news

  1. B

    Uteuzi na Uhamisho: Rais Samia amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali

    11 March 2024 Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu usiku huu: Picha maktaba: ndugu Anamringi Macha TEUZI NA UHAMISHO : Naibu Katibu Mkuu wa CCM bara, ndugu Anamringi Macha ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais...
  2. 2 of Amerikaz most wanted

    The way people edit Neymar's shape to bring him down is the next level hating

    The way people edit Neymar's shape to bring him down is the next level hating.
  3. P

    Ramadhani Brothers waibuka washindi shindano la America's Got Talent Fantasy League, wanyakua Tsh milioni 637

    Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000. Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo. ==========For English Audience...
  4. N

    Japani yatumbukia katika mdororo wa kiuchumi bila kutarajiwa, Ujerumani sasa ni nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa duniani

    Japan ilitumbukia katika mdororo wa kiuchumi bila kutarajiwa mwishoni mwa mwaka jana, na kupoteza yake kama taifa la tatu kwa uchumi duniani kwa Ujerumani na kuzua mashaka kuhusu ni lini benki kuu itaanza kujiondoa katika matumizi yake ya fedha ya muongo mmoja wa kulegeza sera ya fedha. Baadhi...
  5. J

    Simba Queens wapewa alama na TFF, sasa wanaongoza ligi

  6. Cicadulina

    CAF yamfungia mechi 8 Kocha wa Taifa Stars, huku TFF ikimsimamisha. Aliishutumu Morocco kwa kupanga mechi

    Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemfungia mechi nane Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche kwasababu ya shutuma zake alizozitoa dhidi ya Morocco Adhabu hiyo ulitolewa jana na Kamati ya Nidhamu ya CAF baada ya malalamiko yaliyowasilishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la...
  7. U

    News alerts: Jeshi imara la Israel lamuua Kiongozi mwingine wa ngazi za juu wa kikundi cha kigaidi cha Wapalestina cha slamic Jihad

    Hamjamboni nyote Taarifa kamili ipo hapo chini ya operesheni iliyofanywa na IDF huko Gaza. Kazi nzuri ya kusafisha magaidi inaendelea vizuri FRIDAY, JANUARY 19, 2024 IDF: Deputy head of Palestinian Islamic Jihad’s propaganda unit killed in Gaza airstrike The IDF and Shin Bet security...
  8. TODAYS

    Sky Sports News Watupiga Spana Japo Wengi Wanaona ni sifa

    Mwaka huu kumekuwepo na mjadala wa uraia pacha ila ilipokuja issue ya AFCON kuna baadhi wa wachezaji hata haifahamiki wametoka!!. POINT: Kuna mchezaji anacheza team ya daraja la tano huko uingereza kuja kucheza kombe kubwa la mataifa ya Afrika. Soma mwenyewe hapo 👇🏾
  9. Ritz

    Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

    Wanakumbi. VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸 Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine. Wiki...
  10. D

    Good news from the holy sea

    Dear friends. So Christmas has almost arrived. At the Vatican, everything is in motion to prepare for the celebrations. But there were also some significant news stories coming from the Holy See. One of the highest-profile Vatican court cases came to an end on Saturday when Cardinal Becciu...
  11. M

    Hamas yawakabidhi mateka Kaskazini mwa Gaza ambapo majeshi ya Isreal yadai yameuteka. Isreal washangaa yanayotokea

    Al Jazeera:Al-Qassam Brigades handed over prisoners in the northern Gaza Strip with the population, confirming Israeli statements that Israel has lost control of the northern Gaza Strip.(Israel had declared the northern area a dangerous war zone and banned the passage of civilians) Juzi na jana...
  12. Ritz

    Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

    Wanaukumbi. Maafisa wa Hamas 'wanakaribia kufikia makubaliano ya mapatano' na Israel na kundi hilo limetoa majibu yake kwa wapatanishi wa Qatar, Ismail Haniyeh alisema katika taarifa. Taarifa hiyo haikutoa maelezo zaidi, lakini afisa wa Hamas aliiambia Televisheni ya Al Jazeera kwamba...
  13. Poppy Hatonn

    TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

    Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia. We will update this. Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted. Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi. Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
  14. Analogia Malenga

    Fake News zinatrend kwasababu zinakamata attention ya mtu

    Elias Patrick, mgunduzi wa Kitonga AI amesema mara nyingi taarifa zisizo sahihi hutrend kuliko taarifa sahihi kwa kuwa fake news zinashika attention ya mtu. Amesema hayo katika CSO week ambapo alikuwa session ya kuelezea jinsi AI inafanya kazi. Katika kipindi hiko amesema suala la AI...
  15. Roving Journalist

    Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  16. L

    Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu Sumbawanga Manispaa

    Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu sumbawanga Manispaa na wengine. Akiwamo Engineer na Afisa Manunuzi kwa matumizi mabaya ya pesa za miradi. ===== Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuwasimamisha kazi aliyekuwa Mganga Mkuu wa Manispaa...
  17. Rusumo one

    DED Uvinza asimamishwa kazi na Waziri Mkuu kwa kuchelewesha miradi ya Serikali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uvinza mkoani Kigoma, Zainab Mbunda na Mweka Hazina wa Halmashauri hiyo Majid Mabanga ili kupisha uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU), kwa madai ya kuchelewesha utekelezaji wa miradi...
  18. S

    Kiongozi wa mpira asimamishwa kwa kumpatia ujauzito mchezaji

    Mkurugenzi Mtendaji wa Fountain Gate Academy, Japhet Makau ametolea ufafanuzi kuhusiana na tuhuma zilizotolewa kuhusiana na aliyekuwa Mchezaji wa Fountain Gate Princess, Peris Oside Raia wa Kenya kuwa amepewa ujauzito na mmoja kati ya Viongozi wa Timu hiyo. Makau amesema Mchezaji huyo...
  19. Pang Fung Mi

    Tahadhari: Makosa ya kiuandishi ya Gazeti la Daily News siku ya Leo ni Unabii kwetu sisi wana Jamiiforums. Chukua tahadhari nimeoteshwa

    Ndugu wana jukwaa, Rejea mistake: No one is above law. Si muda mrefu jukwaa linaenda kuvamiwa na mawindo ya wawindaji wa kutumika. Mnisamehe sana si nguvu zangu wala uwezo wangu, Bali ni malaika niliopewa ndio wamenituma niseme haya. Narudia tena ndugu wasomaji hata mkiona ni ujinga...
  20. 4

    Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro

    Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro, Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
Back
Top Bottom