Match Day.
Updates...
Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza kutimua vumbi saa 2:15Usiku.
Fainali iliyopita;
Mlandege ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain...
Match Day
Simba SC Vs Jamhuri SC
Mapinduzi Cup
New Amaan Complex
Robo Fainali
08.01.2024
Mchuano huu ni kwa ajili ya mchezo wa soka uliosubiriwa kwa hamu huku robo fainali ya nne ikiendelea leo saa 2:15 Usiku kwa kuwakutanisha Simba SC dhidi ya Jamhuri FC katika Uwanja wa Amaan.
Mchezo...
Match Day.
Simba Vs APR
Msimamo wa Kundi B Ulivyo.
Hii nimetengeneza mwenyewe, hivyo kama kuna error tujuzane.
Hapa Simba tunahitaji tu Draw yoyote ili tuweze kuingia robo fainali.
APR anahitaji kutufunga Goli 4 - 0 ili aweze kuingia robo.
Kitu ambacho hakiwezekani.
Akipata huo ushindi...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #mapinduzicup
⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC
📆 04.01.2024
🏟 Amaan, Zanzibar
🕖 2:15 Usiku
Ni Match ya Round ya Tatu.
Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali,
Mechi inachezwa kukamilisha ratiba tu.
Tunategemea kupata burudani kweli kweli kutoka kwa Wananchi.
KIKOSI CHA YANGA...
Ni jambo la kushangaza kidogo ila katika hali ya kustua kidogo ni kwamba rangi za nguo unazovaa au unayopendelea kuvaa inaelezea maisha yako yalivyo kiroho na mtu mwingine anayeelewa anaweza kuibaini hali unayoipitia.
Ndiyo maana wapo watu wanaoweza kukutazama tu rangi jpya nguo ulizovaa na...
It's now 2024 in eastern parts of Australia, with Sydney, Canberra and Melbourne becoming the latest cities to welcome the new year.
Rasmi ni 2024 imeingia kwa Sehemu ya Miji ya Australia-Sydney,canberra na Melbrone wamekwisha uona Mwaka mpya, hata hivyo Tanzania kutokana na Utofauti wa Masaa...
Wakati wengine tukiendelea kusubiri mwama mpya, Auckland New Zealand tayari walishaanza mwaka 2024 masaa 2 yaliyopita.
Auckland wako mbele yetu zaidi ya Masaa 8, GMT+13.
https://twitter.com/AP/status/1741427952116506698?s=19
Dear JamiiForums Members,
As we embrace the dawn of 2024, may your paths be adorned with joy, prosperity, and boundless possibilities. Let the New Year be a canvas of fresh opportunities, where your aspirations paint vibrant hues of success and fulfillment.
May the threads of connection...
Live longer breakthrough - new jab could lead to '50% reduction in ageing'
Express UKDec 27, 2023 11:02 AM
Scientists have found how to target a disease protein that underlines health problems associated with ageing.
An injectable treatment that promises a dramatic reduction in ageing is...
Ninakupenda sana na kukuhitaji kila wakati,ingawa wewe unihitaji kihivyo,ninakulipa kwa wakati kukuonyesha mimi ninakujari sana sijari kama utanilipa kwa wakati,mwaka mzima ninavumulia mateso yako unajua sina ujanja wa kuachana na wewe,ueleweki mchana uuleweki usiku penzi lako aliniweki kwenye...
Tuambiane ukweli, kwanini watu wengi wanaziuza Trekta hizi za kisasa, Mahindra, Swalaj, Tafe, New Holland TT75, miezi michache baada ya kuzitumia?
Zamani mtu akinunua trekta tegemea umuone nayo miaka kibao.
NAFTAL BENET anahojiwa sasahivi kwenye kipindi cha hard talk BBC anasema yeye mwenyewe kama komando alishiriki vita ya 2002 na kuwateketeza magaidi.
Pia anasema waaipoipiga HAMAS sasa na kuvunja vunja magaidi ya kiislamu basi kuna siku yatazilipua LONDON NA NEW YORK.
Na mwisho amemalizia kwa...
On 17-12-2023 will have their extraordinary meeting to discuss their welfare in respect of their member who have been admonished by the judiciary unreasonably.
One point TLS is failing without knowing is that, amongst other reason is that, State Attorneys and public advocates are also members...
Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo la teknolojia, wakiahidi kubadilisha mtazamo wako kidijitali kama kijana..
Miongoni mwa vifaa...
Habari , karibu katika kampuni ya GCC wauzaji na watengenezaji wa vitanda aina ya PALLET (PICHANI) vitanda ni brand new design na ina meet your standards , ni kuanzia ngazi mbili na kuendelea ,
Picha & video
Video
Pia waweza. Weka order ukatengenezewa kwa muda wa siku. 4 , kwa order...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.