Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na wanajeshi Wakristo na makamanda kutoka kwa vitengo mbal8mbali vya IDF. Maelezo muhimu kutoka kwa kauli yake:
Hili ni kinyume kabisa na kile kinachoenezwa huko nje. Sio tu kwamba Israeli inapigania haki za Wakristo kote Mashariki ya Kati, bali pia kwamba Israeli ina wanajeshi Wakristo wanaopigania ulinzi wa Israeli na ndugu zetu Wakristo kote katika eneo hilo, kote katika eneo hilo na kwingineko.
Sasa atatokea Mmatumbi mwenzangu atajifanya yeye anawajua sana wayahudi kuliko wanavyojijua wenyewe