Netanyahu kama Trump aomba mataifa duniani yaingie kati kupigana na Iran

Netanyahu kama Trump aomba mataifa duniani yaingie kati kupigana na Iran

Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la kushambuliwa kwa kituo chake cha nyuklia cha Natanz.
Katika maelezo hayo,Netanyahu amesema mataifa mengi yalikuwa tayari yameelekea kuwasaidia lakini kwa sasa ni muhimu kuharakisha kuwasaidia wao na Marekani dhidi ya Iran.

Akiwa amesimama eneo ambalo lilisambaratishwa na kombora na karibu tani 2 la Iran, Netanyahu aliishutumu Iran kwa kulenga maeneo ya raia na akaonya ya kuwa Israel ina uwezo wa kutumia makombora ya masafa marefu kupiga maeneo ya mashariki ya Iran.

View: https://www.youtube.com/watch?v=qJ1JNge0I9w&t=82s

Si mlituambia Netanyahu kafa nyie?
 
Hivyo si Israel wala Marekani, iliyoliomba taifa lolote kuingia kwenye vita vyao dhidi ya Iran, ila wanaomba mataifa mengine yatoe ulinzi wa meli za mafuta.
You're delusional, sasa kusindikiza meli si maana yake uwe tayari kulipua missile launchers za Iran, drones na military boats? Si tayari umehusika na vita.

Kama wao ndio wababe na wameshampiga Iran si wazisindikize wenyewe kwani nani kawakataza.
 
Kwa mjibu wetu sisi wa Iran wa Kimokela, Netanyahu tulishamdedisha, huyu anayeibuka kuongea ongea ni wa wapi tena?
Bro huyo ni CLONE.
Sio mwenyewe,ukitaka kugundua tizama mikono na uso vinaendana?
Pili kwanini aliteuliwa mtu wa kumkaimu kama yupo hai?
Na kwanini aonekane kwa nadra nadra!?
 
Bro huyo ni CLONE.
Sio mwenyewe,ukitaka kugundua tizama mikono na uso vinaendana?
Pili kwanini aliteuliwa mtu wa kumkaimu kama yupo hai?
Na kwanini aonekane kwa nadra nadra!?
Maswali ni mengi kuliko majibu

Mkuu,
kuonekana kwa nadra sio tatizo kwa sababu, kwanza yuko vitani, hasira zote za Iran inapopigwa ama yeye au Trump bado mashambulizi yataelekezwa Israel

Kwa hiyo, yeye kukaa kwa kujificha na kutoonekana mara kwa mara, siyo habari, ni kanuni

Kuhusu kuwepo kwa mteule wa pili katika nafasi yake, hilo linaweza kuwa mjadala
 
Kwa kweli sura yake na mavazi yake yanati
Bro huyo ni CLONE.
Sio mwenyewe,ukitaka kugundua tizama mikono na uso vinaendana?
Pili kwanini aliteuliwa mtu wa kumkaimu kama yupo hai?
Na kwanini aonekane kwa nadra nadra!?
Kwa kweli sura yake na mavazi yake yanatia mashaka juu ya uhai wake.
 
Back
Top Bottom