6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 3,952
- 8,807
Niaje waungwana
Naona Netanyahu kawekwa mtu kati 🤣🤣🤣🤣
Akienda mbele nchale ( Iran )
Akirudi nyuma nchale ( Hezbollah )
Akikaa nchale ( Houthis )
Muona mbali, na mjuzi wa mambo ya vita, niliwahi kuandika threads huko nyuma (2022) na (2024) kabla Iran na Israel hazijawahi kushambuliana moja kwa moja, kuhusu kile kitachotokea endapo Israel, na Marekani zitathubutu kuivamia kijeshi Iran.
Wengi wenye akili walinielewa na kukubaliana kile nilichoandika. Lakini wasio na akili walipinga kwa madai kwamba hakuna nchi itakayoweza kurusha hata jiwe kutokea nje ya mipaka ya Israel bila kudhibitiwa na mifumo imara ya anga na ardhini ya nchi hiyo.
Ikumbukwe hizo thread niliziandika miaka miwili kabla ya vita yoyote ya Iran na Israel, hivyo wenye akili ndogo waliiamini zaidi mifumo ya ulinzi ya Israel na uwezo wao wa kijeshi, kuliko uhalisia wa kile nilichoandika mimi (ambacho sasa wengine wameanza kukiona kuwa ni cha kweli) baada ya taifa hilo linaloongoza na kuogopwa kwa propaganda uchwara kufumuliwa fumuliwa mifumo yake kile siku vitani, hali inayopelekea nchi nzima iwe wazi bila ulinzi wowote kama beki mwenye matege 🤣🤣🤣🤣 na kupelekea washambuliaji wajipigie tu popote wanapopataka 🤣🤣🤣
Netanyahu sasa yupo hoi, mwenye hofu na wasi wasi mkubwa hadi kupelekea kujikojolea mbele ya umati bila kujijua 🤣🤣🤣🤣
Pia Soma: Bila Waajemi kuingilia Kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel.
Pia Soma: Iran ni nchi ya maajabu sana.View attachment 3567361