Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel.
IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo...
Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.
Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.
Tafadhali naomba wale wazee wa miaka...
Wanaukumbi
Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kuwa UNIFIL, kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, lazima kiruhusiwe kuendelea na kazi yake, na kukataa ombi la Netanyahu la kuondoa vikosi vya UNIFIL.
Ufaransa ilisisitiza umuhimu wa kuwepo kwa UNIFIL katika...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi hao.
Netanyahu amemueleza Antonio Guterres Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa katika ujumbe wa...
Niaje waungwana
Waungwana wenzangu, najua kuna watu wanajiuliza kwamba inawezekanaje mimi nimshauri mtu jeuri kama Benjamin Netanyahu aende akaonane na mtu kiburi kama Ayatollah Khamenei ambae ni adui yake mkuu namba 1 hapa duniani.
Obvious inaweza kuwa ngumu ukizingatia kuwa Netanyahu hataki...
Mr. Netanyahu is above every international regulations, agreements, orders and organizations, including his Big Brother who keeps on loosing control of him. Currently, there is no organ in the world including the UN and US can contain Netanyahau. Together with Zelensiky are closely push the...
Benjamin Netanyahu amewatahadharisha na kuwasihi raia wa Lebanon 🇱🇧 akiwaomba kushikamana na kutumia wakati huu kuiondosha Hezbollah, Netanyahu amesema kwamba kundi hilo la kigaidi limekuwa likifadhiliwa na Iran ili kulinda interests za Iran mashariki ya kati ikiwa ni pamoja na kuishambulia...
Mods tafadhalini msiunge huu uzi,
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu wito wake wa kuiwekea Israel vikwazo vya kuuziwa silaha (Arms Embargo).
Bajeti ya ulinzi ya Israel ni Dola Bilioni 30 (Shilingi Trilioni 82)
Marekani huisaidia Dola...
Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa.
Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita.
Je Macron kafanya nini ,kilichomfanya Netanyahu kuchukia hivi...
Kwa mujibu wa mtandao wa X hapo juzi Israel ilishambulio Syria kwenye base ya Russia na kusababisha madhara makubwa, Balozi wa russia nchini Israel amewataka raia wa Urusi wanaoishi Israel kuondoka, inatajwa kuwa 20% ya population ya Israel ni raia wa Urusi ambao wapo hapo kwa shughuli mbali...
Netanyahu juzi amesema mkono wa IDF unafika kila kona Iran.
Nimeangalia interview moja kati ya Rais mtaafu wa Iran Ahmadinejad na CNN -Turk, anathibitisha Mossad wametapakaa kila kona Iran.
Anasema Iran Ilianzisha kikosi maalum cha kijasusi kupambana na Mossads waliojipenyeza Iran. Cha ajabu...
Wanaukumbi.
ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.
Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.
Mvutano unaongezeka huku...
Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo.
Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa...
Waziri Mkuu wa Israel ameongea kwa kutumia vyombo vya habari na wananchi wa kawaida wa Irani na kuwataka wananchi wa nchi hiyo kuachana ama kujitenga na utawala wa nchi hiyo.
Msikilize.
Benjamin Netanyahu
Ukiona hadi GENTAMYCINE nampenda Mtu jua nimeshamtathmini kwa Vigezo vyangu vyote na kugundua kuwa ana Akili, Mbabe, Jeuri halafu ni Mpenzi wa Visasi vya Kuwanyoosha Wajinga (Madunduka) na Wapumbavu (Mapopoma) hasa wa huko Mashariki ya Kati pamoja na wale Wapuuzi wanaowasapoti.
Duniani cheza na...
Mfalme Daudi ni moja ya watu mashuhuri katika Biblia, na vita alivyopigana vinaelezewa hasa katika vitabu vya 1 Samweli, 2 Samweli, na Zaburi. Hapa ni baadhi ya vita muhimu alivyopigana kwa mujibu wa Biblia:
1. Vita dhidi ya Goliathi (1 Samweli 17)
Akitumia kombeo na mawe matano, alimshinda...
Historia ya Firauni imeandikwa kwenye Qur'an kwa ufasaha ikitajwa ni kwa ajili ya ukumbusho kwa wanadamu kwanza wajue kuna muumba wa Ulimwengu na wasiwe wanajisemea tu ovyo kwa kutumia midomo yao.
Siku alipodakwa Allah sw akaweka wazi amefanya hivyo baada ya kumpa muda mrefu ajitafakari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.