msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa...
Niende moja kwa moja!
Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee).
Je, tatizo ni nini?
Ukisikiliza vyombo vya habari vikiripoti matukio ya vifo au majeruhi utasikia Kwa mfano " watu wawili wameweza kupoteza maisha" au " mtu mmoja aliweza kujeruhiwa". Haya ni matumizi sahihi ya kitenzi hiki?
Nimejifunza lugha za mataifa mengine na msaada mkubwa kwenye kujifunza ilikuwa kusikiliza...
HISTORI YA NENO BLUETOOTH.
Teknolojia tunayoijua kama Bluetooth imepata jina lake kutoka kwa Harald Bluetooth, mfalme wa Viking aliyeaga dunia zaidi ya milenia moja iliyopita. Kama vile alivyounganisha vikundi vya Denmark na Norway, teknolojia ya Bluetooth inaunganisha vifaa mbalimbali vya...
Mzuka wana JF!
Ni matumaini yangu wote wazima wa afya na mwenyezi Mungu anaendelea kutujalia uzima, amani, nguvu, afya na faraja wakati huu mgumu wa kumpoteza ndugu yetu Bernard Kamilius Membe.
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi hil neno la kiswahili UCHWARA mwanzilishi ni brother Tundu Lissu...
Morng Africa
Ukilisikia neno mswahili kwako unapata maana gani yaani ukisikia mtu anaitwa mswahili ni picha gani inakujia juu ya mtu alie itwa mswahili
📍 Igunga, Tabora
"NENO LA SHUKRAN"
Tunatoka shukrani zetu za dhati kwa Wakazi wa Jimbo la Igunga na Wananchi waliotoka maeneo mbalimbali kushiriki nasi kwenye Dua na Mazishi ya Mzee wetu Saleh Amor, (Katibu wa Elimu, Malezi na Mazingira wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi...
Sina muda mrefu toka nimejiunga humu, kitu nilichogundua humu Jf kuna misamiati inayotumika humu inafurahisha sana ambayo kuisikia sehemu nyingne ni kazi.
Mfano 'kuchakata mbususu', hili neno kwa mara ya kwanza nimeliona humu, na kuna ile mtu akiposti uongo watu wanasema "Chai", nani...
Ulipokuwa mtoto, ukiumia, ukaanza kulia, kama utabahatika kuambiwa pole basi neno litakalofuata litakuwa ni “Nyamaza, wanaume hawalii.”
Labda waliotulea walikuwa na maana nyingine, lakini iwe kwa kujua au bila kujua na sisi watoto wa kiume tumeelewa kuwa walikuwa wanamaanisha mtoto wa kiume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.