Netanyahu kama Trump aomba mataifa duniani yaingie kati kupigana na Iran

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la kushambuliwa kwa kituo chake cha nyuklia cha Natanz.
Katika maelezo hayo,Netanyahu amesema mataifa mengi yalikuwa tayari yameelekea kuwasaidia lakini kwa sasa ni muhimu kuharakisha kuwasaidia wao na Marekani dhidi ya Iran.

Akiwa amesimama eneo ambalo lilisambaratishwa na kombora na karibu tani 2 la Iran, Netanyahu aliishutumu Iran kwa kulenga maeneo ya raia na akaonya ya kuwa Israel ina uwezo wa kutumia makombora ya masafa marefu kupiga maeneo ya mashariki ya Iran.

View: https://www.youtube.com/watch?v=qJ1JNge0I9w&t=82s
 
Mwaka huu wataiona dunia. Walidhani wao wameletwa duniani kuja kuua wengine?
 
Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la kushambuliwa kwa kituo chake cha nyuklia cha Natanz.
Katika maelezo hayo,Netanyahu amesema mataifa mengi yalikuwa tayari yameelekea kuwasaidia lakini kwa sasa ni muhimu kuharakisha kuwasaidia wao na Marekani dhidi ya Iran.

Akiwa amesimama eneo ambalo lilisambaratishwa na kombora na karibu tani 2 la Iran, Netanyahu aliishutumu Iran kwa kulenga maeneo ya raia na akaonya ya kuwa Israel ina uwezo wa kutumia makombora ya masafa marefu kupiga maeneo ya mashariki ya Iran.

Yawezekana una tatizo la lugha. Unasoma lugha za watu, kwa kukosa uwezo wa kuzielewa, unatoka na tafsiri ya uwongo. Nikusaidie:

Trump hajawahi kuomba taifa lolote liisaidie Marekani au Israel kupigana na Iran.

Baada ya Iran kuzuia meli za mafuta kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, Trump aliomba mataifa yote yanayoathirika na zuio hilo yazilinde kijeshi meli zinazopita kwenye huo mkondo. Mataifa ya NATO na Ulaya, yakagoma kizilelinda meli kijeshi na kudai kuwa yatatumia diplomasia kuondoa hilo zuio. Jana, Trump alitangaza kuwa kama Iran haitafungua, atapiga vituo vyote vya Iran vya kuzalishia nishati. Jana hiyo hiyo Iran imetangaza kuwa hakuna zuio la meli za mafuta kupita kwenye huo mkondo isipokuwa meli za mataifa adui Marekani na Israel.

Hivyo si Israel wala Marekani, iliyoliomba taifa lolote kuingia kwenye vita vyao dhidi ya Iran, ila wanaomba mataifa mengine yatoe ulinzi wa meli za mafuta.
 
habari ni hiyo hiyo na ndivyo walivyoelewa mpaka wazungu wanaozungumza kiiengereza.
 
Lugha aliyoitumia Netanyahu kwa kweli ni ya kile kizunguzungu alichokisema Mojtaba jana.
Hata hakuweza kwenda kuwaona majeruhi kwa kiwewe.akaagiza meya wa Dimona ampelekee salamu tu halafu akaondoka mbio.
Je ni yeye mbona nasikia yupo kwenye sanduku we tazama kwanini hawamtoi mwili wake kamili haha.

Mimi nina uhakika Netanyahu kafa wanatumia AI kuonyesha yuko hai
 
IMG-20260322-WA0000.jpg
 
Si hua tunaambiwa humu na Wayahudi weusi wa Nzega kua Israel ni taifa lenye nguvu sana?

Kwanini sasa anataka mataifa mengine yamsaidie? Kwani US peke yake ameshindwa kumsaidia?

Alivyo anza kwa kuiattack Iran alitegemea nini?

Wayahudi weusi wa Nanjilinji,Namanyere,Tegeta kwa ndevu mpaka huko Mpitimbi,naombeni majibu,inakuaje taifa teule la Mungu linaomba watu wengine waingilie ugomvi wake? Kichapo kimemzidia?
 
Wamezidiwa walidhani Iran ni lele mama USA leo anambembeleza Oman awasemeshe Iran warudi kwenye mazungumzo na wakati huku Trump anajitapa kumpa Iran 48 hours ili afungue Hormuz hahahaha

Iran hatishiki na Nuclear yao kawambia ukipiga Energy Infrastructure na sisi tunapiga vile vile Israel na Gulf states.
 
Kwa mjibu wetu sisi wa Iran wa Kimokela, Netanyahu tulishamdedisha, huyu anayeibuka kuongea ongea ni wa wapi tena?
Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la kushambuliwa kwa kituo chake cha nyuklia cha Natanz.
Katika maelezo hayo,Netanyahu amesema mataifa mengi yalikuwa tayari yameelekea kuwasaidia lakini kwa sasa ni muhimu kuharakisha kuwasaidia wao na Marekani dhidi ya Iran.

Akiwa amesimama eneo ambalo lilisambaratishwa na kombora na karibu tani 2 la Iran, Netanyahu aliishutumu Iran kwa kulenga maeneo ya raia na akaonya ya kuwa Israel ina uwezo wa kutumia makombora ya masafa marefu kupiga maeneo ya mashariki ya Iran.

View: https://www.youtube.com/watch?v=qJ1JNge0I9w&t=82s
 
Yawezekana una tatizo la lugha. Unasoma lugha za watu, kwa kukosa uwezo wa kuzielewa, unatoka na tafsiri ya uwongo. Nikusaidie:

Trump hajawahi kuomba taifa lolote liisaidie Marekani au Israel kupigana na Iran.

Baada ya Iran kuzuia meli za mafuta kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, Trump aliomba mataifa yote yanayoathirika na zuio hilo yazilinde kijeshi meli zinazopita kwenye huo mkondo. Mataifa ya NATO na Ulaya, yakagoma kizilelinda meli kijeshi na kudai kuwa yatatumia diplomasia kuondoa hilo zuio. Jana, Trump alitangaza kuwa kama Iran haitafungua, atapiga vituo vyote vya Iran vya kuzalishia nishati. Jana hiyo hiyo Iran imetangaza kuwa hakuna zuio la meli za mafuta kupita kwenye huo mkondo isipokuwa meli za mataifa adui Marekani na Israel.

Hivyo si Israel wala Marekani, iliyoliomba taifa lolote kuingia kwenye vita vyao dhidi ya Iran, ila wanaomba mataifa mengine yatoe ulinzi wa meli za mafuta.
Peleka upumbavu wako kwa vilaza wenzako, unajaza server na mataputapu hakuna mtu atasoma huu upupu wako
1774202285403.png
 
Huyu si alijidai kujiita Rising Lion sa kawa kicheche anaomba asaidiwe sa tuweke utani pembeni nani anaye sema Iran anapigana na US na Israel tu mwenye kudhani vile hujui bado unafiki wa Europe.

Iran anapigana na US, Israel na Western wote wanamsaidia Israel + Gulf states isipokuwa Oman tu
Hizo kelele sijui kumtisha Iran nchi zingine zinakuja kwani Iran wakutishiwa nyau hahaha.

Kwa kweli nimejifunza kitu ukiwa Muislam wa kweli hakuna ambaye wakukutisha Iran viongozi wake hawaogopi kufa wanacho tafuta ni pepo kuliko dunia.

Viongozi wa Iran hawajali viti kama viongozi wa kiarabu wanamuogopa Trump kuliko Mungu

Nilicheka Waziri wamajeshi wa Urusi alipo ambiwa Israel anamtisha Iran alisema Iran ana Missiles hata USA hamfikii na Israel ni nani wa kumtisha Iran ambaye anaweza kuichapa Middle East yote iwe Kaisrael hahaha

Echolima1 muosha vyoo Tela Aviv boss wako analia ule ubabe wake wakutamba tamba umeisha na hata hivo mimi namini 💯 maneno ya Iran wamemuwa wanatumia AI ili wananchi waisrael wasivunjike moyo kwa kipondo wanacho pewa.

View: https://youtube.com/shorts/khSE68b7k9Q?si=ug_YE-arsS_Sr489
 
Hali tete
===
Islamic Revolution Guards Corps (IRGC):

Wave 73 of Operation True Promise 4, under the code "Ya Heydar, peace be upon him," and in honor of air defense martyrs, the south and north of the occupied Palestinian territories were firmly and decisively targeted by missiles and drones.
Military installations and centers in "Arad," "Dimona," "Eilat," "Beersheba," and "Kiryat Gat" in the south of the occupied Palestinian territories—following the collapse of the defense system of the usurping Zionist army—as well as the Al-Salem, Mnahad, and Al-Dhafra bases of the US military in the region, were precisely struck by Fattah, Qadr, and Emad missile systems and destructive drones.
Wave 74 of Operation True Promise 4, with the sacred code "Ya Amir al-Mu'minin (peace be upon him)", dedicated to the martyrs of the Fath al-Moubin operation during the Holy Defense war in the 1980s, was executed against US military bases in the region and parts of the occupied Palestinian territories.
In this wave, the US "Malek Sultan" base, the US Fifth Fleet, and the hideout of Komala terrorists were targeted by Emad, Fateh, and Qiam missiles and attack drones.
Military bases and intelligence centers in "Tel Aviv", "Petah Tikva", "Holon", and "Ramat Gan" were also destroyed with Ghadr, Kheibar-Shekan, and Khorramshahr 4 missiles.
 
Back
Top Bottom