Guangzhou!
Kwa wataalamu wa lugha adhimu ya kiswahil...Nini maana ya neno Mbwiga??
Nilisikia jana jirani anasema ''Mume wangu alirudi yupo mbwiga"
Pia naomba msaada wa maneno haya
1.Monde
2.Karandinga
3. Gida
"Waligida Monde wakajikuta ndani ya karandinga"
Neno Wema hawafi ni neno la Kiswahili lenye maana 'Ukitenda wema wema wako haufi hata ikiwa kaburini wema wako hauwezi kufa'
Hiyo ndio maana ya neno Wema hawafi. Unavyoona mtu kama Magufuli amekufa bado anakumbukwa na kutajwa kila mahali ndio maana halisi wema wa mtu haufi ila anakufa mwili...
Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii.
Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu.
Kuna mtu alifananishwa na Mungu wakati ule bado yupo ofisini. Watu wakaonya wakapuzwa, ila leo mtu huyo hayupo na bado hamjajifunza...
Mtu aliyekataa kumuhudumia Mzazi wake hadi anakufa, je, afanye nini ili laana imuepuke?
Mshana Jr
Bujibuji Simba Nyamaume mchungaji
Yaani Maisha ni hatari curse is real.
Kauli ya Dkt. Badhiru Ally imekomesha tabia ya watu kusifia sifia ovyo huku nchi ikiendelea kupitia matatizo makubwa sana ya mdororo mkubwa wa kiuchumi uliosababishwa na Corona, vita vya Ukraine na Russia, ufisadi wa Serikali ya awamu ya 6, ukopaji holela kukatika hovyo kwa umeme n,k.
Pamoja na...
Wakuu
Hili neno maana yake nini? Waislamu hulitumia kuwaita wale wasio waislamu, kama kusema mpagani. Lakini pia huko South Africa wazungu wabaguzi wa rangi huwaita weusi Kafirs, kama vile Wamarekani kuita weusi Nigger. Kafir maana yake nini? Kafir ni mtu gani?
Kwa mara nyingine tena siwezi kuficha hisia zangu za furaha kwa kazi nzuri iliyofanywa na kamati kuu na Halmashauri kuu ya CCM taifa kwa uteuzi bora wa wagombea.
Nami pia nilikuwa ni moja ya watia nia kwa nafasi ya uenyekiti wa UVCCM Taifa lakini sijafanikiwa kupita lakini hilo haliachi...
Ndugu zangu kwanza Natanguliza pole zangu za dhati Toka ndani ya moyo Wangu kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika ajari ya ndege ya Jana, Najuwa maumivu, machungu, majonzi, huzuni, simanzi waliyonayo mpaka Sasa, Najuwa wanalia mpaka Sasa, Najuwa wanabubujikwa machozi mpaka muda huu...
Niliichukia siku ile Bunge la Tanzania lilipopiga kura kwa wingi ya kuondoa neno 'ndugu' wawe wanaitwa 'waheshimiwa'!
Neno 'ndugu' lilikuwa linakufanya uhisi uko karibu zaidi kwa uhusiano na mwingine. Lilisaidia sana kuondoa tabaka katika jamii. Inapokuja kwa hawa watunga sheria wetu, kwa...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mjadala wa Muswada wa Ulinzi wa Taarifa binafsi wametoa hoja zao huku wengi wao wakionekana kuunga mkono kuundwa kwa sheria hiyo.
Aidha katika kuongeza nguvu hoja Wabunge wengi wanaonesha kwamba ni muhimu katika uundaji wa sheria hiyo...
BUNGE LA WANANCHI:
KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)!
“Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa”
I. UTANGULIZI
Ndugu Waandishi wa Habari; Kama mlivyosikia, Serikali imepeleka bungeni Muswada wa...
Je, ni kauli gani uliyotamka ndani ya familia ikaleta taharuki na hamaki ambayo hadi leo unajutia na kuomba siku au wakati urudi nyuma uweze kuifuta kama siyo kuirekebisha?
Kwa upande wangu kuna siku nilishikwa na hasira nikamwambia mwanamke aandae vitu vyake maana nitamfukuza ila nikamsamehe...
MATUMIZI YA NENO MHESHIMIWA (HONORABLE)
Yahusu kuheshimisha nyadhifa na majukumu kwa majina ya nyadhifa na kazi zao.
Waliosoma vyuo vikuu na kuchukia kozi ya rhetorical language watakuwa wamejifunza pia kipengere hiki na tungetazamia watumie jina mheshimiwa kwa usahihi na mahali pake.
Pia...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi tarehe 15 Oktoba, 2022 amekutana na kuzungumza na wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Geita.
#CCMImara
#KaziIendelee
Ushasikia mtu anasema 'niko fiti kalikiti'? Ni kosa la kimatamshi tu limetoka kwenye neno la kiingereza 'Physically Fit'
Wakati unaendelea kushangaa nakuonesha maneno mengine ya kiingereza kwenye michezo. Unajua Marede, mtu akiwa tayari anasema Rede, neno la kiingereza 'Ready'
Si unajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.