netanyahu

Benjamin "Bibi" Netanyahu (born 21 October 1949) is an Israeli politician, serving as the prime minister of Israel since 2022, having previously held the office in 1996–1999 and 2009–2021. He is chair of the Likud party. Netanyahu is the longest-serving prime minister in Israel's history, having served a total of over 16 years.
Born to secular Jewish parents, Netanyahu was raised in West Jerusalem and the United States. He returned to Israel in 1967 to join the Israel Defense Forces and served in the Sayeret Matkal special forces as a captain before being honorably discharged. After graduating from the Massachusetts Institute of Technology, Netanyahu worked for the Boston Consulting Group and moved back to Israel in 1978 to found the Yonatan Netanyahu Anti-Terror Institute. Between 1984–1988 Netanyahu was Israel's ambassador to the United Nations. Netanyahu rose to prominence after election as chair of Likud in 1993, becoming leader of the opposition. In the 1996 general election, Netanyahu became the first Israeli prime minister elected directly by popular vote, and its youngest. Netanyahu was defeated in the 1999 election and retired from politics, entering the private sector. He returned and served as minister of foreign affairs and finance, initiating economic reforms, before resigning over the Gaza disengagement plan.
Netanyahu returned to lead Likud in 2005 and was leader of the opposition between 2006–2009. After the 2009 legislative election, Netanyahu formed a coalition with other right-wing parties and became prime minister again. He led Likud to victory in the 2013 and 2015 elections. Netanyahu made his closeness to Donald Trump, a friend since the 1980s, central to his appeal from 2016. During Trump's presidency, the US recognized Jerusalem as capital of Israel, Israeli sovereignty over the Golan Heights, and brokered the Abraham Accords, normalization agreements between Israel and the Arab world. Netanyahu has faced criticism over expanding Israeli settlements in the occupied West Bank, deemed illegal under international law. In 2019, Netanyahu was indicted on charges of breach of trust, bribery and fraud, and relinquished all ministerial posts, except prime minister. The 2018–2022 Israeli political crisis led to a rotation agreement between Netanyahu and Benny Gantz. This collapsed in 2020, leading to a March 2021 election. In June 2021, Netanyahu was removed from the premiership, before returning after the 2022 election.
Netanyahu's coalition pursued judicial reform, which met with protests in early 2023. In October 2023, Israel suffered a large-scale attack by Hamas-led Palestinian groups, triggering the Israel–Hamas war. Due to failure to anticipate the attack, Netanyahu has been criticized for presiding over Israel's biggest intelligence failure in 50 years, and faced protests calling for his removal. Netanyahu's government has been accused of genocide, culminating in the South Africa v. Israel case before the International Court of Justice in December 2023. In May 2024, Karim Khan, the prosecutor of the International Criminal Court, announced his intention to apply for an arrest warrant for Netanyahu, and other members of his cabinet, for war crimes and crimes against humanity, as part of the ICC investigation in Palestine.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa nini Netanyahu tu ndio analaumiwa Israel huku Rais wao akiachwa? Kwa nini ICC haijamtaka Rais ambaye ni mkuu wa nchi Israel?

    Tangu vita vya Israel na Hamas vianze anayesemewa kwa mabaya yote ni waziri mkuu tu wa Israel Benjamin Netanyahu wakati Israel wana Rais ambaye anasaini kila kitu! Kwa nini Rais wa Israel amenyamaziwa katika shutuma inazotupiwa Israel kuhusu utendaji wa jeshi lake dhidi ya Hamas wakati yeye...
  2. M

    Ni kweli Bashar Al Asad ameomba back up kwa Benjamin Netanyahu?

    Habari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi, kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na waasi wanaoonesha ku advance kwa kasi kwenye miji muhimu licha ya mashambulizi ya anga yanayofanywa...
  3. Trump kumuekea vikwazo Karim Khan, Jaji mkuu wa mahakama ya ICC baada ya uamuzi wake dhidi ya Benjamini Netanyahu

    🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu 🚨NEWS: Donald Trump will SANCTION a British lawyer ‘Karim Khan’ over the International Criminal Court’s arrest...
  4. G

    Netanyahu: Hakujawahi kuwa na rafiki mkubwa wa Israel kutoka ikulu ya Marekani wa kumzidi Donald Trump

    Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel. Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran...
  5. Netanyahu asalimu amri baada ya kichapo cha Hezbollah

    Kwa mara ya tatu katika historia ya mazayuni wanasalimu amri bila kupenda kwa Hezbollah. hdezbollah ni kikundi cha mgambo lkilichoanzishwa mwaka 1982 kwa lengo moja tu. Kuhakikisha mazayuni wanaondoka Lebanon walikukokuwa wanaishikilia kwa mabavu wakisaidiwaa na Mmarekani. Kweli, walitimiza...
  6. G

    Biden kainyima Israel silaha wakubali ku "pause" vita, zimebaki siku 60 Trump kipenzi cha Israel kuapishwa, Vikundi vya Iran vitapata taabu sana

    Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu. Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
  7. Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu: "Maafa makubwa zaidi katika historia yetu yalitokea wakati wa utawala wa Netanyahu. Hakuna makubaliano na Hezbollah yanayoweza kufuta uzembe huu. Mkataba lazima uhitimishwe haraka kuwarudisha wafungwa na kuwarudisha...
  8. UK watangaza kumshika Netanyahu endapo atatia maguu

  9. G

    Marais wa Marekani Biden na Trump wapo hatarini kukamatwa na ICC kwa kushirikiana na Netanyahu

    Siku ya Leo ICC imetoaa kibali cha kumkamatwa waziri mkuu wa Israel Netanyahu, kiongozi mwengine maarufu aliewekewa kibali cha kukamatwa ni Rais wa Urusi, Putin. ICC ina haki ya kuwakamata washirika wakuu wa Netanyahu ambao ni marais wa Marekani Biden na Trump kwasababu wanatoa ushirikiano...
  10. Netanyahu, kachanganyikiwa baada ya kuishindwa Serikali ya Iran, anawaomba raia wafanye mapinduzi Iran

    Wanaukumbi. Benjamin Netanyahu anajaribu kuwashawishi Wairani kufanya mapinduzi nchini Iran: ========================= 🚨🇮🇷🇮🇱 Benjamin Netyanahu is trying to convince the Iranians to stage a COUP in Iran: "The blow to Israel cost you $2.3 billion of your money..."...
  11. Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani. Ikumbukwe kuwa utawala...
  12. Wanajeshi wa Israel wameandamana kumpinga Netanyahu kwa kitendo cha kumfukuza Gallants

    Wanajeshi anaopinga uamuzi wa kumfukuza Gallant waziri wa Ulinzi kimewakasirisha na kuungana na wapinzani katika maandamano ya kumpinga Netanyahu hii imetokea leo Israel. Zaidi Tazama hapa Wanajeshi Wa Israel wakiandamana
  13. Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

    Wanaukumbi. Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake. =============== Netanyahu dismissed defense...
  14. M

    Waisrael wakataa kumpa kiki Netanyahu, waandamana ang'oke madarakani kwa kushindwa kurejesha mateka

    Benjamin Netanyahu alidhani kuwa kuendelea kuuaua watu, umwaga damu za watoto basi itakuwa Kinga kwake ya kuwaconvince waisrael kuwa ni waziri mkuu mzuri. Lakini maelfu ya waisraeli wameendelea kuandamana kumtaka ang'oke. Hawako impressed na muenendo wake wa kiuongozi. Baada ya Kuona raia...
  15. Baraza la Usalama la Israel: Tutalipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni kwa kosa la kushambulia makazi ya Netanyahu

    Channel 13 ya Israeli jioni hii inaripoti kuwa Baraza la Usalama la Israel limefanya uamuzi wa kuanzisha Hatua nyingine ya Kulipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni. Hii ni kutokana na Jukumu lao katika Mashambulizi ya hivi karibuni ya Hezbollah, ambayo yalilenga Nyumba ya Waziri Mkuu wa...
  16. Tetesi: Israel kuishambulia Iran kwa jaribio la Mauaji ya Netanyahu

    Baraza la vita la Israel limepitisha azimio la kuishambulia Iran kutokana na shambulio la mauaji kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Haya yanajili baada ya picha za satellite zilizoonesha kushambuliwa kwa ulinzi na mifumo ya ulinzi ya Iran Je kwa sasa Israel itafanya kile ambacho...
  17. Kilio cha Wazayuni dhidi ya Netanyahu.Familia za wanajeshi waliovamia zilisusia hotuba ya Netanyahu kwenye sherehe

    Wanaukumbi. Netanyahu alipokuwa akizungumza, familia za wanajeshi wa Israeli walioanguka walilipuka kwa sauti za hasira na kufadhaika, zikilaani waziwazi uongozi na maamuzi yake. Watoto wao wanakufa vitani umeshindwa kurudisha mateka...
  18. Rais wa Congo, F. Tshisekedi, tumia mbinu za ujasusi za Netanyahu kupambana na ugaidi utafanikiwa

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada inakuja baada ya waasi wa M23 kuteka mji wa kalembe ambao ni muhimu kwao, unatoa nafasi kwao kufikia majimbo mengine kirahisi hasa yenye utajiri wa madini, kama tshobo, kivu kusini, na maniema. Alichofanya netanyahu wakati ana anza kupambana na hamas uko...
  19. Nani ataiongoza Hamas baada ya kuuawa kwa Yahya Sinwar?

    Chanzo cha picha,EPA Maelezo ya picha,Viongozi wa Hamas watakutana tena kumchagua mrithi wa Yahya Sinwar Maafisa wawili wa Hamas wameambia BBC kwamba majadiliano ya kumchagua mrithi wa kiongozi wa kundi hilo Yahya Sinwar, ambaye mauaji yake yalithibitishwa siku ya Alhamisi wiki jana, yataanza...
  20. Iran yasema haikuhusika kwenye jaribio dhidi ya makazi ya Netanyahu, yalaumu Hezbollah

    Iran imekimbilia kwenye kujitetea, ila waambiwa wasubiri papo hapo kipo tu, na muda wote wawe macho yao yanaangaza angani maana hawajui watashukiwa vipi. Vita vya kisaikolojia ========= Iran Denies Involvement in Drone Attack on Netanyahu, Blames Hezbollah Days after Israel eliminated Hamas...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…