Picha: Vita imefika pabaya, Netanyahu anadhalilika mchana kweupee!

Niaje waungwana

Naona Netanyahu kawekwa mtu kati 🤣🤣🤣🤣

Akienda mbele nchale ( Iran )

Akirudi nyuma nchale ( Hezbollah )

Akikaa nchale ( Houthis )

Muona mbali, na mjuzi wa mambo ya vita, niliwahi kuandika threads huko nyuma (2022) na (2024) kabla Iran na Israel hazijawahi kushambuliana moja kwa moja, kuhusu kile kitachotokea endapo Israel, na Marekani zitathubutu kuivamia kijeshi Iran.

Wengi wenye akili walinielewa na kukubaliana kile nilichoandika. Lakini wasio na akili walipinga kwa madai kwamba hakuna nchi itakayoweza kurusha hata jiwe kutokea nje ya mipaka ya Israel bila kudhibitiwa na mifumo imara ya anga na ardhini ya nchi hiyo.

Ikumbukwe hizo thread niliziandika miaka miwili kabla ya vita yoyote ya Iran na Israel, hivyo wenye akili ndogo waliiamini zaidi mifumo ya ulinzi ya Israel na uwezo wao wa kijeshi, kuliko uhalisia wa kile nilichoandika mimi (ambacho sasa wengine wameanza kukiona kuwa ni cha kweli) baada ya taifa hilo linaloongoza na kuogopwa kwa propaganda uchwara kufumuliwa fumuliwa mifumo yake kile siku vitani, hali inayopelekea nchi nzima iwe wazi bila ulinzi wowote kama beki mwenye matege 🤣🤣🤣🤣 na kupelekea washambuliaji wajipigie tu popote wanapopataka 🤣🤣🤣

Netanyahu sasa yupo hoi, mwenye hofu na wasi wasi mkubwa hadi kupelekea kujikojolea mbele ya umati bila kujijua 🤣🤣🤣🤣

Pia Soma: Bila Waajemi kuingilia Kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel.

Pia Soma: Iran ni nchi ya maajabu sana.View attachment 3567361
Hivi hata hamuoni aibu jinsi ambavyo ISRAEL yenye ukubwa kama wilaya ya kasulu ikiwajambisha na makundi yenu yote zaidi ya matatu ?
 
Ni kweli vita imefikia patamu, soma hapa

Hivi hata hamuoni aibu jinsi ambavyo ISRAEL yenye ukubwa kama wilaya ya kasulu ikiwajambisha na makundi yenu yote zaidi ya matatu ?
Aibu ulitakiwa uone wewe myahudi wa sumbawanga kwa nchi yenu ya mashoga Israel kushirikiana na Marekani ili kupambana na nchi 1 Iran. Na bado mnatolewa kinyesi hadi mnaomba na NATO iingilie kati kuwasaidia lkn NATO nayo inaogopa kutia mguu ili isije kukumbana na kipindo wanachokumbana nacho Israel na Marekani.

Iran ndio nchi pekee yenye guarantee ya kushambulia nchi 8, kila siku. Bila kuchoka wala kuishiwa silaha.

Wanashambulia
1. Saudia
2. Kuwait
3. Jordan
4. Dubai
5. Marekani kupitia kambi zake
6. Israel
7. Umoja wa falme za nchi za kiarabu

Na ndio nchi ya kwanza imekataa tangazo la kusitisha vita kutoka kwa Trump na Netanyahu wake.
 
Mudi mnayemuona kama mwanzilishi wa dini yenu alikuwa shoga,ndio maana nyie wafuasi wake neno ushoga lipo mdomoni kwenu mda wote,kimjaacho mtu ndicho kimtokacho,endelea kugonoka kutwa mara tano uzidi kupanua mk*ndu
 
🖕🖕🖕
 
Pro iran huwa mnakurupuka kwa nyuzi za kishabiki ili tu kujifariji baada ya kipondo kikali cha mbwa koko. Netanyahu ni wa kudhalika kweli mchana kweupe?
 
Walioanzisha vita ndio waliolazimisha makubaliano ya kusimamisha vita na kukubali masharti yote 10 waliyopewa.

Mifumo mibovu ya Israel inashindwa kuzuia mashambulizi ya kikundi kidogo cha wanamgambo wa Hezbollah 🤣🤣🤣 na kusababisha Netanyahu kutumia kila aina ya silaha bila mafanikio.

Kuna muda nashindwa kuelewa inakuaje mtu mwenye akili zako timamu ushabikie nchi ambayo haina uwezo wa kutengeneza silaha zake yenyewe au kuingia vitani bila msaada wa Marekani nyuma yake.

Ila naelewa tatizo kubwa ni imani ya dini ambayo humfanya mwenye macho kuwa kipofu. Na mwenye masikio kuwa kiziwi.
 
Back
Top Bottom