netanyahu

  1. Yoda

    Kwa nini Netanyahu tu ndio analaumiwa Israel huku Rais wao akiachwa? Kwa nini ICC haijamtaka Rais ambaye ni mkuu wa nchi Israel?

    Tangu vita vya Israel na Hamas vianze anayesemewa kwa mabaya yote ni waziri mkuu tu wa Israel Benjamin Netanyahu wakati Israel wana Rais ambaye anasaini kila kitu! Kwa nini Rais wa Israel amenyamaziwa katika shutuma inazotupiwa Israel kuhusu utendaji wa jeshi lake dhidi ya Hamas wakati yeye...
  2. M

    Ni kweli Bashar Al Asad ameomba back up kwa Benjamin Netanyahu?

    Habari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi, kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na waasi wanaoonesha ku advance kwa kasi kwenye miji muhimu licha ya mashambulizi ya anga yanayofanywa...
  3. Satirical Yet Awesome

    Trump kumuekea vikwazo Karim Khan, Jaji mkuu wa mahakama ya ICC baada ya uamuzi wake dhidi ya Benjamini Netanyahu

    🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu 🚨NEWS: Donald Trump will SANCTION a British lawyer ‘Karim Khan’ over the International Criminal Court’s arrest...
  4. G

    Netanyahu: Hakujawahi kuwa na rafiki mkubwa wa Israel kutoka ikulu ya Marekani wa kumzidi Donald Trump

    Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel. Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran...
  5. FaizaFoxy

    Netanyahu asalimu amri baada ya kichapo cha Hezbollah

    Kwa mara ya tatu katika historia ya mazayuni wanasalimu amri bila kupenda kwa Hezbollah. hdezbollah ni kikundi cha mgambo lkilichoanzishwa mwaka 1982 kwa lengo moja tu. Kuhakikisha mazayuni wanaondoka Lebanon walikukokuwa wanaishikilia kwa mabavu wakisaidiwaa na Mmarekani. Kweli, walitimiza...
  6. G

    Biden kainyima Israel silaha wakubali ku "pause" vita, zimebaki siku 60 Trump kipenzi cha Israel kuapishwa, Vikundi vya Iran vitapata taabu sana

    Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu. Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
  7. Ritz

    Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu: "Maafa makubwa zaidi katika historia yetu yalitokea wakati wa utawala wa Netanyahu. Hakuna makubaliano na Hezbollah yanayoweza kufuta uzembe huu. Mkataba lazima uhitimishwe haraka kuwarudisha wafungwa na kuwarudisha...
  8. 5523

    UK watangaza kumshika Netanyahu endapo atatia maguu

  9. G

    Marais wa Marekani Biden na Trump wapo hatarini kukamatwa na ICC kwa kushirikiana na Netanyahu

    Siku ya Leo ICC imetoaa kibali cha kumkamatwa waziri mkuu wa Israel Netanyahu, kiongozi mwengine maarufu aliewekewa kibali cha kukamatwa ni Rais wa Urusi, Putin. ICC ina haki ya kuwakamata washirika wakuu wa Netanyahu ambao ni marais wa Marekani Biden na Trump kwasababu wanatoa ushirikiano...
  10. Ritz

    Netanyahu, kachanganyikiwa baada ya kuishindwa Serikali ya Iran, anawaomba raia wafanye mapinduzi Iran

    Wanaukumbi. Benjamin Netanyahu anajaribu kuwashawishi Wairani kufanya mapinduzi nchini Iran: ========================= 🚨🇮🇷🇮🇱 Benjamin Netyanahu is trying to convince the Iranians to stage a COUP in Iran: "The blow to Israel cost you $2.3 billion of your money..."...
  11. Bams

    Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani. Ikumbukwe kuwa utawala...
  12. KakaKiiza

    Wanajeshi wa Israel wameandamana kumpinga Netanyahu kwa kitendo cha kumfukuza Gallants

    Wanajeshi anaopinga uamuzi wa kumfukuza Gallant waziri wa Ulinzi kimewakasirisha na kuungana na wapinzani katika maandamano ya kumpinga Netanyahu hii imetokea leo Israel. Zaidi Tazama hapa Wanajeshi Wa Israel wakiandamana
  13. Ritz

    Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

    Wanaukumbi. Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake. =============== Netanyahu dismissed defense...
  14. M

    Waisrael wakataa kumpa kiki Netanyahu, waandamana ang'oke madarakani kwa kushindwa kurejesha mateka

    Benjamin Netanyahu alidhani kuwa kuendelea kuuaua watu, umwaga damu za watoto basi itakuwa Kinga kwake ya kuwaconvince waisrael kuwa ni waziri mkuu mzuri. Lakini maelfu ya waisraeli wameendelea kuandamana kumtaka ang'oke. Hawako impressed na muenendo wake wa kiuongozi. Baada ya Kuona raia...
  15. demigod

    Baraza la Usalama la Israel: Tutalipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni kwa kosa la kushambulia makazi ya Netanyahu

    Channel 13 ya Israeli jioni hii inaripoti kuwa Baraza la Usalama la Israel limefanya uamuzi wa kuanzisha Hatua nyingine ya Kulipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni. Hii ni kutokana na Jukumu lao katika Mashambulizi ya hivi karibuni ya Hezbollah, ambayo yalilenga Nyumba ya Waziri Mkuu wa...
  16. HIMARS

    Tetesi: Israel kuishambulia Iran kwa jaribio la Mauaji ya Netanyahu

    Baraza la vita la Israel limepitisha azimio la kuishambulia Iran kutokana na shambulio la mauaji kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Haya yanajili baada ya picha za satellite zilizoonesha kushambuliwa kwa ulinzi na mifumo ya ulinzi ya Iran Je kwa sasa Israel itafanya kile ambacho...
  17. Ritz

    Kilio cha Wazayuni dhidi ya Netanyahu.Familia za wanajeshi waliovamia zilisusia hotuba ya Netanyahu kwenye sherehe

    Wanaukumbi. Netanyahu alipokuwa akizungumza, familia za wanajeshi wa Israeli walioanguka walilipuka kwa sauti za hasira na kufadhaika, zikilaani waziwazi uongozi na maamuzi yake. Watoto wao wanakufa vitani umeshindwa kurudisha mateka...
  18. Mende mdudu

    Rais wa Congo, F. Tshisekedi, tumia mbinu za ujasusi za Netanyahu kupambana na ugaidi utafanikiwa

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada inakuja baada ya waasi wa M23 kuteka mji wa kalembe ambao ni muhimu kwao, unatoa nafasi kwao kufikia majimbo mengine kirahisi hasa yenye utajiri wa madini, kama tshobo, kivu kusini, na maniema. Alichofanya netanyahu wakati ana anza kupambana na hamas uko...
  19. Jackson94

    Nani ataiongoza Hamas baada ya kuuawa kwa Yahya Sinwar?

    Chanzo cha picha,EPA Maelezo ya picha,Viongozi wa Hamas watakutana tena kumchagua mrithi wa Yahya Sinwar Maafisa wawili wa Hamas wameambia BBC kwamba majadiliano ya kumchagua mrithi wa kiongozi wa kundi hilo Yahya Sinwar, ambaye mauaji yake yalithibitishwa siku ya Alhamisi wiki jana, yataanza...
  20. MK254

    Iran yasema haikuhusika kwenye jaribio dhidi ya makazi ya Netanyahu, yalaumu Hezbollah

    Iran imekimbilia kwenye kujitetea, ila waambiwa wasubiri papo hapo kipo tu, na muda wote wawe macho yao yanaangaza angani maana hawajui watashukiwa vipi. Vita vya kisaikolojia ========= Iran Denies Involvement in Drone Attack on Netanyahu, Blames Hezbollah Days after Israel eliminated Hamas...
Back
Top Bottom