MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,840
- 8,202
Wandugu
Nianze kwa kusema kwa sasa wote wamebaki mabubu,wameshikwa na butwaa hawajui waseme nini juu ya Netanyahu, na hii ni kwa sababu ya utashi wa mtu binafsi Huyu Netanyahu kwa sababu hata Myahudi wa miaka 70 ukimuuliza je unaweza kuwamaliza maadui zako wote na ukaishi salama atakujibu yeye mwenyewe akiwa tumboni mwa mama yake alikuwa akisikia mabomu