netumbo nandi-ndaitwah

Ndemupelila Netumbo Nandi-Ndaitwah (born 29 October 1952) is the current president-elect of Namibia after winning the presidential election on 3 December 2024. She is scheduled to be Namibia's fifth president and the country's first woman to hold this position. She is a Namibian politician serving as third vice-president of Namibia since February 2024. She was also SWAPO's first female presidential candidate for the 2024 Namibian general election. In 2017, Nandi-Ndaitwah was elected vice-president of SWAPO, the first woman to serve in that position.
Nandi-Ndaitwah previously served as the deputy prime minister of Namibia from 2015 to 2024, minister of International Relations and Cooperation from December 2012 to 2015, and as minister of Environment and Tourism from March 2010 to December 2012. She is a long-time member of the National Assembly.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Namibia Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, amerejea nchini mwake baada ya kumaliza ziara yake ya Kitaifa nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, amerejea nchini mwake baada ya kumaliza ziara yake ya Kitaifa nchini Tanzania. Rais Netumbo na ujumbe wake wameondoka nchini Juni 22, 2026 kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, huku...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia Dkt. Netumbo Nandi- Ndaitwah apokelewa ikulu jijini Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Namibia Dkt. NETUMBO Nandi- Ndaitwah, leo tarehe 20/6/2026 ikulu Jijini Dar es salaam alipowasili kwaajili ya ziara yake ya kikazi ya siku tatu yenye lengo la kuimarisha na kujadili masuala mbalimbali ya Uhusiano...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia amfuta kazi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Viwanda, Madini na Nishati

    Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, amemfuta kazi Natangwe Ithete kutoka nyadhifa zake za Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Viwanda, Madini na Nishati, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu siku ya Jumapili Oktoba 26, 2025 Kupitia taarifa hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuhutubia hafla ya uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Netumbo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa kwanza Mwanamke...
  6. JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah aliishi kwa miaka 6 Dar es Salaam miaka ya 1980’s. Mwalimu Nyerere alikuwa akimuita “Mama wa SWAPO”

    Rais wa kwanza mwanamke Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah Namibia imepata Rais wa kwanza mwanamke, hatua kubwa katika historia ya taifa hilo. Safari yake ya kuwa mwanamke wa kwanza katika mambo ya kisiasa haijaanzia hapo alipo. Mwaka 2017 alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa SWAPO, akiwa mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…